kwa kukusaidia hii sehemu ipo dar, na sio a-taun...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2008

    Beautifl!Mimi sina clue ni wapi, ila nimefurahi sana kwa utambuzi wako kuwa kwa kawaida sehemu tamu kama hizi zinapatikana A-Town. A-TOWN OYEEEEE!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2008

    Hapo ni nyuma ya Hotel ya MOVENPICK ... mvua ikinyesha maji hujaa katika Garden yao!!
    Mpendakeroro...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2008

    Mi na swali pia kabla ya kujibu lako:
    Mimi ni nani? Kwa kukusaidia tu mimi ni Mtanzania. Sio mkenya

    Jibu la swali lako:
    Hapo ni ile sehemu yenye maji na miti.

    NB: Maswali mengine yanafurahisha sana kwa kweli. Maana hayana uti wa mgongo wala kiuno!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2008

    mdau hapo juu.umenifurahisha sana! yaani sijacheka for ages laikini comment yako imenipa raha!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2008

    Hapo ni kwenye Bustani ya Adam na Eva na kwakukusaidia hiyo picha alipiga Eva aweke kwenye album yake. Ahsante

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2008

    Hapo Home.......

    Mdau T-Dot

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2008

    Hapo ni sehemu ya bustani ya moja ya mahekalu ya mafisadi wa kibongo !!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2008

    You pipo are killing me OMG, we wa swali-jibu na Wa Adam na Eva, thanks 4 makin me laugh, ooohh ndg mnachekesha sana kwa kweli.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2008

    HAPO NI MJIMACHAFU, SINZA.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 21, 2008

    Michu; Umesahau ama unataka tu kunipa title!! Hapo ni nyuma ya gheto langu K-nyama!!! Nanyori

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 21, 2008

    Hapo uhani kwangu na bado hujaona mazigira ya mbele ya nyumba! Jumba lenyewe sasa, sisemi sana!
    Muhaya

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 21, 2008

    Nakumbuka Shuleni nlikua najibu maswali magumu tu,

    Yaan mpaka ilifahamika kua kwangu swali likishindikana ujue limekosewa,

    Sasa nakujibu confidencely kua
    "HAPO NI KWENYE PICHA"
    Tihi tihi tihi,

    Baa-Halali

    ReplyDelete
  13. Minahisi hapo ni hanging garden of Eden (sijui hata ni wapi) ila uhakika mmoja tu ninao kwamba ni duniani tena Africa, Tanzania na ni Dar si A- Town kama ulivyosema. Yawezekana Holiday inn au movenpick.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 21, 2008

    HAPA NI KWENYE PICHA ILIYOPO KWENYE MONITOR!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 21, 2008

    NIMECHEKA COMMENT YA Tarehe May 20, 2008 4:33 PM, Mtoa Maoni: Anonymous KUDADADADADADEEEKIIIII..UBARIKIWE!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 22, 2008

    irene na annonimous kibao, mbona mnapata tabu kujibu swali rahisi kama hili! nina wasiwasi na shule zenu nyie..
    HAPO NI KWENYE SCREEN/MONITOR YA COMPUTER.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...