mambo iko huku
uzi wa wanaume
nipo
kuwahi muhimu
kaka michuzi pole sana kwa kazi,
nimetuma picha hizi kwenye hii blog ya jamii ili uone liverpool inavotesa kwa sasa na hii ni siku ambayo nilikuwa uwanjani live liverpool vs stoke,lakini refa alituangusha kwa goli ambalo alilikataa bila sababu yoyote.

ni mimi mpenzi wa liverpool chizmy salakana.

liverpool hureeeee.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hahaahah kweli kuwahi muhimu mwenzako kaupuwa nyuma huko ya picha naona. bwawa oyeeeeeeeeeeeeeeeee! safarihii hii hata auumie nani tutajikamuwa hivyohivyo. wambie hao nyuma inatosha tena blog ya michuzi ishawaona.

    ReplyDelete
  2. Felichismy Salakana, nnakuona kumbe na wewe mpenzi wa bwawa la maini? yuwapi simon T? mpe Hi ukiwasiliana nae!
    ur classmate s.r.s.s, salama.

    ReplyDelete
  3. T he t he ee na hao huko nyuma tena wanafanya nini!!!???

    ReplyDelete
  4. wacha ushamba wewe mtu mzima

    ReplyDelete
  5. oya mwana aminia dah!liver ni noma, msimu huu lzm kieleweka.poa mwana endelea kuwakilisha!!!LIVERPOOL OYEEEEEEEEE!!!!!!!!!!U'LL NEVER WALK ALONE!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...