Kutakuwa na kikao cha Wanyiramba wote waishio Dar Es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 24.05.2008 saa 9.00 mchana Msimbazi Centre.
Aonaye tangazo hili amtaarifu na mwenzake.
Tafadhali tuwahi bila kukosa.
Adam
Katibu wa UKWAMI
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba wajadili suala la kuacha kutairi watoto wadogo wa kike ....
ReplyDeleteNaomba wajadili suala la kuacha kutairi watoto wadogo wa kike ....
ReplyDeletejamani kamwene umnogage!!
ReplyDeleteTunaomba Ajenda tafadhali
ReplyDeleteNimegundua baadhi ya wachangiaji hawalijui kabisa kabila la Wanyiramba ndiyo maana wanaandika mambo ya kutahiri watoto wa kike mara kamwene umnogage???...Msua
ReplyDeletesasa wewe Anonymous 3, wa May 22, 2008 1:38 PM, kamwene umnogage!! hicho ni kinyiramba? au we Msomali? bahati yako, tutakutumia Uhamiaji faster!wacheck urai wako.
ReplyDeleteAgenda
ReplyDelete1. Kukomesha ukeketaji
2. Kutokutumia 'wanyiramba' na
badala yake kutumiwa 'watu
watokao Singida
3. Kupingana na rushwa
4. BNY (NOB)
huo ukabila mtaacha lini jamani?juzi kulikua na kikao cha wahaya leo tena wanyiramba,mnajua mazara ya ukabila au mnafanya vikao tu.kwa nini msianzishe jumuia tu ya kawaida hadi iwe ya ukabila?ni hayo kwa leo
ReplyDeleteAfadhali mkutane kuendeleza mikakati mizuri ya kusadia Singida. Mmekamata nchi mmeshikilia muda mrefu toka enzi za Nyerere ila kwenu mambo sio swafii hebu rekebisheni acheni utani.
ReplyDeletemimi ndiye nil;iyesalimia kamwene kwasababu niridhani ni kinyirampa,nisameheni...!..ila je mnasalimiaje?
ReplyDeleteanon 8:16 acha wivu...na wewe si ufanye la kabila lako bwana
ReplyDelete