barabara ya mandela rodi yenye umri wa zaidi ya mwongo mmoja ikipigwa mkeka mpya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jambo jema hili kwa watumiaji barabara, isipokuwa kwa mtizamo wangu jiji la Dar Es Salaam linahitaji barabara ambazo angalau ni three-lane kwenda upande mmoja.

    Hivi hawa wahandisi wetu wanashindwa kutambua msongamano unatokana pamoja na sababu nyingine ufinyu wa barabara tulizonazo?

    Ushauri wangu kwa serikali na wahusika wa mambo ya ujenzi wa barabara kuu za Dar Es Salaam - waanze kufikiria lane tatu na kuendelea.

    ReplyDelete
  2. kweli mkeka soon unafumuka wekeni Busati la nguvu la morroco. wanaweka maji maji tu juu sio zege hahaah. ili mwezi wa sita wapate kazi tena hao jamaa. wanafanya kusudi wanajuwa itadai kwa miezi sita then wanapata ajira ya tenda tena wekeni kitu kidai 3yrs.

    ReplyDelete
  3. Madau hapo juu naku-support. Inashangaza kuona Bongo bado tunajenga lane 2 tu. Mandela ina nafasi ya kutosha lane 3 lkn inashangaza kwamba pamoja na msongamano tunaouona sasa tunajenga tena lane 2! Barabara nyingi - pugu, bagamoyo, mandela, morogoro zinahitaji lane 3.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...