wafanyakazi katika chumba cha habari cha dailynews na habari leo wakifuatilia msiba wa hayati chacha wangwe kupitia luninga ambapo tbc imekuwa ikitangaza laivu toka dodoma karibu kutwa nzima leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2008

    Da Daily news papo poa sana. Hivi uyo mwenye sketi nyeupe anaitwa nani vile ohh nimemsahau.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2008

    Mwanangu hicho kitu chenye nyeupe na nyeusi naomba nikija Michuzi nisukumie! Pesa yangu ya kubeba maboksi nitakabidhi bila ubishi. Kimetulia mwanangu!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2008

    Mnisamehe wadau kwa ntakayosema kwani nimehuzunishwa sana na vifo hivi, hasa vinavyoshusiana na ajali za barabarani watanzania na kwa viongozi wetu hasa wabunge naomba nitoe ushauri kwao, nakubali usemi kuwa ajali haina kinga, ila naomba wawe namakini na wayape maisha yao uthamani kwani kuna wengi wao bado tunawahitaji katika kuendeleza gurudumu la kutetea haki na maendeleo ya nchi wanatutoka, wajaribu kuwa na madereva wa uhakika na magari ya uhakika, sio kujiamini wenyewe au kukamata madereva hovyo mitaani kwa kukwepa labda malipo ya juu au vipi gani, Nimejaribu kutafakari na kuona ajali nyingi zinazotokea zinasababishwa na uzembe na miundo mbinu finyu ya barabara zetu ambazo si pana vya kutosha na madereva wao si wale mahiri saaana wako wa kiwango cha kawaida kiasi anamuona dreva wake hajatulia bado anakuwa nae tuu, bila kuhoji na kushituka. Sina jinsi ya kuongea vema zaidi sina nia mbaya ni kama ushauri ili kupunguza matukio kama haya na simanzi zinazotushika tunapompoteza mmoja wetu.narudia tena poleni wafiwa na watanzania wote kwa misiba ya kuwapoteza wapendwa wetu na viongozi mahiri wa kutetea haki za wanyonge.
    Mungu ibariki tanzania.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 30, 2008

    Namwona dada Tuma Abdallah hapo. Huwa nampenda sana and I wish other female journalists could live and be professional like her.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 30, 2008

    sasa kwa hali hii ya kuzabaa hivi kazi zilifanyika kweli hapo daily news mana kila mtu anaonekana HAKUTAKA KUPITWA! na kila hatua alikua lzm ashuhudie

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 30, 2008

    Anonymous hapo juu wa6:49pm huyo dada mwenye skirt nyeupe anaitwa mwanamke kama umemsahau.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...