Habari na pole na kazi,naomba msaada natafuta website ya NATIONAL BOARD FOR MATERIALS MANAGEMENT (NBMM)kama kuna mtu yeyote anaifahamu maana iliyokua inatumika mwanzo ni kama imepotelea hewani,naomba mnisaidie
asante,
anna
---------------------------------------------------------
Hi...
I am trying to get in touch with the following person: Ester Mkomwa. If anybody knows her contacts, please get in touch with me. Thanks. You could also ask her to contact me via email:
Thanks.
Joe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. KAMA UNAJUWA KUTUMIA INTERNET/KU-SURF WEB, BASI UNAWEZA KUIPATA TU KWA KTUMIA SEARCH NENGINEB YOYOTE ILE KWA KUANZIA TU TUMIA GOOGLE.COM WEWE ANDIKA JINA LA HIYO BOAD YA MATERIAL MGT ITAKUJA YENYEWE UKI-CLICK TU. KILA KITU HAPA DUNIANI KIPO KWENYE NET TUMIA SEARCH ENGINES UTAPA.

    ReplyDelete
  2. Joe ombi lako halijajitosheleza, umetuachia maswali mengi baadhi yetu tunajiuliza Ester Nkomwa yupi wa Dar wa korogwe au wa bonde nina bin-ammi(binamu) yangu anahilo jina, kwa vile halipii kodi sina shaka laweza kutumika na mtu mwengine yeyote, "Hembu sema mwenetu Joe",ikiwezekana majina matatu, ni ester wa wapi? mlikuwa nae wapi? shule ipi? na mlipotezana wapi?. Pole kwa maswali uangu mengi kwani naamini kila swali lina jawabu, tuna nia ya kukusaidia ila hukuwa wazi sana.

    ReplyDelete
  3. NBMM National Board for Materials Management

    Full address of the secretariat
    Nyerere Road
    P.O. Box 5993
    Dar-es-Salaam
    United Republic of Tanzania
    Tel: (+255)-22 286 58 60
    Fax: (+ 255)-22 286 21 38
    Email: nbmm@africaonline.co.tz
    URL: http://www.nbmm.or.tz/


    Main contact person
    First Name : Clemence
    Last Name : P.Tesha
    Position : Registrar
    Tel: (+255) 22 862 138 ,(+255) 811 33 74 27 (Mobile)
    Email: ctesha@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. use professor GOOGLE please

    ReplyDelete
  5. Ushamba huu; hujui namna ya kutumia internet? Kwa nini utangaze jina la mtu hapa bila ridhaa yake?

    ReplyDelete
  6. We Anon wa Juu hapo, logic hujui nini, Kama JOE angekuwa ana uwezo wa kumuomba rukhsa angemtafuta wa nini, si angewasiliana naye straight kabla ya kumuomba rukhsa ya kumtangaza kwa michuzi.. EEBO!!!
    NB: JOe Maelezo uliyotoa hayajitoshelezi, huyo umtafutae mlionana wapi? alikuwa anasoma/fanya kazi au anaishi wapi?, mwaka gani ilikuwa mara ya mwisho kumtia machoni, hata kabila laweza kusaidia. nk. Wadau Msaidieni.

    ReplyDelete
  7. Esther Mkomwa was my colleague at Tambaza High School. Google did not produce any positive results. Joe Scott; Ireland. Thanks.

    ReplyDelete
  8. Wewe ANON, tarehe December 31, 20084:33 PM, ndio mshamba. Kama alivyosema jamaa mmoja mstaarabu hapo juu. Unafikiri Joe angejua huyo Ester Mkomwa aliko angemwomba kaka Michuzi amsaidie kwenye hii blog ya jamii? Wewe ndie mshamba na acha kabisa kuwa na tabia hizi mbaya. Kwa ufupi hii wanaita roho mbaya. Una roho mbaya kuliko mnyama. Wewe ni binadamu gani unaamka tu na kusema wewe mshamba? Unaelewa maana ya haya maneno?? Basi wewe mtoto wa mjini tuambie ulilofanya linalokuonyesha kuwa uu mtoto wa mjini. UNAUDHI sana UNA maudhi. Kama huwezi kusaidia nyamaza. Wanajamii nimepandwa na jazba baada ya kuona comment za huyu bwana.

    ReplyDelete
  9. Samahani kaka huyo Esther keshaolewa na mume wake ni mganga wa kienyeji-Shauri yako-mimi simo.

    ReplyDelete
  10. Kiwanis mganga WA kienyeji hana haki ya kuoa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...