leo nimepata bahati ya kugongana uso-bin-uso na profesa pius z. yanda ambaye ni mmoja wa wasomi waliokuwa kwenye jopo la utafiti wa athari za mazingira duniani liliopelekea makamu wa rais wa marekani al gore kupokea tuzo ya nobel. profesa yanda, pamoja na kuwa pia mkurugenzi wa taasisi ya institute of resource assessment (www.ira.udsn.tz) ya udsm pia ni mkurugenzi wa afrika wa the pan african start secretariat (http://pass-africa.org)

niko na profesa wa uchumi, yaw nyarko, wa chuo kikuu cha new york university (http://www.nyarko.com/) cha marekani ambaye pia yupo a-taun kumwaga pepa katika mkutano wa kimataifa wa africa travel association juu ya hali ya uchumi katika sekta ya utalii na safari duniani



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2008

    Aisee,
    Nimefurahi kuwaona wasomi hao hapo juu. Ila nasikitika kwamba Prof. Yanda eti alikuwepo kwenye jopo la wasomi LILILOSABABISHA Al Gore apate Nobel Prize! Well, kwa hiyo yeye alitumia akili zake ili Al Gore apate tuzo. AliTUMIWA. Hii reputation haijakaa vizuri, hasa kwa Professa.
    Na marekebisho kidogo tu ya lugha; ukishasema chuo kikuuu cha...sidhani kama kulikuwa na haja ya kuanza na university of... na pia ukishasema taasisi ya....sidhani kama kulikuwa na haja tena ya kuanza na institute of.....
    Najua hii utaibania tu.
    Asante

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2008

    MICHU MVI TAYARI SASA ZIMECHOMOVA!BABA AU MORGAN IMEKATAA LEO.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2008

    Hata Maprof uwe unawapiga KONOOOOOOOOZ tu, unawaogopa?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2008

    Prof Yanda kichwa sana tu, basi tu nchi yetu haijui kuwatumia watu kama hawa mpaka akina Al gore waje wawachukue wawatumie au wafe ndo utasikia sifa zao. Big up sana prof. Yanda. Mwanafunzi wako wa MSC. NARAM

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2008

    Uzee huo unapiga hodi Michuuz!Vipi Dogooooooooooz tayariiiiiiiiiiz!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...