Vijana wa Kitanzania wameonyesha uwezo wa juu kisoka hapa Mysore kiasi cha kwamba hawana mpinzani kabisa.

kukiwa na baadhi ambao wamesajiliwa kwenye timu chache za hapa,vijana hao wameweza kuwafunga Wasudan jumla ya mabao 5-2 katika mechi iliyochezwa tar 18/5/2008,wafungaji nia Abdilah Amour pia alikuwa nyota wa mchezo na alifunga magoli mawili,Wilbard Mkoba goli moja,Walter Joseph Mbwiliza alifunga goli moja na Hamad Changale.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2008

    Mchuzi hii Picture nilifikili imepingwa mwaka"47".kumbe mambo ya camera

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2008

    Mji uo uko wapi?USA,UK .MIJI MINGINE INAITAJI UFAFANUZI,KAMA CHAMKOROMA-DODOMA,MAJANI MAPANA-TANGA,KINTIKU-SINGIDA,KUNCHIMBIRE KUCHI-MTWARA

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2008

    A. Aleykum Kaka ,
    Me nataka kuuliza swali moja tu ``HIVI NA MWILI WA MAREHEMU BALALI(M/Mungu amrehemu)pia ni WANTED huku Tanzania?
    As far as I understand, we can not put the Corpse in prisons!
    Mbona masihara haya!!!!
    Serikali irudishe mwili wa marehemu, kuondoa utata, and that's final!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2008

    Safi sana kwa kuwakilisha wabongo, samahani kwa kuuliza "Wilbard Mkoba" wa Forodhani Sec School 1997?, kwa mama Busianya? safi kijana kwa kuwakilisha.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2008

    Wabongo tumezidi kujisifu,Nchi hiyo aina hata timu moja inayojulikana ya soccar,wakati nyinyi tunawajua hata kupiga danadana kumi aifiki.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2008

    Hivi nyie Akina michuzi na wanzako mbona mmekazania hiyo MYSORE .. NINI WAPI NA KUNA NINI CHA maana naomba jibu ..

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2008

    jamani kunradhi huko maisori sijui mysore ndio wapi nako ?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2008

    mchangiaji wa kwanza sio kuwa naku-underestimate ila nikukufahamisha tu,hili tatizo sio lako tu bali nimeliona humu maranyingi sana kwa watu kushindwa kutofautisha PICTURE na PHOTO.
    PICTURE huwa inachorwa[we draw a picture],PHOTO huwa inachukuliwa[kupigwa]kwa kutumia camera.
    najuwa wengi tunachanganya maneno haya kutokana na kutafsiri ama kiswali au lugha zetu za asili kwenda kiingereza[picha=picture].
    ni ktk kutoa mchango tu, usijali sana anony no 1.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2008

    Jamani mfananishe na nchi za kujivunia ushindi kwa Sudan ndio unaweka kwenye blog. MMh! Kwanza usikute huo mji Mysore upo Sudan Watu wanawaza vita wewe unawapa futboli

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2008

    Safi sana kijana Wilbad Mkoba.Nakumbuka pale ndani ya foradhani 1997 na mzee antoni tulipo iba chocolates zamachinga saidi.Mambo ya kununua kahawa na vishata kwa watoto wakigogo tukiwazingua
    Hapa ni dr k email kmshana2@hotmail.com

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2008

    Cha kushangaza wabongo wanaopiga mpira mchangani wanajua wanafanya kitu gani. Najiuliza kwa nini Simba ama Yanga hawana mpira? I hate TZ football, yaani sina moyo nao hata kidogo, kuangalia mpira wa Bongo (karate) ni sawa na kujichosha kisaiklojia.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2008

    BIG UP masela!
    hukonyuma wakati watu wana walalamikia utundu wenu ulikuwa mkubwa sana kwa vurugu mechi na kupalamiwa pale ktk vibanda vya juice!lakini sikuhizi mnafanya mambo vijana!BIG UP

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2008

    Haihusiani na hayo ya picha! Lakini yawahusu baadhi ya wanakijiji - kupitia African Studies, University of UCLA (University of California at Los Angeles):

    The Africa Thesis Award!

    Are you interested in Sub-Saharan Africa and is your Masters thesis on a related subject? If so, the African Studies Centre (ASC) in Leiden, The Netherlands, is offering you the chance to win €4000 in its Africa Thesis Award!

    The award consists of a prize of €1000 for the winning thesis and an additional €3000 for the writing of a PhD proposal or for fieldwork to update the original data for a wider audience. The winning thesis will be published in the ASC African Studies Collection.

    For further info, fungua:

    http://www.ascleiden.nl/Research/Award/

    Mwisho wa kupokea maaombi ni 16 Juni, 2008.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2008

    maysore ni hapo karibu na kule nanaihii, si mayor wake ni yule jamaa ana macho hivi!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2008

    ati picture ni ya kuchora na photo ni ya kuchukua kwa camera...acha kingereza cha ngumbaro na acha mbwembwe...wewe anony 12:25 PM hata huku niliko kwa walioanzisha kudhungu picture ni picture tu imechukuliwa kwa camera au imechorwa ni picture au photo ni picture tu .....imechowa ni a drawing picture na kama ni ya mtu au mnyama ni a drawing portrait....

    Usisumbue watu mwenye kushangaa picture hiyo amezoea mavitu ya digital camera zenye high pixtels sasa hiyo picture labda ya camera za film au camera ya simu au camera yenye low pixtels...

    Kukosoa watu wanapotoa mawazo yao kuhusu kingereza wakati hata vingereza vyenyewe ni vya dictionary

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 23, 2008

    we anony wa 9.42PM nadhani umerash usilete uongo wa kusema picture ni picture tu! unatakiwa uelewe kuwa a photo is an object,but apicture potray somebody's immage. a photo you put in your photo album will potray your image. anyway sijui uelewa wako wa lugha,kwani kuishi kwako huko waliko waanzilishi wa lugha ya kiingereza si guarantee kwamba nawewe basi unafahamu grammer,hata waingereza wenyewe wapo wasio juwa grammer yao,na ktk grammer si ajabu mtu wa nchi nyingine akapata A-Pass na mwingereza akapata C. hii nikuonyesha kwamba hata ktk kiswahili sio watanzania wote wanafahamu lugha sanifu.
    najuwa haya mambo yanachanga watu sana,to draw,to sketch,nk
    najuwa utabisha sana,lakini neno photo,phototype,photograph,haliwezi kuwa picture unless umeconsult watu wa mitaani wanao ongea lugha hiyo kimakosa pia.mambo ya pixel,megapixel,mimi sio muhusika wala hayanihusu maana sio kazi yangu.lakini ktk lugha nikotayari kujifunza hatakama nitaverify nenohilo kupitia dictionary and that is why the dictionary does exist to serve a quick reference whenever there is any conflict of ideas on agiven word. so if you are ready to educate i will appreciate a great deal!and i stand to be corrected ,otherwise you too mother further need go back to school!.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 23, 2008

    A PHOTOGRAPH[often shortened to photo]is an image created by light falling on a photosensitive surface,usually a photographic film or an electronic imager such as a CCD or a CMOS chip.most photographs are created by using a camera which uses a lens to focus a scene's visible wavelengths into a production of what the human eye would see.
    sasa mheshimiwa can you draw a photo? no! you can take apicture and develop it into a photo.
    rember wheneve we say photo lazima na light is involved.
    pia nikusahihishe kwa kutudanganya kuwa UKO HUKO KILIPOANZIA KIINGEREZA KWA HIVYO UNAJUWA SANA KIINGEREZA.
    wewe unabeba mabox tu,kiingerza hujui!ungekuwa unajuwa usinge andika TWICE neno MEGAPIXTEL,PIXTEL
    ngoja nikupeshule basi .hilo neno linatokana na neno PICTURE ELEMENT,wakati neno picture likifupishwa kwa nenoPIX,na element kwa neno EL. SASA hebu niambie shule yako na utaalam wako wa kiingereza unachokifahamu huko kwa wazungu wako kikowapi?
    hushirikishi hata ubongo kidogo kujuwa neno TEL-au TELE-hutumika kumaanisha vitu vilivyo mbali, ikiwa ni tele-phone,TELE-graph,TELE-phax,
    telecommunication n.k
    haya ibuka tena naminitakupa shule.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 23, 2008

    Nawashauri wabongo wa Mysore kuunda timu ya cricket au rugby ili kupata upinzani kwani wadosi na soka ni vitu mbalimbali. Mkishinda cricket au rugby post katika michuzi na tutakubali kuwa nyie ni moto wa kuotea mbali.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 23, 2008

    huyo illbard Mkoba ndio huyo kaka wa Forodhani kwa mamaBusianya wewe ni nani? tuwasiliana kaka nipe number yako kaka humu humu nitakuccheki....Mkoba

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 24, 2008

    Ndugu Annony 22 may, 9:42pm, Photo means light..anything to do with mwanga !!.kwa hiyo annony 1:21Am May 23 yuko sahihi. You can draw a picture, and you take a photograph. Pia kufahamisha kuwa Photo inahusu light kuna maneno mengi yanayohusisha mwanga...kama Photophobia..kuna conditions za kisailkologia ambazo watu huogopa mwanga. Nyingine ni Photosynthesis..process ambayo mimea hutengeneza chakula chake kutumia mwanga...(baiologia ya form VI..hiyo) Photogenic affinity to light kwa mimea au wanyama huonyesha mfumo huu. Au kama ni kwa kupendeza kwa taswira nzuri kama kwenye mashindano ya urembo, pia wanasema mwanadada huyu ni Photogenic.Kwahiyo kama ungeelewa hivyo usingetoa argument kama hiyo uliyotoa kuhusu photograph na picture. Hii ni kwa kukusaidia tu usijisikie vibaya!

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 25, 2008

    waTZ kwa fuss??yani raia wema mnataka kutoana macho kwa ajili ya neno picture & photo.vyote hivyo vinawakilisha image ya kitu.tofauti ni hiyo image kama ilikuwa ya kuchora au kutumia kamera.
    ni vizuri kama unamkosoa mwenzio just coz umeangalia maana ya neno ktk kamusi basi ni vyema NENO hilo ukaliangalia ktk sentensi tofauti tofauti.
    sometimes ili kuepusha mtata ni bora kutumia neno IMAGE. samahani kwa yeyote atakayekuwa offended.
    kwikwikwi hayo ni mawazo yangu 2.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 26, 2008

    MICHUZI VYOVYOTE WASEMAVYO, MIPICHA ILIYO FIFIA KAMAHII NAKUOMBA UWE UNAICHUNIA INATUUMIZA MACHO. WAKIONA UMEIBEBA YAKO WANAFIKILI UREMBO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...