Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kazi kujisifu amani,amani.ooh tanzania ni nchi yenye amani duniani,lakini hakuna sheria inayofutwa kila mtu anafanya takavyo,jana nilikuwa nasoma THE GUARDIAN kwamba zambia ni nchi inayopata mafuta kupitia bandari ya dar lakini kwao mafuta ni bei rahisi kushinda tanzania na wanalipa kodi kupata mafuta hayo bandarini.tanzania hakuna viongozi makini kuanzia jiji la dar,bandarini yaani kila sehemu,SHIDA TUPU nendeni hata kenya mkajifunze DAMN IT!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Anon wa kwanza kwa kweli inauma sana. Shida iliopo tuliowaamini kuwapa ofisi zetu badaya ya kuwa wachapa kazi na wabunifu wao wanakuwa wevi. Katika hili la ubunifu wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato na kwa kuwa wanahitaji pesa (zikiwamo za kuziiba pia) vyanzo vyao ni hivihivi vilivyopo. na kwa kuwa mafuta ni bidhaa ya lazima basi ndio wanalala nayo. Sekta ya mafuta ndiko wanakofidia kushindwa kwao.

    Sio Zambia tu. Mafuta malawi ni bei poa sana. Kuna wafanyabiashara fulani walineemeka kipindi fulani mbeya kwa kujifanya wanasafirisha mafuta kwenda malawi halafu wakivuka malawi hawayamwagi wanarudi nalo tenki mpaka mbeya. mpakani wanasema ni tenki 'empty'.

    ReplyDelete
  3. Wakulaumiwa ni watanzania wenyewe kwa sababu watanzania wengi ni waoga, wazembe na wapumbavu. Watanzania sio watu wa kulalamika, kila kitu ambacho wanaamuliwa iwe na serikali au taasisi binafsi huwa hawakipingi, yaani ni kama mazezeta kabisa yanayosema YES SIR. Ni lini watanzania mtasimamia kidete haki zenu? Ni lini watanzania mtawapinga viongozi wanaotumia madaraka yao kujitajirisha na ni lini watanzania mtasema enough is enough? Miaka inavyozidi kwenda sidhani kama kuna mabadiliko yeyote.

    ReplyDelete
  4. Kweli hiyo ni nchi huria! Mimi niko Toronto - Canada na miezi mitano iliyopita tulikuwa tunalipa sawa na Tz shs 1400 kwa lita ya petroli na mwezi huu wa December tumekuwa tunalipa sawa na Shs 700 hadi Shs 800 kwa lita ya petroli!!

    Hapa mafuta yanapungua bei kila siku kwa jinsi inavyopanda au kushuka kwenye soko la dunia. Nashangaa viongozi wetu wanaangalia hali kama hiyo na kujifanya kuwa all is ok!! Au kwa vile wanalipiwa petroli na serikali yenyewe hivyo 'they don't feel the pinch?'

    Please someone responsible should stop these bast.... (pardon my French) who are ripping poor citizens of Tanzania and most of them must be from oil countries!

    JK

    ReplyDelete
  5. Kipanya ndo anastahili tunzo hata angalau kama aliyoipata JK kiulaini.et DR.jk.matatizo ni mengi hayana ufumbuz wa kudumu,raisi anasafiri tu na mipipa.sijui kama tutafika kwa hali hiii.
    kazi nzuri KIPANYA

    ReplyDelete
  6. hiki kinachoendelea tanzania sasa, ni upumbavu wa wapiga kura. zile hongo na takrima hata za pilau maana yake ndo hii. WACHA TUTESEKE. PUMBAF ZETU

    baba nyakomba- makambako, iringa

    ReplyDelete
  7. NAUNGANA NA HUYO ALIYESEMA WATANZANIA NI MAZEZETA, WAPUMBAVU, NAOENGEZEA NI KAMA WAJINGA FULANI HIVI HATA AKILI HAWANA KAZI NI KUSIFIA TU VIONGOZI WANAOWAIBIA, JAMANI HAO WENZENU WANATAFUNA NCHI KUPITIA MIGONGO YENU, WATOTO ZAO WANASOMA KIULAINI, NANYI MTABAKI MASIKINI HADI DUNIA ITAKAPOKWISHA, MSIPOACHA UJINGA WENU MTAKUFA NA SHIDA TU, NI NYINYI MNAWAAJIRI MNAWALIPA MISHAHARA KUTOKANA NA KODI ZENU NA MNABAKI MASIKINI, JAMANI AMKENI TUMIA DEMOKRASIA KUBADILI MAISHA YENU, HIVI NYINYI HAMTAKI NA WATOTO ZENU WAWE MADAKTARI , WANASHERIA, AU MNATAKA KUENDELEA KULALA NYUMBA ZA MBAVU ZAMBU, MTU AKIPITA NJE ANAKUONA NDANI, MNAPENDA KUSHINDIA MLENDA TU NA MTANDASA! KALAGABAO TUBADILIKE TUPIGANIE HAKI ZETU. MAANDAMANO TU NDO KITU MUAFAKA WA KUPATA HAKI ZETU HACHENI UOGA, 2010 IKIJA TUULIZANE BADO TUNATAKA TUFE KWA SHIDA AU CHANGE, YES WE CAN.

    ReplyDelete
  8. Ha ha h ha ha ha ha,Sicheki kwamba nina furaha,Lah hasha!Kinachonifurahisha ni kuona wazalendo wanahasira mpaka wanaongea kiluga,damn!ha ha ha ha ha ha ha.Mimi ni mmakonde sasa huyo anon aliyepita hapo juu(December 30,2008 6:52 AM)ametumia neno MTANDASA,Honestly s/he took me all the way back to BONGO,MTWARA,NEWALA,LIKUNA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...