daimon na mai waifu wake wakivinjari baada ya kumeremeta kanisa la azania front wikiendi hii
daimon na magdalena wakikabidhiwa nondozzz yao ya ndoa baada ya kula viapo
maakuli ya nguvu ukumbi wa sabasaba
wazaa chema wa daimon, baba na mama mlowola, wakituzwa na wana TGNP anakofanyia kazi mama
wafanyakazi wenzie na bwana arusi walijitokeza kwa wingi kumpa taffu
katibu wa kamati ya maandalizi aimwaga sera na kutangaza zawadi kwa maharusi
maharusi na wazazi wao
mc msami akisherehesha vilivyo








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HONGERA BRO MONI!!!!!!!!U LUK A BIT SKINI NOW DAYS.BIG UP AND CHEERS.
    DOGO ZAMU YAKE INAKUJA ASAP A.K.A BWANA KATIBU

    ReplyDelete
  2. Huyu ni Daimon aliyesoma Forodhani Secondary ama? You resemble that Daimon so much. Whatever the case, Congrats Bro.

    ReplyDelete
  3. i know this daimon
    tullikuwa tunakaa na kusali pamoja pale tandk
    hongera na mmependeza

    ReplyDelete
  4. uyu ndie daimon kwa baba yake pale tandika karibu na msikiti wa Bilal Muslim AU pale texas corner kwa mwinyi GOGO a..k.a mzee wa matunda.
    alisoma forodhani sec na azania .

    ReplyDelete
  5. bibi umependeza na kutoka kivyako. RIP mabega wazi na viua vya kichwani.

    ReplyDelete
  6. Jamani Dada Alice hongera kwa kupata mkwe na Daimon hongera kwa kupata mke Nawatakikia maisha marefu yenye baraka tele .

    by former TGNP worker Cath

    ReplyDelete
  7. Brother Michuzi nawapongeza sana maharusi kwa kupendeza. Wamefunga pingu za maisha na Mungu awajalie. Lakini brother Michuzi kwenye ile picha ya nne pale wazaa chema wa daimon, baba na mama mlowola, wakituzwa na wana TGNP anakofanyia kazi mama kuna binti mwenye miguu safi na umbo la kuvutia. Amevaa blauzi nyekundu na sketi nyeusi. Unaweza kunipatia contact zake. Maana ule mwoonekano sio kawaida. Lazima nifuatilie. Kama hajaolewa basi nifanye kweli. She is real beatiful!!! email yangu ni s_sheydom@yahoo.com. Tafadhali brother!!
    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...