DJ BEKA akifanya vitu vyake ndani ya African Bash mjini Rome ,iliyofanyika tarehe 26/12/2008 ambayo ilifana sana.Wadau wanatoa pongezi kwa matayarisho mazuri na muziki wa kizazi kipya uliopagawisha ndani Rome mpaka kusheee...!!

Kwa picha zaidi tembelea:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Chubiriti alitia team huko lakini?

    ReplyDelete
  2. Mzee tulitafuta sana sema atukumpata!! Chiribiti tutafute bwana ili tuwetunakuarika kwenye shughuli zetu!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...