JK akiwasili Nairobi leo tayari kwa mkutano wa mgogoro wa Kongo
JK na Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mwenyeji wao Rais Mwai Obama wa Kenya kwenye hoteli ya Windsor ambako mazungumzo ya mgogoro wa Kongo yanaendelea leo

Mwenyekiti wa African Union (AU) JK akiongea na KAtibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mh. Ban Ki Moon muda mfupi kabla ya wote kuhudhuria kikao maalumu cha majadiliano kuhusu mgogogoro mashariki ya Kongo katika hoteli ya Windsor Golf and Country Resort leo hii huko Nairobi, Kenya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hatuiombei mabaya nchi yetu, lakini kwa mwenendo unavyokwenda hivi sasa katika Tanzania yetu, inawezekana nao wakaja kukupatanisha wewe sikumoja...

    Mungu tunaomba atusaidie tusifike huko.

    ReplyDelete
  2. Samahani, Mh. Balozi, hapo sijakuelewa vizur, Rais Mwai OBAMA????? Mh!!!

    ReplyDelete
  3. Mzaramo kwa kuzunguka huyu? Humtoi!

    ReplyDelete
  4. Hapo naoona zuria jekundu katika uwanja wa ndege hakuna bendera ya ya nchi husika katika zuria ilo.Nifunzo tumechoshwa na udalilishaji wa bendera yetu

    ReplyDelete
  5. Ya kwanza mintarafu "advocate jasha" kwa oni lako uliloliandika hapo juu, neno halisi ni zulia si zuria. Ya pili udhalilishaji unayozungumzia inamaanishaje? Yaani kutokuwa na bendera ya nchi ya mwenye rais anaowasili katika uwanja wa ndege ya nchi nyingine inamaanisha huyo rais anadhalilishwa au sengenywa au fedheheshwa. Tuelezee kwa kina tamko lako manake sielewi...

    ReplyDelete
  6. samahani kitu nilicho taka kusema nikwamba katika mazulia yetu katika uwanja wa ndege na juba la bunge yamenakishiwa na bendera ya taifa letu kitu ambacho nadhani ni kudhalilisha bendera yetu kwani katika nchi nyingi kama act of protest bendera uchomwa moto au kufutia miguu.

    ReplyDelete
  7. Huo sio uzalilishaji, marekani watu wana shona hadi chupi za bendera ya nchi yao.

    Mimi nilikua nataka kuchangia hil;i suala la Congo,

    Nilifurahi sana kumuona JK kupitia BBC, akimkoromea kagame, ingawa hakutaja jina la kagame lakini msg ilimfikia na mwenzake nkunda, Mimi ninacho jaribu kuwaeleza watanzania wenzangu nikwamba Hawa WATUSI hawafai, msikalibianenao, hivi vijimtu nivishenzi sana!
    kama Kagame na mseveni wame pata vijihela kidogo kwenye nchi zao sasa wanaanza kuleta matatizo, kwawengine je kama wange kua nahela ya kufikia Tanzania, sijui wangekuaje!

    MIMI NAPENDA KU WAHAKIKISHIA WATANZANIA KWAMBA HATUTA FIKIA HUKO!

    Tanzania tumekomaa kisiasa sio kama hao watoto wadogo akina kagame wanakuja juzi alafu wanajidai kuleta fujo,
    Tanzania ina wa staafu wengi wanao weza kusaidia Tanzania na viongozi wake kufikia maamuzi ya msingi na tuna historia kubwa na yakuheshimika ambayo ni mfano wa kuigwa kwa hiyo watanzania tusi hofu, kama tukifikia huko ujue sisi ni wajinga kwasababu viongozi walio pita wame tuonyesha njia nzuri sana.

    Ila tue makini sana kuna vitusi ambavyo vina jiita vitanzania kueni makini navyo sana kwasababu sikumoja vitakuja kogombea urais alafu vitatuweka kwenye matatizo, huwa vikiwa madarakani havifikirii mbali, kwahiyo kueni makini sana Ndugu watanzania.

    Namuomba JK azidi kuwakazia msuli mpaka huyo nkunda aondoke huko congo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...