The Nyerere Health & Education Fund Presents:
A Celebration in Remembrance of
The Life and Work of
MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYEREREA Celebration in Remembrance of
The Life and Work of
WHERE: Mosaic Church, a Non-Denominational Congregation,
4401 – 16th Street,
NW,
Washington,
DC 20011
WHEN: Saturday, October 18, 2008, 4:00 – 7:00 pm
YOU ARE ALL WELCOME!
FOR MORE INFORMATION CALL:
301.357.9050
Thanks for the advertisement tungeweza kujua hii shughuli inaendeshwa na nani? An je ni free event? It helps to be detailed kwani I have seen advertisements like this and then you get at the door and you have to pay or you get at the door and it's free. If you can put some more information I will appreciate.
ReplyDeleteMdau Baltimore
Inawezekana imefungwa lakini hakuna ufuatiliaji wowote! huo ni uongo nani ana muda wa kufuatilia mablog??? na ni kwasababu ipi ya msingi???
ReplyDeleteWe remember you Mwalimu.Kuna kitu kinanisiktisha sana,serikali ilipiga marufuku(nasikia) uuzwaji 'holela' wa kanda(cassettte) bila sababu za msingi.Huwezi kuzipata hizi kanda,mimi ninayo moja niliinunua kabla hazijazuiwa ni,nzuri sana kuisikiliza.Wananchi wanahitaji hizi kanda.Radio ya Taifa inakuwa inaweka vipande vya robo saa nasaha za baba wa Taifa tena saa 11 asubuhi sijui na saa 2 usiku.Kama kuna anaweza kunisaidia sehemu ya kununua hizi kanda anisaidie.Kama kuna mtu wa serikali humu kwenye blog atueleze ni kwanini zilizuiwa kuuzwa mitaani.Ni hayo tu.
ReplyDeleteHapa wandugu wa DC wamalizie info kama kiingilio, mgeni rasmi, ajenda na kama kuna limit ya watu basi watu wajue. Kisha watuhakikishie suala la muda maana ni kawaida kusikia kuwa saa kumi mpaka moja jioni, halafu mkajikuta mnaanza saa moja. Kuna ratiba nyingi hivyo wakiwa punctual itasaidia hasa katika tukio hili muhimu la kumuenzi mtu muhimu kama Nyerere.
ReplyDeleteGood Job and see you there.
Nakuunga mkono, really natafuta kanda za speech za mwalimu umoja wa mataifa, OAU na Ndani ya nchi. Nakumbuka nilikuwa mdogo but I still remember kusikiliza na kuelewa anasema nini. Kwa wale wasiobahatika kushuhudia uongozi wa Mwalimu Nyerere ni muhimu kusitafuta hizi kanda au kusoma kitabu kinaitwa "Julius Nyerere of Tanzania". Sijui nimwite mchungaji, maana alikuwa na power ya kuzungumza na TAIFA na dunia nzima na atakalolitamka litatokea. Tanzania ni nchi moja duniani ambayo madeni yake ya mabilioni ya pesa ya huku Marekani yalikuwa yakisamehewa wakati wote. Maana mzee wetu alikuwa anakuja IMF na world bank na kuwashushia nondo za hali ya nchi ilivyo mpaka wamarekani wenyewe wanaona haya kudai watu ambao bado wanahitaji msaada. God bless his soul na tunamwombea mema huko alipo. He really fought for all of us like his own kids! You are really missed MWALIMU!
ReplyDeleteMICHUZI TUNAOMBA UTUTAFUTIE DVD NA UTUUZIE KWENYE BLOG HII KUHUSU HUYU NYERERE. SIKU ZINAVYOKWENDA MBELE NDIO JINSI TUNAMKUMBUKA
ReplyDelete