Katika mambo ya kuendeleza libeneke ndani ya oslo msanii aliyechengua katika shoo mbalimbali huku ulaya, Ali kiba, ameingia studio kurekodi pamoja na wakali wa rap kutoka senegal (picha ya juu) ambao wanatarajia kutoa singo pamoja na msanii Ali.
kwa jinsi anavyokubalika wadau wakae mkao wa kula.
Hassan,
oslo
Rafiki/ndugu yangu Mwita (Jo) uko wapi? Najua ndo yalikuwa mambo yako hayo (magoma) na enzi zako ningekuona hapo - au ndo wakati ushapita na ushajichimbia Lillehammer?
ReplyDelete