Mdau mkuu wa Libeneke na nanihii
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT "THE SMART CHOICE" Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Ila nawaomba tuweze kujieshimu kila mmoja wetu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya globu ya jamii, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoeleza vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.



 

Thursday, July 10, 2008
mkutano wa agoa washington DC
kwa wale wote wanaopenda kushiriki mkutano wa Agoa utaofanyika Washington DC july 14th to 16th 2008, usiache nyuma kitambulisho chako !!
Baadhi ya mawaziri na wafanya biashara kutoka Tanzania watakuwepo ni wakati muafaka wa kukutana na wenzetu wanaofanya shughuli mbali mbali toka Nyumbani Tanzania,na kubadilishana mawazo na pia kufahamiana.
/Document_Library/Press_Releases/2008/May/Report_Shows_AGOA_
Continues_to_Grow_Diversify_US-Africa_Trade.html
kongoli hapo chini uone product eligibility
product_eligibility.html
Akhsanteni ndugu na Jamaaa !!!
Global Network Investments
1800 804 0712 office
240 271 8477 cell
 
© Michuzi | Thursday, July 10, 2008 | Permalink | Mtumie Rafiki Yako |


Maoni: 1


  • Tarehe Tue Jul 15, 01:25:00 AM, Mtoa Maoni: Blogger Tumaini

    MICHUZI NIMEKAMATA MISUKULE ILI NI TANGAZO LA UZUSHI HAMNA MKUTANO WALA VEUE NI WASAA NII. SASA ADHABU YAO NI KUFUNGWA JELA MAISHA. KIJANA WANGU NILIMTUMA AFUATILIE ANUWANI YA MKUTANO AKAPEWA 1300 PEN AVE AMBALO NI JENGI LA REGANI. KIJANAWA NGU ALIPOTINGA RUTUNDA AKAKUTA KIKAO CHA BIASHARA CHA ASIA. BADO WANAFUATILIA. HII SEHEMU NI NYETI HUINGII KAMA HUNA MAKARATASI . NAWAULIZA MKUTANO UKO SUITE NAMBA NGAPI

     


Idadi ya watu
eXTReMe Tracker