Mfanyakazi wa Zain Tanzania, Blandina Billy, akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kumpata mshindi wa tisa wa sh. milioni 1 wa promosheni ya Endesha Ndoto Yako 2 ya Zain Tanzania, Mussa Ramadhani wa Usa River, Arusha, jijini Dar jana. Shoto ni mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Humudi Abdulhussein, Meneja (Kitengo cha Masoko) wa Zain Tanzania, Ellen Lupili na kulia ni Ofisa Mawasiliano ya Ndani wa Zain Tanzania, Dangio Kaniki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. angalau leo zain wametubadilishia nyuso. twisa, njunju na bosi ebu pumzikeni.

    ReplyDelete
  2. Celtel naona kuna vifaa huko mmmh! haya Bwana, fimbo ya mbali haiui nyoka!!

    ReplyDelete
  3. ...damn,huyo wa kulia kabisa mwenye nyeupe nimefika,nitakuja hapo ofisini kukusalimia'ila usilete maringo tuu,States watoto kama wewe wapo ila nataka mswahili kama wewe,michuzi utakuwa mshenga na usisahau kifuta jasho kipo na suit mpya utapata!

    ReplyDelete
  4. Oohh Blandina dear nimefurahi kukuona.Nakukumbuka sana,wish u all best mwaya katika kazi.
    Rafikiyo,mama Nanaa(UK)

    ReplyDelete
  5. Blandina na Dangio sio mchezo!! Haya weee!! Jamani mmeolewa?

    ReplyDelete
  6. Jamani Dangio I miss u....ndio ameshaolewa tayari huyo mrembo kwa nyie wote mliouliza.

    ReplyDelete
  7. INAPENDEZA KUONA BONGO SASA NA DADA ZETU WANAZIDI KUWA WAZURI! WE ARE PROUD OF YOU DARLINS VIPI VILE VIPODOZI FEKI SIKU IZI HAKUNA TENA? MWAA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...