mboni mwaka unaisha kwa rahaaaaa. hapa nipo na wadau wenza wa bwawa la maini nyumba ya sanaa baada ya kuangalia mtu analambwa dala. stori kamili nenda BBC kwa kubofya hapa



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. jamani mossa uyooo au mcho yangu michuzi tunaomba jina la uyo kaka wa kwanza apo

    ReplyDelete
  2. KWANI DAR KUNA BARID AU NDO HENKACHIFU KWA AJILI YA JOTO ME HAAHAA HAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. Ajabu mkifungwa hamripoti ng'o!!!!

    ReplyDelete
  4. mtowa maoni wa pili unajifanya kujuwa kumbe ni mshamba wa kutupwa. unataka kujifanya mkosha kinywa ilhali ni mbumbumbu! hiyo aloweka jamaa ni scarf!, eti henkachifu, handkerchief ni kipande kadogo cha nguo ambachio hutumika kupagusa powa, uso etc, aghlabu huwekwa ndani ya mfuko wa suruali. scaef hutumika kuzuia baridi na pia kila timu ina style yake maalum ya scarf. Nadhani nimekusaidia kukutowa ushamba wako.

    ReplyDelete
  5. ...HALAFU MICHUZI PIA RIPOTI NAHODHA WENU WA BWAWA LA MAINI ANALALA USIKU WA PILI LUPANGO LEO KWA KUMTWANGA DJ NA GLASS BAADA YA MECHI!!!

    ReplyDelete
  6. scarf ziko za aina nyingi na matumizi tofauti, wapo watu pia hutumia handkachief kama scarf kufunga ama shingoni, kichwani au kiunoni, na kuna scarf rasmi nazo pia zina matumizi tofauti na uvaaji tofauti, kama nilivyosema hapo awali, unaweza kuvaa kichwani kama urembo au kuzuwia jua, kiunoni, kama urembo au mapambo wakati wa kucheza ngoma, hasa waarabu au wahindi belly dancing, shingoni kuzuwia baridi ama kuzuwia jasho lisichafua kola ya shati au urembo. mtu anabisha muulize google.com anakueleza nini scarf ni nini na matumizi yake, na aina zake, si kwa ajili ya baridi tu.

    ReplyDelete
  7. uyo kaka wa kwanza na michuzi anaitwa Muddy Bawazir.........

    ReplyDelete
  8. Ha haa haaa, bwana michuzi mimi naamnini kwamba wewe ni mpenda soka, lakini moyoni unajua wazi kwamba unatushikia tu kiti chetu, sisi februari hapo tunachukua nafasi yetu halafu ndio imetoka hiyo. Lile kombe linaitwa MAN UTD PREMIERSHIP CUP!!!

    ReplyDelete
  9. Michu mshikaji unaonekana umechooka.

    ReplyDelete
  10. january 23 captain wenu ndani ya mahakama ya (kisutu) ya liverpool baada ya kuleta ugomvi kisa goli 5-1 na mkichukua ubingwa sijui itakuwaje nyinyi bwawa la maini na mnavyo haribu maini yenu na pombe na kubomoa sura za watu kwa glass,mdau kasema feb wakubwa wanarudi juu kama kawaida

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...