Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mtoni Mtongani Leah Mwankenja akimkabidhi moja ya vyandarua 100 Hidaya Utawangu ambaye ni Afisa Muuguzi wa hospitali ya wilaya ya Temeke kwa ajili ya kutumika katika wodi za hospitali hiyo huku waumini wa kanisa hilo wakishuhudia
Hidaya Utawangu ambaye ni Afisa Muuguzi wa hospitali ya wilaya ya Temeke akivihesabu vyandarua 100 walivyopewa na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mtoni Mtongani baada ya kuwapatia vyandarua 100 kwa ajili ya kutumika katika wodi za hospitali hiyo . Picha na Anna Nkinda - Maelezo





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ni vema kuona jamii ikiijali jamii yenye uhitaji. Kila mtu akigusa na fanya kile awezacho, twaweza kuifanya dunia mahala pema zaidi pa kuishi. Baraka kwenu na kwako Mkuu wa Jamii.
    Blessings

    ReplyDelete
  2. SHUKURANI KWENU KWA KUONESHA KUWAJALI WAGONJWA. TBS ITUELEZE UKWELI KUHUSU VYANDARUA VIBOVU VISIVYO NA UWEZO WA KUISHI MIEZI SITA KABLA YA KUANZA KUTOBOKATOBOKA LAKINI VIMEWEKWA DAWA ISIYO NA UWEZO WA KUUA MBU YENYE UWEZO WA KUISHI MIAKA MITANO! BIASHARA HII YA VYANDARUA HAITA PUNGUZA MARALIA BALI INATAJIRISHA WAFANYA BIASHARA WA VYANDARUA AMBAO WANASHIRIKIANA NA VIONGOZI KUZUIA UNYUNYUZIAJI WA DAWA KWENYE MAZALIA YA MBU ILI BIASHARA ZAO ISIDODE.

    ReplyDelete
  3. Mmefanya vizuri sana. Kosa ni moja tu- KUJITANGAZA!!!. Mkristo atoe sadaka kimya kimya priod! Kujitangaza kumeanza siku hizi tena kwa vyandalua mia tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...