Home
Unlabelled
Mabingwa wa Tusker Cup 2008 mtibwa football club
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Picha nzuri Mtibwa, na hongereni kwa kuchukua ubingwa wa Tusker hiyo imedhihirisha kuwa penye nia pana njia kwani ingekuwa vingenevyo kama mngekata tamaa baada ya kufungwa na URA mechi ya kwanza
ReplyDeleteNawapa pongezi wana- Mtibwa kwa kutwaa kombe na pia kutetea na kulinda heshima ya nchi yetu ki-soka. Hongereni Wana Tam-tam!!!
ReplyDeleteDuh watu wa Yanga na Simba mbona hamtoi hongera? mie mshabiki wa Pan African nawatakia kila la kheri mtibwa muendelee hivyo hivyo jamani wafadhili irudisheni pan african katika sehemu yakek ubwa.
ReplyDeleteHongera nyingi kwa wacheza toka Turiani,Morogoro kwa kulitwaa kombe la Tusker na kulibakiza Bongo,pia hongera kwa timu ya Simba kuambulia nafasi ya tatu.
ReplyDeleteHongera sana Mtibwa Fc, ushindi wenu ni muhimu sana katika maendelea ya soka Tanzania, si kweli kila timu inayotoka Mji mkuu wa nchi husika ndio lazima iwe na mafanikio tuliyoyazoea, imekuwa ni safari ndefu kwa mtibwa kufikia hapa ilipo na hili linatufundisha unapokuwa na mipango ya muda mrefu daima utafanikiwa ...Hongera sana Mtibwa na wanachama , viongozi na wadau wote wa Turiani!
ReplyDeleteNdugu yangu wa Pan African pole sana mbona hiyo timu haina tena washabiki?
ReplyDeleteKama ambavyo raizoni zimepotea na timu yako hivyo hivyo pamoja na kuinunua Twiga mambo bado yakawa magumu KANDAMBILI bado zinadunda tu
Kama si lile jengo pale basi mngekuwa kama Nyota Nyekundu
Mshawishini Tenga akimaliza muda wake aje kuwa rais wa Pan