DA' MWANTUM KITWANA DAU ANAPOZI BAADA YA KUVUTA NONDOZZZ ZA ACCOUNTING AND FINANCE TOKA CHUO KIKUU CHA UNIVERSITY OF EAST LONDON (UEL) NONDOZ ZA ACCOUNTING AND FINANCE.

GLOBU YA JAMII INATOA HONGERA KWA MDAU MWANTUMU KWA KULA NONDOZZZ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Hongera Dada! Sky is the limit!
    Mdau,
    Gothenburg,
    Sweden.

    ReplyDelete
  2. Hongera da Mwantum!!!
    From Leicester

    ReplyDelete
  3. Congrats!!!

    Ambassador

    ReplyDelete
  4. Dada Maatum hongera kwa nondozz. Ninachotaka kukuuliza kama hutajali tafsiri ya jina lako hilo. Mimi nimekwita Maatum nimeogopa kupata nilichokipata kitambo kilichopita, kuna dada mmoja milimwita jina hilo Mwantum, mama weee alinipasha nikapashika na kunirekebisha kuwa yeye anaitwa Maatum sasa hebu dada nipe shule hapa tofauti ya Mwantum na Maatum au vukolombwezo tuu na uhalat ndo watu wanabadili majina?kwa nijuavyo mimi kuwa hiyo MWAN- maana yake mwana ila hio tum inanitatiza na inanipa kazi ya ziada nikutanapo au nitamkapo jina mbele yake nakuwa makini sana ili nisije mkera tena. Plse naomba tafsiri ya jina lako kama unajuwa. Mimi naitwa Neema kwa maana ya kawaida ya neema Grace kwa kidhungu na arabic Naama/Nayma jina la kinyumbani naitwa Nemyingwa tafsiri yake ni mtoto wa watu

    ReplyDelete
  5. Da Mwantum, keep it up!!!

    Obama said 'YES WE CAN'

    Indeed you have shown, despite the contrary it is true that where there is a will there will always be a way.

    May God bless u and now go fast to grab that masters we are waiting for. I'll be waiting 2 see u soon.

    Waswahili walisema 'Mgaagaa a Upwa...Hali wali mkavu'.

    Mwalimu Kijana, Basildon

    ReplyDelete
  6. Hongera,Dada Mwantumu.
    Mdogo wako Hassan,London

    ReplyDelete
  7. hongera dada kwa nondozz!! haya nenda kapumzike bongo kwenye kiti cha kuzunguka,maana ukerewe kupata kazi ya kupumzika shughuli!

    ReplyDelete
  8. Ma Mwatumu Hongera sana..waswahili wanamsemo wao wa 'Penye nia pana njia'
    Wewe nia ulikuwa nayo na njia umeonyesha..hii ni changamoto kama alivyosema Mwalimu wa Basildon Yes we Can.

    Former UEL student (4blake Avenue, Barking)

    ReplyDelete
  9. michu please wacha kutuchafuwa na msemo wako wa "chuo kikuu cha university of......" wewe nilidhani ni mwandishi!

    ReplyDelete
  10. ntaweza wapi mie mambo yenu hayoooo mie ahhhh

    ReplyDelete
  11. Da Mwantumu Hongera sana kwa mara nyingine, hii umeonyesha dhahiri kuwa elimu haina mwisho na iwe changamoto kwa vijan waliokaa kaa hapa ukerewe bila ya mpango na kwengine kote warudi shule wakasome. Despite all the hurdles na matatizo yote ya uanafunzi Mungu amekujaalia determination na Umeweza kumaliza.Na Inshallah yote yataisha na utaendelea kubarikiwa. Tunahitaji kina mama mahiri kama wewe kwenye jamii yetu.
    Wadau jamani mimi sio kama namtetea Auntie yetu huyu lakini believe me ni mfano wa kuigwa msimuone hivi kavaa kofia hapa mkaona she had it easy , mimi nimekutana nae juzi mtaani huko na baridi maskini lakini ana vitabu vyake vizito anaelekea library asubuhi kusoma ambapo mtu mwingine tena mimi wa kwanza ningelala nyumbani sasa watu wengine kwa nini hatujifikirii maisha yetu ?

    ReplyDelete
  12. HUYU DADA INA0NEKANA NI MZARAMO JEE WAZARAMO NA WAISLAM SIKU HIZI WANAKULA NONDOZ?
    NAOMBA JIBU
    MDAU JAPAN.

    ReplyDelete
  13. Hongera Mwantumu. Hivi huyu ndiyo Mwantuma yule waziri? Au nimechanganya madawa? She looks beatiful!!

    ReplyDelete
  14. Michuzi post za kipuuzi kama hizi kwanini unazipost?
    Mzaramo muislam haya yote ya nini?
    Kuna kabila au dini isiyosoma?

    Ninakereka sana Michuzi kuona watu wenye mambo yao yakipuuzi wanapost comments zao zakijinga na wewe unaziruhusu.

    Nakumbuka shuleni tulikua tunasoma binadamu wote ni sawa.

    Kama Michuzi unaruhusu comments zakibaguzi au kichochezi hapa tutahama hii blog yako.

    Mwisho, kama utapost hii comment au hutaipost lakini ujumbe umeshaupata

    ReplyDelete
  15. Hongera dada mwantum, Hongera sana tena sana....Mungu Akubariki wewe na familia yako. Aaameen.
    Mdau uliyesema wazaramo na waislamu siku hizi wanasoma unamaanisha shule ni za kina nani kwani? milango ya shule imeandikwa makabila fulani ndio yaingie shule na dini fulani ndio zisome?? grow up kiakili ndugu, kuwa japan usione ndio ushamaliza, utasema sana na watu namna hiyo wanafanya kweli.. wanapepea na maisha yao... HI HATER!.

    ReplyDelete
  16. WEWE MDAU WA JUU HUNA MAANA KWANI WAZARAMO HAWANA ELIMU?AU WAISLAM? INAONEKANA UNA BIFU NA WAISLAM MKUU WA WILAYA YA TEGETA NAOMBA MADA HII AU HABARI YA BABA MWANTUM IPELEKE KWENYE KUMBU KUMBU ZA JAN 2009 ILI TUUJADILI MJADALA HUU WA KUONA WAISLAM HAWAKO KWENYE ELIMU.

    MIE NAULIZA DR.ASHA ROSE MIGIRO,DR.SHEIN,PROF KAPUYA .DR.IDRISA RADHID.PROF MALIMA HAWA NI WAISLAM NA WANA NONDOZI ZA AJABU.
    MITHUPU MADA HII NAOMBA UIPELEKE KWENYE JANUARY ILI TUSHINDANE KWA HOJA NA KUELIMISHANA. WALIPOKUJA KINA DADA HALIMA NA HABIBA YALIKUJA MANENO YA KEJELI. NA LEO YAMEKUJA TENA.
    Mdau wa Ukerewe.

    ReplyDelete
  17. sikutaka kusema juu ya mjinga aloleta comment ya uzaramo na uislamu, lakini imeniudhi sana tena sana kuona kuwa kuna baadhi ya watanzania ambao ni wabaguzi na kila jambo kwao wanaangalia aidha dini au asili ya mtu. tuko 2009 na bado mtanzania ana akili finyu kama hizi, na huyu sie wa kwanza, wiki kama mbili zilizopita tuliona mjinga mwengine kama huyu hapa.

    ReplyDelete
  18. Jamani...naona swala hili limekua personal...mimi nilikua nauliza tu je na wazaramo nao wanasoma??manake wilaya zao zote kwenye ukanda wa pwani hazijaendelea ukiondoa wilaya za dar es salaam...alafu na pia wabunge wa dar es salaam wote sio wazaramu kwasaababu wao wenyewe hawajasoma...sasa khabari hizi zinakuaje!?? ndo maana la lile swali langu...Mdau Japan..punguzeni jazba jibuni hoja

    ReplyDelete
  19. weweee anonymous Jan 01 2009 9:37 PM usitake kubadilisha maneno hapa, this is what you said and i quote "HUYU DADA INA0NEKANA NI MZARAMO JEE WAZARAMO NA WAISLAM SIKU HIZI WANAKULA NONDOZ". Umepakwa saivi unakuwa mpole na kutaka kuruka ulichosema. To my observation i think kama wewe umesoma basi elimu haikukusaidia kuelimika... lazima utakuwa mtu mdini ambae ni mshamba fulani hivi unaedhani kukaa Japan ndo umeli-make mwenyewe teheee. Anyway to answer your qn, yes wazaramo na waislam wanakula nondo but hawakuanza sikuhizi... Kwa upande wa waislam naweza kukutolea mfano mdogo tu wa waislam waliokula nondo, angalia Egypt huko kulipo na wonders of the world, kuna best mathematicians of all times... na ni waislam. Pia hapo juu kuna mchangiaji amkekutolea mifano ya kina Dr. Migiro ambao si wakristu. Pia ungetembelea vyuo vikuu vya Dar including Muhimbili, ungewakuta ma professor na madaktari waislam wengi tu. Mi naona ingependeza zaidi kama ungepunguza dharau... mwisho wa siku TUMETOKA KWA UDONGO NA TUTARUDI KWA UDONGO... kaburini huingii na degree zako, ni vitu vingine kabisa vinavyo matter! Unfortunately, i guess hutanielewa, coz kama mpaka leo hii bado ni mdini hivyo na kwenda kwako japan kote huko teheee.... you seem like you cant understand nothin!

    ReplyDelete
  20. hivi we unaefikiria kufika japan ndo umemaliza eeh!unafanya nini huko?kama sio box tu na njaa zako ndo zinakuweka uko mpk leo acha fikra za kidini kijana na tukubali mafanikio ya watu.kama huna nondozz basi tafuta sio kukashifu raia wema!

    ReplyDelete
  21. Hongera Mwantumu.

    Nadhani unanikumbuka

    ReplyDelete
  22. Ongera sister Mwantumu, Nimefurahi sana,sana dadangu... kwa kusikia kuwa umepata ulichokuwa unakitafuta, si kingine ila ilmu, ilmu ambayo mie binafsi nimeshuhudia jinsi ulivyokuwa ukiitafuta kwa kubukuwa japo kulikuwa na vikwazo vya hapa na pale, lakini dadangu ulikuwa strong na ukaweza kukabiliana navyo... Nakuombea duwa dadangu, Allah akurahisishie mengine yenye kheri nawe... Mimi ni Mdogo wako na aliyekuwa flatmate wako pale Dagenhum.

    ReplyDelete
  23. Wewe Mpuuzi wa Maisha Mdau wa japan unaeuliza kama WAZARAMU NA WAISLAMU siku hizi wanakula Nondos mimi naona umehanganyikiwa huko Ujapan kwa kula Panya na Nyoka ndio mana akili yako haiko sawasawa. Na kwa jibu lako tuu simple nenda kamuulize bwana mmoja maarufu huko Tanzania kwa jina Jakaya Mrisho Kikwete kuwa yeye ni kabila gani? na ni dini gani? na anashikilia wadhifa gani haswa ktk nchi? na ana elimu ya kiasi gani? mana labda hujui then utapata majibu yako uliyotaka punguani wewe. Na wewe ukae hukohuko Japan kula hao nyoka na panya mana mtu kama wewe hufai kabisa kuudi Tanzania kwa jinsi ulivyo limbukeni.
    Na wewe Kaka Michuzi mimi nina malalamiko kaka Michuzi watu wakileta posti za maana unabania halafu unazipa posti kama hizi zenye ubaguzi wa dini na kabila kuona mwanga wa jua hii imekaaje haki hii kweli? Hata kama usipouitoa na hii sawa ilimradi hata utaisoma kwanza salam zitafika.

    ReplyDelete
  24. DADA LA KIZARAMO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...