hii ni mojawapo ya pletinamba za bongo ambazo zilianza mwaka juzi kuchukua nafasi ya zile za tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. i can see the T224 aka TRRA-ASS there..

    ((( SHAKE it )))

    = = =
    Buffalo,
    New York (kule ndege ilipodondokaga na kuungua)

    ReplyDelete
  2. we michuzi kweli fyatu!!yani katika namba zoote umeiona hiyo tu?mdau kringsjå

    ReplyDelete
  3. Michuzi ujumbe umefika,Unatuonyesha number za GARI yako mpya,Usitunyime lift tu

    ReplyDelete
  4. kaka michu, sio plate number jamani ni number plate.

    ReplyDelete
  5. hahaha sisajili gari mpaka hiyo ASS ipite

    ReplyDelete
  6. Sidhani kama TRA wangeweza kufanya makosa ikatokea combination ya CUF, au chama chochote cha ukinzani.Just joking anyway....

    Poor programming, system inaweza kuambiwa isikubali combanation zenye connotation ya matusi, hata kama kisingizio kitakuwa watu wengi hawaelewi, lakini then elimu mliyopata darasani haiwasaidii, au tuseme hata common sense imeenda likizo.

    Anyway, hii gari ni maarufu sana mitaa ya Dar, ilikuwa ikitumiwa na mtangazaji mmoja wa BBC katika shughuli zake.

    ReplyDelete
  7. MICHUZI, TUNAJUA ULIKUWA UNATAKA KUTUAMBIA NINI, UJUMBE WALA SIO PLETI NAMBA WALA NINI.....UJUMBE NI HILO TAKO UNALOLITANGAZIA LOL

    TUNAKUSAMEHE...MJUMBE HAUWAWI!!

    Shabiki wako # 1 Maryland.

    ReplyDelete
  8. Mhhhh,Mheshimiwa mkuu wa wilaya ya nanihii,kama issue ni nummber plate,mbona zipo tangu kipindi,hata weye wa jua hilo.Sema ulitaka tusome maana ya kifupi hicho kwa lugha ya mama.Mhhh mi simo.

    ReplyDelete
  9. Ha ha ha michuzi uchokozi huo...! naona plate number kuna neno kwa tafsiri ya kiswahili aka kimatumbi chetu!lina maanisha "SODA YA KOPO" au wengine waita "kisamvu cha kopo" kwa wale maulamaa twaita "JICHO"

    ReplyDelete
  10. daaaah itabidi turudi bongo ila mi langu nitataka liwe na mbo

    ReplyDelete
  11. Ass may refer to:

    Ass (animal) or donkey
    Asinus subgenus
    American English colloquialism for buttocks (and other derived meanings)
    Same as arse (British spelling)
    Áss, the Old Norse for "deity"
    Ass (album), by Badfinger
    ASS may stand for:

    ASS (car), a French car made from 1919 to 1920
    ASS (gene), a human gene that encodes for the enzyme argininosuccinate synthetase
    Acta Sanctae Sedis, a former Roman monthly publication and gazette of the Holy See
    Advanced SubStation Alpha, a subtitles editor in computing
    American Sociological Society, the founding name for the American Sociological Association
    Angle-Side-Side, a faulty proof in mathematics

    ReplyDelete
  12. ASStakafulilahi!

    ReplyDelete
  13. 8.36 acha english za dictionary michuzi hajakosea

    mimi naona kuliko kutangaza bendera wangeweka matangazo ya awareness e.g awareness ya ukimwi, breast cancer etc etc....ukiona bendera hiyo barabarani itakukumbusha nini?

    ReplyDelete
  14. Misupu hujatulia inabidi tukupepee

    ReplyDelete
  15. Haki ya nanihii nilikataa hiyo no plate nikawaambia nitasubiri ingine itoke walinishangaaaa ...hawakuelewa kwa nini nilikataa

    ReplyDelete
  16. HIYO ASS NI MWANZO TU, HIZO ZITAKAZOKUJA BAADAE mmmmmm, ITABIDI ZIFUNIKWE VITAMBAA NA KUZIONESHA ZINAPOHITAJIKA TU.

    ReplyDelete
  17. We Anonymous wa 9:47 PM Hilo mbona kama haitakuwepo kwani system hapa haitambui I wala O hivyo umeliwaaaaaaa!! Labda uchagua MBP au MBN Ha ha ha haaaaaaaaa

    ReplyDelete
  18. Sasa mkiona delivery van za posta zilizokuwa branded in big letters kifupi cha City Urgent Mail ndio mtajua shule sio kuingia darasani!

    ReplyDelete
  19. Hakuna shida hapo tatizo ni mawazo yetu ya fasta kuelekea bondeni na si kukwea juu chamsingi ni kuwa herufi hizo zahitajika kutamkwa moja moja na si kwa mfululizo hivyo ili mhalalishe mnachokitaka.hata ikija KEI YU EM mataosha vinywa tu!!!!!!!

    ReplyDelete
  20. shake well,,,,lalalalaaa tililili

    michuzi tumeKUNYANYULIA MIKONO,,haki ya vile hujatulia,uko ivo adi kule kunaniikoooo
    wadau leo mmeamua kuchafua hewa umu

    hahahahaaaa teh teh teh

    ReplyDelete
  21. Sasa ndugu yangu nini ASS,hiyo ni tisa, kumi utakuta kwenye folen ya magari la kwanza,ALY au ANA,la pili ATE la tatu ASS !!!!!!

    ReplyDelete
  22. Pia Pale KIA (Airport) kuna gari moja ya precision air pia wamejaaliwa kuwa na namba hii.

    ReplyDelete
  23. IVI MICHUZIIIII MBONI HUKUJIBU ILE SWALI YETU YA PICHA FULANI IVI UKIWA ZENJI KTK TAMASHA LA NGOMA/MUZIKI SIJUI "ukinywa juisi ya muwa" na "mtoto ktk pozi la mugongo-mugongo"pembeni,uku sura yako ikiwa imepambwa kwa tabasamu la ushindi/bashasha.

    na hii ASS jee,unataka tufanyeje?twende bondeni au??

    VIPIIIIIIIIIIIIIIII???

    ReplyDelete
  24. Mimi kidogo ninamawazo tofauti.
    Nasikia hii ni biashara ya mtu binafsi na ni kampuni hiyo tu ndiyo inatengeneza.
    Kwenye nchi nyingi hiyo kazi hufanywa ktk jela na mapato huwa yanaenda kwenye kitongoji/mji kwa manufaa ya walipa kodi kama kurekebisha barabara na madaraja.

    ReplyDelete
  25. hivi wewe m2 michuzi mbona mimi kila nikituma comment zangi huzitoi?

    ReplyDelete
  26. kampuni ya kagoda+kiwira+

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...