Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 43 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2008

    we Michuzi, wahuni hao. Unaweza kuandikaje tangazo la msiba kwenye Home page ya Funeral Home? Unajua huu uhuni ni wa kitoto kabisa. Sasa angalia site ya hiyo Funeral Home halafu uangalie na hilo tangazo. Walichokifanya ni kubandika tu hilo Tangazo juu ya Home page ya hiyo funeral home. Huyu jamaa yuko hai. Angalia link hii....!!

    http://www.devolfuneralhome.com/

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2008

    SAWA TUAMINI KUWA AMEFARIKI, LAKINI, MAPESA YETU NAYO? TUNATAKA MAPESA YETU YARUDI KIFO HAKIFUTI DENI MHE. RAISI.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2008

    ametuacha katika hali tete ya kujua ukweli kuhusu ufisadi.hata hivyo mungu anajua kila kitu na yeye ndie atakayetulipia kwa uovu aliotufanyia watanzania

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2008

    http://www.devolfuneralhome.com/index.asp?sid=6&formid=102&serviceid=960


    http://www.devolfuneralhome.com/index.asp?sid=6&formid=103&serviceid=960

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2008

    Mbona ni muislamu iweje azikwe makaburi ya wakristo .. au mkewe ndio alivyoamua.?????

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2008

    Inna Lillahi waina Ilahi rajiun

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2008

    Mpaka hapo ukweli upo wazi ya kwamba hakuna kitakachozuia Marehemu Balali(kama kweli kafa)kuzikwa Marekari. Kweli Mwenye pesa sio mwenzako kwani alichota nyingi mpaka Taifa la Kibepari likamkubali!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 23, 2008

    Hivi kweli Watanzania mliopo huko hamtaweza kututhibitishia kama kweli ni yeye anazikwa? mbona serikali yetu ipo kimya sana jamani au inajua kinachoendelea? I wish Zitto angekuwa Marekani mpaka leo haki ya nani tungejua ukweli!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2008

    Hivi inakuwajee azikwe huko hukoooo... aise huu "msiba" ni wa utata sana. Jamaa amekula pesa za wananchi na badala ya kutumikia malipo..akakimbia (kwa makubaliano na Serikali) huko kwenye humbarg na Coke (US). Sasa wanatoa hio habari, mr Michuzi kama hatuoni picha yoyote ya mwili mi sitoamini.

    Anajificha huyooo na watu wamekula pesa kwa dili hilo!

    na kama ni kweli, basi Mwenyezi Mungu amweke pema na awasaidie wote waliokuwa na haki wa kupata zile pesa.
    Amina

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 23, 2008

    What really baffles me is the way most Tanzanians agree to be fooled and made to believe that the BoT scandal was entirely the work of late Dr Ballali. That so long as the main presumed culprit was silent, or his whereabouts not known, or now he's dead, the government is safe. And almost every Dick and Jane out there is caught up by this poorly manipulated fiasco.

    Moving to fire him was also meant to confirm this line of thinking, that the government also feels that all these things WERE JUST ONE PERSON'S actions!! With good friends he dished out Sh133bn for their business interests, in the ABSENCE OF GOVERNMENT AWARENESS AND APPROVAL!! This is a BIG LIE that the late Ballali had to endure and live with, until his death. Poor Tanzanian minds!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 23, 2008

    Mtu anapopatwa na msiba watu wote husika wanajumuika kkt tatizo hilo.Leo hii iweje huu msiba uwe na masharti hivi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 23, 2008

    Nimeona Kweli -
    http://www.devolfuneralhome.com/index.asp?sid=6&formid=102&serviceid=960

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 23, 2008

    Jamani, hilo ndo tatizo la watoto wa kiume, yani akishaoa anasahau kabisa kuwa kuna wazazi waliomlea kwa upendo mpaka alipofikia, sasa huyu balali anaacha wosia azikwe marekani wakati mamake analia anatamani japo kuona maiti ya mwanae na kuomba aje azikiwe huku lakini hakuna wanaomsikiliza, simply because mke kashika makali na yuko naye huko!! Inatuuma sana wakina mama kusema ukweli, mbaya zaidi ni sisi tunaosababisha yote hayo kwa vile sie pia ndo wake wa hao waume!!! Ila na nyie wanaume kuweni wagumu bwana, kumbukeni kuna wazazi wenu, mana hata mkishaoa hamkumbuki tena wazazi..hovyoooo!!!! hatuhitaji mali zenu bali tunahitaji upendo wenu tu jamani, hela zenu kuleni na wake zenu...waosha vinywa mnikome!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 23, 2008

    Wewe anon wa kwanza wewe ndio muongo, nimeingia kwenye website ya devol funeral home na kwenye online registry yao jina la Balali na mazishi yake lipo na hilo tangazo lipo wala halikubandikwa kama unavyodai.
    Kama mnabisha google devol funeral home, ukiipata website yao ya devolfuneralhome.com, ingia kwenye online registry utakuta majina ya watu kibao na siku za maziko yao, ingia kwenye list ya washington utaona jina la Balali. Kwani hii funeral home ina matawi sehemu mbali2 huku US. Hivi watu wengine kusema uongo huwa mnapataga faida gani hasa?

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 23, 2008

    waswahili bwana, eti mbona muislamu anazikwa makaburi ya wakristo. hayo mambo ya dini ni mtu na mtu, wakati wengine mpaka mnatoa damu kupigania dini, wengine dini ni option, hawababaiki, so long ni maiti na Mungu anaona moyoni ,so what, nizikwe marekani,TZ, makaburi ya wakristo, wbudha n.k

    tubailishe upeo ngaa kidogo tu kwa watu wenye uwezo hata wa kusuru, la sivyo watu watagombania maiti weeeee, nchi yenyewe hii haina dini, waislamu wakristo wanaoana kwenda kwa mbele, wakati mwingine tusitamke hata dini hizi

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 23, 2008

    Unasema tatizo la watoto wa kiume or tatizo la mafisadi ambao wanaona soo kuzikwa home?
    wanaume wangapi wamezikwa home? hata wanawake wanazikwa kwa waume zao mbona husemi?
    Baadae munataka wanaume hao hao wawaowe!!!Mh Faljunuun Funuun.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 23, 2008

    It true check
    http://www.devolfuneralhome.com/index.asp?sid=6&formid=102&serviceid=960

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 23, 2008

    duuuh mboina wang'ang'ania kwamba ni private viewing kuna ubaya gani watu wakiaga maiti,manake tumeambiwa watu wengine tusienda kwende tangazo la khl.alafu hio funeral home mbona de vol=devil? de vol nikifaransa = devil kutoka kwa mpolemani wa serikali.te te te te.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 23, 2008

    Kuwa na registry katika funeral home doesn't mean anything kwani states na kwenyewe money talks bullshit works, hivyo msiamini kilakitu kwenye internet kwani mara ngapi mnaaona vitu mkienda mnaambiwa that was posted by error.
    All we want ni ukweli wa mambo kuanazia kifo mpaka hizo issue za maehela maana watuwachini ndiyo tunao ingia matatizo.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 23, 2008

    Anon wa may 23, 12:00 tena wakukome kwa sana tu, wakumbuke kuugawa upendo katika sehemu zote muhimu mf. mke, mtoto, mama, baba, dada/kaka, bibi/babu nk. nk. wa kwenye ukoo, wakumbuke damu nzito. na wakumbuke upendo wa mtoto hauishi kwenye moyo wa mama, hata uwe umezeeka umekuwa na wewe bibi, mama anakuona kama kichanga bado unahitaji msaada na upendo wake, tuwe waangalifu tusilopenda kufanyiwa tusiwafanyie wengine, ishallah.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 23, 2008

    jamani naomba kuuliza kwani mkewe balali ni mtanzania au?

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 23, 2008

    WATANZANIA TUPO HAPA HAPA WASHINGTON D.C. TUMEJAA KIBAO, NA TUMETANGAZIWA KUWA MISA NI YA WAALIKWA, MBONA MAMBO? SIKUJUA SIKU HIZI MPAKA UALIKWE KWENYE MSIBA. MAAJABU!!!!!!!!!NA SIKUJUA HATA DINI ALIBADILISHA KUTOKA MUISLAMU KWENDA KATOLIKI. HIVYO NISIJENIKARUDISHIWA MLANGONI MAANA SIJAPATA MUALIKO. MARA NYINGI WATU WALIOTUMIKIA SERIKALI WAKIFIKWA NA MAUTI NCHI YA UGENINI, BALOZI NDIYO HOST WA MSIBA KAMA TARATIBU ZILIVYOKUWA HUKU NJE. MAMA MARY MACKEJA (MAMA YETU ALAZWE MAHALA PEMA) ALIPOTUTOKA HUKO NEW YORK BALOZI ALIFUNGUA NYUMBA YAKE NA MAMA YETU AKAPELEKWA NYUMBANI (AMBASSADOR'S RESIDENCE) KWA MAOMBI NA LAST RESPECT, THEN BAADAYE WAKAHAMISHIA KWENYE FUNERAL HOME. SASA HII YA BALALI HATUIELEWI WHAT IS ALL ABOUT THIS. IT IS SAD!!!!

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 23, 2008

    Jamani hivi mama mzazi kumbe yuko bado hai na yupo bongo? Masikini ya mungu, jamani hivi waha wanawake wengine wamezaa kweli? How could you do that to somebody? Hata kama kaacha wosia, ingekuwa mimi ni mkewe ningemchukua nyumbani nikaomboleze na mama mzazi. JAMANI HAKUNA KAMA MAMA!!!! SIMILE KINA DADA HATA KAMA NI MUMEO LAKINI KUMBUKA NI MTOTO WA MWENZAKO. KUSEMA KWELI MCHOZI UMENITOKA NA LEO HII HI NIMEMPA KITI MOTO MTOTO WANGU WA KIUME NIMEMWAMBIA CHONDE BORA UMWAMBIE HUYO MKEO UTAKAYEMUOA KUWA ISINGEKUWA MIMI ASINGEKUWA NA MUME. NA JAMBO LOLOTE LIKIKUTOKEA MIMI NI WA KWANZA KUJULISHWA NA KUSHIRIKISHWA KWA KILA HALI. JAMANI UZAE MTOTO, UMLEE, HALFU JITU LINGINE LIKUTANE NAE UZEENI AKANIZIKE MWANANGU? ATANIFUKULI MWANANGU. MAMA POLE WEEE!

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 23, 2008

    ni kweli nimeiona,http://www.devolfuneralhome.com/index.asp?sid=6&formid=102&serviceid=960 tangazo lipo hapa..just check on online registry..lakini mi bado siamini kama kweli huyu jamaa amefariki!!!

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 23, 2008

    Hiki kifo kina utata wa aian yake mara tuliambiwa kafia Boston, MA mara kuna mtu kaposti leo eti kafia Madison, Wisconsin!!! Mhhh I can smell fishy here, tumwamini nani?? Huyu Balali kweli kafa? na kwanini hataki kuzikiwa kwao alikozaliwa na kulelewa kwani nani angeenda kuikoma maiti??? jamani tunadanganywa mchna kweupe, JK tunahitaji uingilie kati ili tupate ukweli ni mambo ya aibu sana haya yanatokea katika uongozi wako na ukikaa kimya tunaconclude kwamba unahusika na kifo cha huyu bwana kama kweli kafa sio mwisho wa kutafuta hizo hela za EPA zitawatokea puani na matakoni!SSzzzz

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 23, 2008

    At last wa-Tanzania tumeanza kuwa wakweli. Sawa Balali "ametutoka" na kwasababu alikuwa un-popular nadhani kitendo cha watu kusema ukweli wao ni kuzuri - kuliko kudhihaki kwa kudai alikuwa mtu wa watu etc etc

    For all its worth, poleni mliompenda Balali na POLE NYINGI ZAIDI KWA WAPENDA MAENDELEO - naamini kwamba Mzee Balali kanyamaza na majibu muhimu sana ya maswali yetu mengi - whether or not he was an embezzler!

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 23, 2008

    Jamani mbona kuna utata mwingi na Balali!Kulikoni???Mara kapewa sumu mara anaumwa kafanyiwa upasuaji,mara kajiuzulu mara Rais kamfukuza, mara katoka hospital, mara kapotea, mara Marekani wamemfukuza mara makachero wa Tz wameenda kumtafuta ( hapo kaisha kufa), mara Balozi wa Marekani aseme watasaidia kumpata kama Tz ikipenda.Balali kafa tarehe 16/5 watu tumejua baada ya siku tano. Mara atazikwa Marekani, mara atachomwa,mara msiba wanatoa card ya watu wachache!Du mimi naona mzima kabadilisha uso na kama wamechoma itakuwa sanamu. Watu wenye hela wanaweza kufanya chochote kile.Serikali haijasema neno ni furaha kwao asiije akaumbua watu. Kama kafa kweli apumzike kwa amani.

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 23, 2008

    Hellow Bro Michu,
    Mhnn anony 12:00pm kweli umeongea tena kwa machungu ni kweli sisi wanaume tina mapungufu mengi mapungufu haya ujitokeza sana hasa baada ya kuoa,Nakubaliana na wewe kuwa wakati umefika we have to be strong we men....!!!!Hasa kwa suala la uhusiano wa familia tatu husika,Familia yetu wenyewe,ya wake zetu(wakwe) na familia ya wazazi wetu,we have to balance things you guys...........!!!!
    Mdau,
    USA.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 23, 2008

    Pamoja na huo msiba, mwana-Sheria na M-Bunge Nimrod Mkono (kuna vi-conflicts vya interests = M-Bunge -mtunga sheria (Legislature); Mtetezi wa Sheria - Attorney Judiciary, na wakati mwingine anaoneka kuwa mtekeleza sheria (Executive)!

    Anyway, Mkono anajua ni hospitali gani Ballali alilazwa (ingawa alisema hakuijua wakati alipomtembelea mwanzoni. Mtu, kama Mkono, atawezaje kwenda kumwona mgonjwa hospitalini bila kujua jina la hospitali yenyewe au kuwauliza hao "jamaa" ya Ballali mgonjwa wao kalazwa hospitali gani?

    Sasa yaonekana kuwa Mkono kazungumza na Ballali kwa muda mrefu kabla ya kifo. Endapo mazungumzo yalikuwa ni kwa njia ya simu, basi yaliyozungumzwa yanaweza kujulikana kutokana na "freedom of information" kama yanahusiana na kashifa na hujuma za uchumi wa taifa letu zinazomhusisha marehemu Ballali!

    Je, ni huyu mtu tunayemsoma kuwa Ballali kamwachia ujumbe kuhusu mambo yaliyokimsibu?

    Kwani yaonekana kuwa Mkono ndiye wakili wa Ballali, after all, alikibia huko huko Marekani kukutana naye hospitalini kutayarisha namna ya kumtetea endapo Ballali angepelekwa mbele ya seria!

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 23, 2008

    si afadhali na yeye kuwa kifo kimefuta deni, kuna ambao wamefuta demi kwa kujiuzulu na wapo kama kawa wanakandamiza kwa kuelekea mbele

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 23, 2008

    Hello Balali's Family, Poleni sana na msiba. Ila kama kuna pesa za EPA na ufisadi wowote ule na pesa zake kaziacha ndugu yenu, tafadhalini sana zirudisheni Tanzania, warudishieni Watanzania masikini pesa zao, nchi yetu ni masikini sana na ndugu yenu hakuwafanyia haki watanzania kwa kuruhusu wizi wa mabilioni ya shilingi kufanyika BOT, wakati anajuwa kabisa watanzania hawana barabara, hawana hospitali hawana maji safi, hawana shule za serikali maisha ya watanzania sisi masikini ni magumu sana, lakini yeye na Mkapa na wengine wengi tuu wametuibia sana, sana, tunasikitika sana kwamba amekufa kabla sheria haijachukuwa mkondo wake. Ushauri wangu ili sisi tulio masikini tuweze kumsamehe na aende mbinguni rudisheni pesa za watanzania alizochukuwa baba yenu David Ballali. Nawatakia mazishi mema ila fanyeni kila namna mrudishe pesa alizoiba ndugu yenu, na siku mkirudisha iteni waandishi wa habari wawepo ili sisi wotee tujuwe kwamba pesa zimerudishwa sawa. Kuweni mfano mzuri kwa kurudisha pesa za wananchi walala hoi watanzania, tutawashukuru sana mkirudisha pesa zetu nchini Tanzania wala msione haya kuzirudisha pia Mungu atawabariki sana.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 24, 2008

    Kwa kweli style hii ni mpya,hata hivyo imekosewa, is not convincing to anybody, ballali kama upo hai niandikie email nitakusaidia kuondokana na shida ya kutafutwa na watanzania walalahoi kwa njia ya witch craft mimi ni mtaalamu wa uchawi kwa mtu kama wewe uliokula hela za walalahoi na sasa unachachawa, mara hujulikani ulipo, mara umekufa, ili mradi shida tu, uliiba hela za wananchi za nini kama unaogopa jela? umedanganywa na nani?au benjamini ?
    mshahara wako ulikuwa unakutosha na marupu rupu kibao, you are so selfish my brother! check sasa umekufa fake na umezikwa marekani fake! wakati kwenu ni iringa
    niandikie nikusaidie wichcraft@fakedeath.com

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 24, 2008

    Jamani wa TZ, bado tu mko kizani,mnashindwa hata kufuatilia mambo?Marehemu aliacha wosia wa kuzikwa marekani inawezekana siyo kwa kukimbia nyumbani alikuwa amesikitishwa sana na matukio yaliyotokea ya yeye kuhusishwa moja kwa moja na wizi ambao yeye alitumiwa na hayo mifisadi ambao bado wapo na kujiosha kwao wakamtupia goma lote yeye, masikini ya mungu.Marehemu alichukia sana kitendo hicho cha kuwaacha mafisadi na kumsakama na kumhukumu yeye.Jamani wa Tz mafisadi hamuwajui? si bado mnao hapo na mnaishi nao? mbona hawachukuliwi hatua yoyote? Marehemu alikuwa amefanya kazi (nadhani ) imf kwa miaka mingi tu, kwa hiyo alikuwa anajiweza kifedha.Mafisadi walimtumia na baadaye kumtosa.Hivi nyinyi hamjui wangapi walitumiwa na kutoswa tz?Jamani tuangalieni pande zote mbili tusiwe tunaangalia upande mmoja tu.Mimi naomba mniambie kama hamuwajui mafisadi waliochukua pesa za serikali na bado mnaishi nao,mbona hamchukui hatua yoyote?mungu amlaze mahali pema peponi.Ameen!

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 24, 2008

    Ballali Mzima kabisa, msiba feki..jeneza halina kitu

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 24, 2008

    JAMNI EEEH,WATU MNAONGEA NINI??? HUYU MTU KAFARIKI NA FAMILIA AYKE NDIYO ILIYOAMUA KUMZIKA MAREKANI..SIO YEYE KWASABABU YEYE NI MFU.SASA MNALAUMU LAUMU NINI?WACHAWI TU NYIE

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 24, 2008

    Govt probe continues despite Ballali`s death

    2008-05-23 10:03:59
    By Njonanje Samwel


    Investigations into reports of gross mismanagement of funds in the Bank of Tanzania`s External Payment Arrears (EPA) Account will continue despite Friday`s death in the US of the bank`s immediate former governor, Daudi Ballali, the government has said.

    The stand was given by Omega Ngole, Information Officer with the Attorney General`s Chambers, in an interview with The Guardian in Dar es Salaam yesterday.

    President Jakaya Kikwete relieved Ballali of his duties after revelations that the former governor had occasioned a loss amounting to billions of shillings through shoddy dealings with phony companies in 2005.

    Soon after, he named Prof. Beno Ndulu as Ballali`s successor at the central bank.

    The President also formed a committee comprising Inspector General of Police Said Mwema, Attorney General Johnson Mwanyika, and Prevention and Combating of Corruption Bureau Director General Edward Hoseah to investigate the reports and recommend measures to be taken against those implicated in the scandal.

    The team is scheduled to complete its assignment on June 9, this year.

    Ngole said Ballali had never been classified as either a witness or a prime suspect.

    ``Who said Ballali was a suspect or witness? What I know is the team is still going on with its assignment and the six months period it was given elapses in June,`` he said, adding: ``We should give the bereaved family a break to mourn the death of their beloved one as we wait for the team`s findings. The team is progressing well.``

    Meanwhile, the late governor`s body might be brought back home for burial from the US.

    It was earlier reported that Ballali would be buried in Boston, USA, but sources told this paper yesterday that it is likely that his body would be brought home for burial.

    Family members were meeting in Dar es Salaam to discuss the logistics involved, although the sources said the family was still divided on the issue.

    Further information on Ballali`s death has been kept a secret and reporters yesterday were not allowed to go near the house where funeral arrangements were being made in Boko on the outskirts of Dar es Salaam.

    Central Bank and government officials were, however, allowed in.

    The road leading to the house, believed to belong to the late Ballali?s sister, was being levelled yesterday.

    Sources told this paper that family members were divided on returning the body back because it is believed that Ballali left a message that he should be buried in USA.

    ``However, it is difficult because Ballali`s mother, who is too frail, will not agree his son to be buried in a foreign land. That is where the dilemma lies, said the source, who did not want his name mentioned.

    He, however, said the family would listen to the government`s advice on burial plans. The government said on Wednesday however that Ballali`s burial would be managed by his family.

    Ballali`s death was confirmed by the Bank of Tanzania on Wednesday.

    BoT said in a statement that it learnt with shock on Tuesday night that the former governor died on Friday, May 16 in Boston, USA.

    A relative told this paper that Ballali died after a long but unknown illness. Ballali was first taken to South Africa last year after he developed health complications.

    He was later flown to Boston in US for further medical attention, where he was admitted.

    In December, 2007, doctors released him after his health condition improved under the condition that he should stay at home for three months, that is, until March this year.
    But his condition changed and started to deteriorate, forcing doctors to order his re-admission.

    Ernst & Young, the international auditing firm contracted by the government to screen the central bank`s accounts, revealed that payments amounting to 133bn/- were dubiously made to 22 domestic companies under External Payments Arrears (EPA) account scheme in 2005.

    Some 90,359,078,804/- out of this was paid to 13 companies on the strength of fake or forged documents.

    Another nine firms were said to have been paid an equivalent of 42,656,107,417/- without any documents to support their claims.

    SOURCE: Guardian

    ReplyDelete
  37. AnonymousMay 24, 2008

    Enyi nyote mnaomtuhumu Balali peke yake na hii skendo mnakosea, tena sana

    Balalia anahusika na EPA kama shahidi tu kwa kua alikua msimamizi mkuu tu wa BOT, na sio Mwizi/Mtuhumiwa/Mfujaji mkuu wa EPA

    Ni kama vile Madaktari walivyokosea upasuaji hospitalini Muhimbili akatakiwa Waziri wa afya ajiuzulu wakati masikin ya mungu waziri mwenyewe sidhani kama alikua anamjua hata huyo daktari au mgonjwa kabla ya tukio. Wala hata huyo daktari alivyoajiriwa sidhani kama huyo waziri ndio aliempitisha Intavyuu au kumuajiri.


    Hivyo basi katika hili suala Balali sio mhusika mkuu kabisa, mhusikia ni mwingine tofauti na bado anadunda tu na kutusanifu,

    Ni nani basi huyu mhusika???
    Jibu; Soma ufafanuzi hapa chini.


    Ifahamike kwamba Serikali inaweka pesa zake BOT kama ilivyo Mimi, Wewe, Taasisi, Makampuni au Mashirika yanavyoweka pesa zao NBC, CRDB, STANDARD CHARTERED, NMB etc.

    Kama ilivyo Mimi, Wewe, Taasisi, Makampuni au Mashirika yanavyofanya malipo kwa kuandika cheque na kuwapa watu wakatoe pesa kwenye akaunti zetu benki ndivyo Serikali inavyoandika cheki/memo/document/standing order kuwapa wadai wao wakachukue fedha BOT.

    Tujiulize kwamba kama nimeandikisha benki (Tufanye CRDB)kua watoe pesa wakiona cheki imekwenda na saini yangu au ya mke wangu, je nitapaswa kumlaumu nani iwapo mke wangu akiidhinisha malipo yasiyo sawa?? Bila shaka ni mke wangu ndio wa kulaumiwa kwa kuidhinisha malipo hayo na sio CRDB
    Je kwa mfano huu, nitamlaumu Dk. Charles Kimei kwa kua CRDB imelipa kutoka akunti yangu watu ambao si wahusika????!!!


    BOT ni walipaji tu wa madeni ya serikali, lakin muidhinishaji mkuu wa malipo hayo ni Mwenye akaunti ambae ni Serikali kupitia Wizara ya fedha.


    Balali alishaomba kujiuzulu kitambo kutokana na Ugonjwa lakin wakamkatalia, sasa alivyoondoka ndio kibao kikamgeukia yeye.

    Kwa ufafanuzi huo hapo juu basi ni wazi kua Skendo la EPA linaanzia Wizara ya Fedha na Mhusika mkuu wa wizara hiyo ni Bw. Gray Mgonja,
    huyu bwana amehusika katika kasha nyingine kubwa tu lakin bado anadunda na kupeta tu.

    Huu ndio ukweli na mwenye akili auelewe.

    N.B
    Michuzi hilo kapu tafadhali!!!!!!!

    ReplyDelete
  38. AnonymousMay 25, 2008

    I CAN NOT IMAGINE HOW INHUMAN SOME OF US ARE. MY VIEW OF TANZANIANS WAS A CIVIL SOCIETY, BUT I AM TAKING THIS BACK. I AM FROM KENYA AND I HAVE ALWAYS REGARDED MYSELF AS TANZANIAN HAVING LEAVED IN TANZANIA FOR YEARS. I AM PROUD TO SAY TODAY I AM FROM KENYA. WHAT I HAVE WITNESSDED IN THIS BOARD AND IN THE FUNERAL HOME FORUM IS MAKING ME SHED TEARS. MY TEARS ARE NOT FOR BALALI BUT FOR THOSE WHO ARE CONDEMNING HIM. I AM SADDENED BY THEIR FILTHY AND UNFOGIVVEN SPIRITS...LORD PLEASE FORGIVE THESE PEOPLE FOR THEY DON"T KNOW WHAT THEY ARE DOING..TAKE THEIR HATRED, HUNGER, ANGER AND FILL THEM WITH YOUR LOVE GOD. SHOW THEM LORD THAT YOU ARE GOD OF MERCY THAT YOU ARE GOD OF FORGIVING. LORD DON"T JUDGE THESE PEOPLE BUT OPEN THEIR HEART TO LOVE. OPEN THEIR HEART TO HUMBLENESS. .....IT MAY BE THAT THESE PEOPLE DO NOT KNOW A PAIN OF LOOSING A DEAR ONE GOD, BUT FORGIVE THEM LORD. LORD HAVE MERCY ON US ALL. WE NEED YOUR LOVE LORD ESPECIALLY NOW. STOP THE HATRED. STOP THE HATRED DEAR LORD........

    ReplyDelete
  39. AnonymousMay 25, 2008

    michuzi, mi sipendi tabia yako ya kuminya comment zingine. ujue napoamka tu nafikiria kupata nyuzi za homu kupitia kwenye liblogu lako,najituma afu unazitupa kapuni.mi sioni ubaya wowote uliokuwepo, kama watu wanaozomea watu unapublish itakuwa mimi naejiongelea kuhusu balali..plz ucache mi mfiwa nilie peke yangu huku ugenini.kutoa maoni ni moja ya njia ya kujipatia nafuu!

    ReplyDelete
  40. AnonymousMay 26, 2008

    wewe mkenya anon wa 3:50 embu acha pumba masee, sasa si tufanyaje kama umejitangaza mkenya?hongeraaaa... we give our opinions,we are tanzanians and ITS OUR BLOODY MONEY thats been taken..sasa sijui unatuletea nini!

    maamaaa yeroooo!

    ReplyDelete
  41. AnonymousMay 26, 2008

    we mkenya una matatizo yako ya kutosha, eti unafikiri ukisema ulikuwa unajiona mtz ndo tutaumia!tunakushangaa tu..utajionaje mtz kwa vile unaishi tz? huo ndo ufala wenyewe, si wenyewe tuko wengi vya kutosha na hatufagilii michalii sijui ya wapi! acha watu tuongee ni machungu yetu, tena mngekuwa ninyi mngepigana tu, uliacha kusalia nchi yako ilipokuwa vitani unajisalisha saa hizi, mda ule ndo ulikuwa unajiona mtz!!!ebu toa longo longo zako!

    ReplyDelete
  42. AnonymousMay 26, 2008

    haha aisee wabongo tuna mashushu,nimecheka comments jamani.msimshushue mkenya wa watu,naona amekosa day job analeta pumba zake humu ndani.mi nimeishi uholanzi for 15 years,kwani ndio nijiite mholanzi.huyu mkenya vipi?EMBU ACHA PUMBA TAFADHALI!!

    miss keys

    ReplyDelete
  43. AnonymousMay 26, 2008

    anon wa 10:16 mbona GRAY MGONJA na BASIL MRAMBA = UFISADI tu hapo mwanakwetu,ulikuwa hujui???


    na haka ka kenya embu karudisheni kwao,kanapiga piga kelel zisizo na msingi hapa. zingekuwa hela zake kingemuuma,kwanza hata halipi tax huyu!KAMA YOU DONT KNOW HAYA MAMBO-PLEASE DONT WRITE MAMBO YASIYO NA MSINGI KABLA YA KUTUKANWA BURE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...