Habari ja mchana Mh.Mchuzi,
kuna email nilipata toka kwa rafiki yangu karibu akanipa hii notice.pata kwenye attachment and happy new year to you the blog na wadau wote wa blog hii ya jamiizzzzz....
Mdau yban2

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Brother Michuzi hiyo ni kali kwa kweli. Maana hilo Tangazo ni ambiguous kiasi cha kwamba hata halieleweki. Haya bwana ndiyo mambo ya matangazo hayo.
    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...