In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

uwanja wa bouke, ivory coast

uwanja wa bouke ambapo taifa stars watacheza na zambia takriba dakika 25 zijazo. cheki linki ya
jisajili mapema, kisha angalia ndiga laivu. usijesema hukuambiwa. mie leo naenda kwenye mnuso wa olive na epifania hapo chini. naomba ofu wadau

Kuna Maoni 27 mpaka sasa.

  1. MAKULILO Jr, Anasema:

    TUNASHUKURU SANA KWA LINK HII, HII HAINA ZENGWE HATA KIDOGO.

    LEO WIMBO WA TAIFA WA TANZANIA NA ZAMBIA UNAFANANA KWA ASILIMIA KUBWA, HIVYO TUTAIMBA NYIMBO ZOTE KIUJIRANI MWEMA KWABLA HATUJAWAFUNGA.

    USHINDI DAIMA.

    MDAU
    MAKULILO Jr,

  2. Anonymous Anasema:

    Hawa sidhani kama wanaonyesha live,labda kama kuna link nyingine

  3. Anonymous Anasema:

    Mithupu,

    Bwawa la Maini linaelekea kujaa matope, bado dakika 5 na jamaa zako wasipokomaa hizi dakika za majeruhi Liver mtakuwa mmejitoa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha Ligi Kuu ya Uingereza!

  4. Anonymous Anasema:

    I'm ron in us -- mdau nashukuru sana kwa link hii -- naangalia game
    thanks a lot

    MICHUZI --- thanks as well

  5. MAKULILO Jr, Anasema:

    fungua hiyo link ya http://www.myafricanfootball.com then SIGN UP, wanakutumia e-mail yenye password unayotumia kufungua na kucheki LIVE.

    Unachagua mechi ktk ya TZ Vs Zambia au Ivory Coast vs Senegal.Kitu kipi LIVE, mi naangalia hapa...na nimefungua two windows, hivyo naona zote mbili kwa wakati mmoja, ya Tanzania, na pia ya Ivory Coast...kote bado ngoma draw, na ni half-time

    MAKULILO Jr

  6. Anonymous Anasema:

    Michuzi naomba matokeo ya mechi ya Liverpool na Boro maana mie sina TV!

  7. Baba Ubaya(Chifu Ofu Difensi,Michuzi Blog) Anasema:

    wajameni hiyo link mbona haina dezo?wengine ha2na vijisenti sasa hapo itabidi tusikilize redioni tu.teh teh!!!!!

  8. keyala Anasema:

    Bwana MICHUZI asante sana!
    Leo kwa mara ya kwanza maishani nimeweza kuiona TAIFA STARS ikicheza live!
    KWA SASA SITATOA MAONI YANGU JUU YA WACHEZAJI LAKINI NAKUSHUKURU KWA KUNIWEZESHA KUONA!

  9. Baba Ubaya(Chifu Ofu Difensi,Michuzi Blog) Anasema:

    sorry wadau,kumbe uki-ignore mambo ya vijisenti still unaweza kuona game live.thanks Midikodiko kwa link hii.

  10. Anonymous Anasema:

    http://www.africanhive.com/home/tz_zam.html

  11. Anonymous Anasema:

    mdau Makulilo naomba utupatie matokeo.

  12. Anonymous Anasema:

    1/8th final round
    GROUP A
    02-22-2009 Cote d'Ivoire 0 - 3 Zambia
    02-22-2009 Senegal 1 - 0 Tanzania
    02-25-2009 Zambia 0 - 0 Senegal
    02-25-2009 Tanzania 1 - 0 Cote d'Ivoire
    02-28-2009 Cote d'Ivoire 0 - 0 Senegal
    02-28-2009 Zambia 0 - 0 Tanzania
    Group A
    Team MP W D L GF GA GD Pts
    Zambia 3 1 2 0 3 0 3 5
    Senegal 3 1 2 0 1 0 1 5
    Tanzania 3 1 1 1 1 1 0 4
    Cote d'Ivoire 3 0 1 2 0 4 -4 1

    bila bila mechi zote tunarudi nyumbani, hata hivyo vijana wamejitahidi sana

  13. Anonymous Anasema:

    Tanzannia 1 zambia 0

  14. Anonymous Anasema:

    N'gombe wa masikini hazai kwa kweli

  15. pochi Anasema:

    dakika ya 88 shadrak nsajigwa kapiga bao kwa penati...le's hope stay the same...

  16. Anonymous Anasema:

    Tembelea www.lsport/ly or www.goalzz.com

  17. Anonymous Anasema:

    leo najua hatupati habari yoyote.... usijali kaka michuzi bado game zipo nyingi... BWAWA LA MAINI OYEEEE...hahahaha

  18. Anonymous Anasema:

    shukrani sana kwa link hii ilikuwa imetulia hasa...
    Mdau
    Thessaloniki

  19. Baba Ubaya(Chifu Ofu Difensi,Michuzi Blog) Anasema:

    mwana wa mbuzi ..............,kisicho riziki...........,sikio la kufa........and many more phrases might be said lkn vijana wamejitahidi kadri ya uwezo wao "kibongo bongo".

    sijaangalia kandanda ya Africa for some years lkn kama game zingine ndo zinachezwa kama hii basi Africa kazi tunayo.si kwamba ni Staz pekee bali hata Zambia wako hovyo.ktk dkk 90,nadhani jumla ya dkk takriban 30 zinapotea kwa mipira kuwa nje(goli kiki,kona,kurushwa) na hapo bado fouls.
    yani game ilikuwa inachezwa "kimchangani" mno.

  20. Mathew Anasema:

    Wadau, mbona huku Dublin tumejisajili lakini hakuna game wanasema video haipo available tucheck time?Makulilo Jr umeipataje mwanawane?

  21. Anonymous Anasema:

    Zambia 1 Tanzania 1
    Senegal 0 Cote De Voire 0

    Senegal na Zambia wasonga kwa pointi 5 kila mmoja na Tanzania kupata jumla ya pointi 4.

    Source: CAFonline.

  22. Anonymous Anasema:

    Aaaaaah poleni vijana wa JK. Habari ndio hiyo. Inabidi tuwe wapole tu maana Mungu wa Wazambia ndio Mungu wetu sote. Leo zamu yao kuingia 1/4 fainali, sisi zamu yetu michuano mingine.Bado tuna safari ndefu ya kujifunza.

    Mdau
    Cardiff

  23. Anonymous Anasema:

    Lack of experience in tactics..Maximo alistahili kutomaliza substitutions zote ili kipindi kama cha dakika zile 5 za nyongeza angepata muda wa angalau kupoza mchezo kwa kufanya mabadiliko.
    Tumemsindikiza njiwa hadi karibu na banda,bahati mbaya tukajaribu kama anaruka au haruki!kilichotokea....
    But all in all,congratulation Maximo and squad yako,wadhamini,na wadau wote,hakika bahati haikuwa yetu.Tusikate tamaa huo ni mwanzo tu, progress is a slow process, next time we will do, no trial anymore!
    NB
    Hakuna kizuri kisicho na kasoro,kila mtu ana haki ya kupongeza na kutoa kasoro,so wale watakaomtoa kasoro Maximo ruksa, wale watakao msifu ruksa pia. Cha muhimu watanzania ni kuelewa kwamba wanaosifia na wanaotoa kasoro wote wanamapenzi mema, na leongo lao ni kuboresha!
    You can work alone! unless there is no Middlesbrough along the way with Tuncay weapon! bang!

  24. Anonymous Anasema:

    dah! kweli mpira ni hadi umalizike yaani draw imetutoa , mpira umekwisha na TANZANIA 1 na ZAMBIA 1,imeniuma sanaaa

  25. Anonymous Anasema:

    Michuzi leo anauguza kotekote, ila ndiyo mpira huo. Liverpool katungwa na starz tumeaga mashindano kiulaini kama tunanawa vile

  26. Anonymous Anasema:

    wadau habari zenu
    well stars wamejitahidi sannna... na ninaamini kwamba from the performances that we showed during our short stay in Ivory Coast, wachezaji wataenda nje....

    Mdau
    bwawa la maini

  27. Baba Ubaya(Chifu Ofu Difensi,Michuzi Blog) Anasema:

    Staz leo wamecheza kama Livarpool na ndo maana wameshindwa kutoka na ushindi.Zambia deserved it,ingawa nao bado wapo wapo 2.

    Bwawa la Maini, Hovyooooo!!!!!!!Atleast Rick Parry will leave hivyo msimu ujao tutasajiri wale wenye akili timamu na kuwauza kina Kuyt Mdebwedo.

    "LFC 4 LIFE"

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker