PRODUCER MAARUFU HAPA NCHINI ROY BUKUKU (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA HUKO KWAO MBEYA JANA BAADA YA KUSUMBULIWA NA UGONJWA WA INI KWA MUDA MREFU.
GLOBU YA JAMII INATOA MKONO WA POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA ROY POPOTE WALIPO KWANI TUMEMPOTEZA MTU MUHIMU KATIKA FANI YA MUZIKI WA BONGO FLEVA.
MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Roy alikuwa Producer mzuri sana aliewapandisha juu wasanii kibao wa Bongo Flava kwa nyimbo zenye midundo ya kuvutia.

    Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Mahala Pema Peponi.

    ReplyDelete
  2. RIP... Poleni wafiwa

    ReplyDelete
  3. Tangu nipokee text mchana huu nikiwa kazini toka nyumbani block T Mbeya,nashindwa kuamini, majonzi niliyonayo haielezeki. Roy my next door neighbor and a close family friend, knew the family since the day they came back home to Tanzania frm Belgium, the most friendly guy, friend of my brothers, very hard working,very easy going, and now he is gone!
    Nilisikia jinsi alivofanikiwa as a producer in Dar.
    Pole kwa My dear lil sister Atu/Enika,Pole sana kwa Mama Roy, Evans na mzee Bukuku. Pole sana pia kwa aunt Mary wa Arusha.
    Mungu Ailaze pema peponi roho ya mpendwa wetu Roy, Amen.Pengo halitazibika kamwe.
    Grace J, New York.

    ReplyDelete
  4. Roy was always cheerful and smiling. Rest in Peace Roy - You will be missed.

    ReplyDelete
  5. R.I.P cuz

    ReplyDelete
  6. Poleni wafiwa, huyu Roy ni kaka wa Evans Bukuku?

    ReplyDelete
  7. Duh! kazi ya mola haina makosa.

    Roy ..nakumbuka moja ya kazi aliyoifanya niliyoipenda ni pamoja na wimbo wa violet wa Matonya.

    RIP.amen

    ReplyDelete
  8. You're soul should rest in Peace. Amen

    Kenge

    ReplyDelete
  9. Nitakukumbuka daima Roy, haswa ulipokuwa unanitania kila unaponiona popote, Mungu akulaze mahali pema rafiki yangu! Ben Kinyaiya, EATV;

    ReplyDelete
  10. R.I.P Roy.

    Mdau,
    Gothenburg,
    Sweden.

    ReplyDelete
  11. roy my brother,
    moja kati ya maproduza bora ambao tanzania imewahi kuona,nakumbuka ngoma ya mr blu ya kwanza..nakumbuka chungwa ya suma lee nakumbuka mengi..na ntakukumbuka kwa kila zuri na cha kuchekesha ambacho tulikua tunaongea..mengi yalikua ya kuchekesha na pengine kubishana juu ya nani anajua kuimba..
    washwahili wanasema kizuri hakidumu na sote tunaenda huku huko ila hatujui tu siku yetu ni lini,
    pole kwa familia,jamaa na marafiki
    rest in peace my brother..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...