Mtangazaji wa ITV Rehema Mwakangale (kulia) ametutoka leo asubuhi katika hospital ya Mikocheni alikokuwa amelazwa. Kwa Mujibu wa taarifa kupitia Radio One, mipango ya mazishi itakuwa kwa bibi yake Sinza karibu na Deluxe bar. Mola ailaze roho ya marehemu peponi
AMINA
Pichani ni marehemu Rehema Mwakangale akimhoji mama wa mtoto Samuel Nkya aliyeharibika sura na kupelekwa India kwa matibabu. Rehema alikuwa mstari wa mbele kufuatilia matibabu ya mtoto huyo ambapo globu ya jamii ikishirikiana na ITV viliweza kuchangisha pesa kufanikisha hayo matibabu. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 67 mpaka sasa

  1. aaaah jamaanii
    ...JOOMEK...

    ReplyDelete
  2. Maskini huyu dada!! Mungu wangu , kwa kweli nimeshtuka Mungu ampumzishe kwa amani.

    ReplyDelete
  3. Inna lilahi waina ilaihi Raajiun.

    ReplyDelete
  4. Kazi ya Mungu haina makosa, POleni sana ndugu, jamaa, wafanyakazi wenzake na marafiki. Yani ni kama ndoto jamani.Siamini. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina.

    ReplyDelete
  5. JAMANI NIMESHTUKA SANA ,
    KIFO TUNATEMBEA NACHO ALIKUWA AMELAZWA MUDA GANI NDO MANA NILIKUWA SIMUONI AKITANGAZA.
    MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.

    ReplyDelete
  6. Poleni sana familia ya Mwakangale kwa kuondokewa na mpendwa wenu, hali kadhalika nawapa pole uongozi na wafanyakazi wote wa ITV na Redio One bila kuwasahau wasikilizaji wote ambao hakika wataikosa sauti ya marehemu. RIP Rehema. Ben

    ReplyDelete
  7. dah michuzi ndo mambo gani ya kuharibiana siku haya?duh nimeshtuka kweli maskini huyu dada alilazwa lini jamani mbona karibu kila siku namwona akitangaza taarifa ya habari itv au naota?

    ReplyDelete
  8. nawapa pole sana familia ya marehemu na uongozi wa ITV.rest in peace my sweet loving sister.....

    ReplyDelete
  9. ooh maskini ni vigumu kuamini kama ni kwelikipenzi chetu tuliyemzoea hatunaye tena,ila yatupasa kuamini.siku zote kazi ya Mungu haina makosa tukubali na kilichobaki ni kumuombea mwenzetu Mungu ampumzishe mahala pema peponi kwani wote tu wasafiri. Rest in Peace Rehema.

    ReplyDelete
  10. Madee:kazi yake molaaaaaa
    MANdOJO:HAINA MAKOSAAAA
    WOTE:HAINA MAKOSA,KAFANYA ATAKALO NA HAKUNA AHINDWALO
    KUMEKUCHA REHEMA KAITWA NA MOLA.....

    ReplyDelete
  11. jamani dada wa watu nimeckitika sana siku cyo nyingi nimemuona akitangaza,mungu amlaze mahali pema peponi yeye ametangulia sisi tuko nyuma yk

    ReplyDelete
  12. Yaani jamani kifo tunatembea nacho kwakweli ni majonzi makubwa sana kwetu sote,huyu mdada ameniuma sana nimesikitika mno!
    Poleni sana wafiwa NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI.
    Hapo ndo nimeamini tunatakiwa kujiweka tayari kwa maana hatujui siku wala saa!

    REST IN PEACE REHEMA!

    ReplyDelete
  13. Kiukweli nimesikitika na akustuka sana kiasi wakati nasoma nilikuwa nawaza hii ni april fool au? Mungu ampumzishe kwa amani..Amen

    ReplyDelete
  14. WE LOVED REHEMA ALOT BUT GOD LOVED HER MOST, THATS WHY HE HAD TO PROVE TO US THAT HE ONLY TAKES THE BEST!!!!

    WE ARE ALL HEADING THERE BUT THE DIFFERENCE IS THAT SOME GO EARLIER AND OTHERS GO AFTER SOMETIME!!! SAME AS TAKING A DALADALA FROM MWENGE TO POSTA, SOME WILL REACH THERE EARLY OTHERS LATER BUT WE ARE ALL GOING TO POSTA...WE ARE LIKE ON THE BUS STAGE!

    POEM: TRIBUTE TO REHEMA


    God saw you getting tired
    And a cure was not to be
    So He put His arms around you
    And whispered 'Come with Me.'

    With tearful eyes
    We watched you suffer
    And saw you fade away
    Although we loved you dearly
    We could not make you stay.

    A golden heart stopped beating
    Hard working hands at rest
    God broke our hearts to prove
    He only takes the best.

    It's lonesome here without you
    We miss you more each day
    Life doesn't seem the same
    Since you've gone away.
    When days are sad and lonely
    And everything goes wrong
    We seem to hear you whisper
    'Cheer up and carry on.'

    Each time we see your picture
    You seem to smile and say
    'Don't cry, I'm in God's keeping
    We'll meet again someday.

    ALEX MAWAZO KASENGO,
    kasengo@hotmail.com

    ReplyDelete
  15. Aaaah Jamani Rehema!!!! Nimesikitika sana kuondokewa na huyu dada. Mapenzi ya Mungu yatimizwe!!

    Nice poem Alex

    ReplyDelete
  16. Ghafla sanaaaa!
    Cha msingi kwa kila binadamu ni kujiweka tayari wakati wowote mahali popote. Rey ametangulia mbele ya haki, hakuna ajuae nani atafuatia.
    Basi kesheni kwa kuwa hamjui siku wala saa atakapokuja Mwana wa Adamu. Sote tu wapitaji tuu hapa duniani.

    ReplyDelete
  17. Mh! Alex mbona unazidi kutuumiza jamani na hii poem! pain! pain! pain!!1

    ReplyDelete
  18. Aaaah Jamani Rehema!!!! Nimesikitika sana kuondokewa na huyu dada.Nimeumia na wala siamin.Ok. Ni mapenzi ya Mungu yatimizwe.

    ReplyDelete
  19. Kazi ya Mungu haina makosa siku zote.
    RIP Rey

    ReplyDelete
  20. RIP Rehema, that's life. Nakumbuka ashawahi kuwa mtangazaji bora wa Luninga. Du! ama kweli kifo hakina breki. Shairi lako Alex hapo juu ni bora mno, cheers man!

    ReplyDelete
  21. MOLA ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.Amina

    ReplyDelete
  22. AAAAA JAMANI ROHO YANGU INANIUMA JAMANI HUYU DADA, NDO MAANA NILIKUWA SIMUONI KABISAAA KIPINDI FULANI HIVI. INNA LILLAH WAINNA HILAAIII RAJIUN.POLENI SANA WAFIWA MDAU NGATUNGA.

    ReplyDelete
  23. Thanks Irene, it's my profound pleasure!

    ReplyDelete
  24. Pumzika kwa amani Rehema.... Pole kwa familia yote ya Mwakangale, ndugu, jamaa na marafiki.....

    Mdau wa KJ in 80's

    ReplyDelete
  25. Thanks Irene, it's my profound pleasure!

    ReplyDelete
  26. Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi.

    We are all behind you dear.

    ReplyDelete
  27. ni pigo kubwa sio kwa uongozi na wafanyakazi wa ITV pekee bali pia kwa watanzania wote ambao tulikuwa tunapata ufahamu wa mambo ngi ya duniani kupitia huyu dada kwa taaluma yake ya utangazaji.
    tangulia rehema...na sisi tunafuata..
    Rest in Peace!
    Shafi

    ReplyDelete
  28. aise michu umeniharibia siku. Rehemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  29. aise michu umeniharibia siku. Rehemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  30. inasikitisha sana. Ama kweli duniani sisi ni wapitaji tu

    ReplyDelete
  31. ooh my God what is going on, in tz

    she used to be good presenter

    ReplyDelete
  32. Inalilah wainailahim Rajiun.
    oooh nimeshtushwa sana na kifo cha dada Rehema>
    kweli mwanadamu si lolot.
    Mungu akulaze mahala pema peponi.
    AMEEN

    ReplyDelete
  33. Inalilah wainailahim Rajiun.
    oooh nimeshtushwa sana na kifo cha dada Rehema>
    kweli mwanadamu si lolot.
    Mungu akulaze mahala pema peponi.
    AMEEN

    ReplyDelete
  34. Loh!Kwenye hiyo picha nilitoa comment fulani ya utani.Kazi ya mola haina makosa.
    Wanaoamini Bible tusome Ayubu 1:1-20

    ReplyDelete
  35. jamani mungu ni mwema na mwaminifu siku zote tunaambiwa tumshukuruni mungu kwa kila jambo sisi tulimpenda REHEMA.Lakini mungu alimpenda zaidi.Rehema ametangulia sisi tuko njianituendelee kumwombea Rehema katika safari yake ya mwisho.Nasi tujitakase njia zetu.AMINA

    ReplyDelete
  36. jamani mungu ni mwema na mwaminifu siku zote tunaambiwa tumshukuruni mungu kwa kila jambo sisi tulimpenda REHEMA.Lakini mungu alimpenda zaidi.Rehema ametangulia sisi tuko njianituendelee kumwombea Rehema katika safari yake ya mwisho.Nasi tujitakase njia zetu.AMINA

    ReplyDelete
  37. INNA LILAHI WAINA LILAHI RAJUUNI
    HAKUNA KITAKACHOBAKI ISIPOKUWA ALLAH SUBHANNAHUU WATAALA

    NAWAPA POLE SANA WAFIWA MOLA AWAPE SUBRA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MSIBA.

    ReplyDelete
  38. poleninamsiba watanzania wezangu mimisipotanzania nimeshtukakwelinilipopata taarifayamsiba wadada rehema mwakangale emungufariji familia mzeemwakangale

    ReplyDelete
  39. Ai Jamani Rehema!Nini kilikusibu Mama? Mbona wenzio hata hukutujulisha kwamba siku zako zilikuwa karibu? Tulikuzoea sana,tena sana!Ulikuwa Mpole sana na Mnyenyekevu kwa kila mtu!Ulikuwa hodari sana katika usomaji wa habari ITV!Kwanini jamani Mungu?Tumekukosea nini? Mbona unawachukua vijana wetu wakingali makinda na bado wanahitajika hivyo katika jamii? Jamani,niseme nini,nguvu zote zimeniishia,machozi yananibubujika kwa majonzi makubwa yalionisibu! Tutampata wapi Rehema mwingine jamani? What Wrong have we done to his Almighty to deserve this harsh treatment? Hakika hatutakusahau.Ulale salama Rehema.Hatutakuona tena lakini utakuwa nasi daima katika mioyo yetu!Tutakukumbuka kwa mema na ukarimu wako! Umewaachia wasichana wengi Hazina ya Uadilifu wako kazini.Hukuchoka,kila siku ilikuwa siku ya kazi kwako,kwasababu uliipenda kazi yako na uliipenda sana ITV!Pamoja na majaribu yote yaliyokukumba katika maisha,lakini hukuyumba,ulibakia ITV,kwako palikuwa ndiyo nyumbani!Tumenyimwa Uwezo,Rehema!Tusingekubali ututoke kwa hivi sasa,tulikuwa bado tunakuhitaji sana!Ndugu na Marafiki zako tulikupenda,lakini Mwenyezi Mungu muumba wa vyote alikupenda zaidi!Truly,this has been terribly devastating to hear!Tuko nawe daima Rehema mpendwa wetu!Mwenyezi Mungu akujalie makazi mema na tulivu peponi,Amina!----tonnie----

    ReplyDelete
  40. Hii ni hatari,jamani Rehema kweli katutoka?Nifanye nini mimi?Upole wake na Ucheshi wake umetuachia majonzi makubwa!Poleni sana wana wa ITV na Mzee Reginald Mengi kwa msiba huu mkubwa!Rehema alikuwa Nguvukazi Tegemeo wa ITV katika usoamji wa habari,jamani,tumemkosea nini Mungu? Kuna Vikongwe waliochoka kuishi duniani,lakini,Mungu kampenda zaidi Rehema!Poleni sana wafiwa,ndugu,jamaa,marafiki na wazazi wa marehemu!Mwenyezi Mungu awazidishie ujasiri na utulivu wa akili katika kipindi hichi kigumu cha majonzi makubwa!Rehema katangulia tu,lakini sisi sote tuko njiani,ipo siku tutakuwa nae tena kama zamani!Mungu akulaze pema peponi,Amina!Tulikupenda sana Rehema!

    ReplyDelete
  41. Mungu ailaze roho ya dada Rehema mahali pema peponi Aamen. Inasikitisha sana na inauma sana.

    ReplyDelete
  42. mungu alimpenda zaidi. jamini nilimpenda sana has utangazaji wake. mmmmh!

    ReplyDelete
  43. siamini siamini siamini kabisa!!

    whaaaaat??kafa uyu dada??

    aiseee nimeshtuka siamini!!

    ReplyDelete
  44. Hi ,
    Poleni sana .I really like Alex's Poem ,it makes sense to its time and place.
    Big up Mzee.Rehema rest in peace ,We are behind you soon.
    Mdau.
    USA

    ReplyDelete
  45. Jamani hata siamini nawapa pole familia na watanzania wenzangu,Mungu ailaze roho ya dada Rehema mahala pema peponi.Amina.

    ReplyDelete
  46. michu nawaza ni jinsi gani nikirudi nyumbani nitamwabiaje mtoto wangu wa miaka 8 kuwa rehema mwakangale kafariki? maana kila alipoanza kusoma taarifa ya habari ya itv kabla hajalitaja jina lake mtoto wangu huwa anawahi kulisema HII NI TAARIFA YA HABARI KUTOKA ITV NI MIMI MTANAGZAJI WAKO mtoto wangu anadakia REHEMA MWAKANGALE

    ReplyDelete
  47. aahaah jamani,roho imeniuma sana jamani rehema??
    jamani,Mungu awe nawe peponi..jamani,roho inauma sana

    ReplyDelete
  48. May you rest in Peace Rehema,
    I will miss you in ITV news.

    ReplyDelete
  49. Jamani so sad! na Hiyo poem mmh!
    Rest in Peace Rehema na wanafamilia Mungu awatie nguvu, ni kijana sana jamani. Lakini ndo hivyo kazi ya Mungu haina makosa

    ReplyDelete
  50. hata mimi nimeshtuka mno.dada huyo namfaham.nimetoka bongo long time little nakumbuka taarifa za habar pale iTV.Mungu amlaze pahala pema peponi.

    ReplyDelete
  51. Aisei, nini tena? Nilivyokuwa Bongo nilipenda sana style yake ya utangazaji. Kweli hatuwezi kujua mipango ya Mungu. REST IN ETERNAL PEACE.

    ReplyDelete
  52. Every Breath I Take,
    Every Move I Make,
    Every Single Day,
    Every Time I Pray,
    I'LL BE MISSING YOU!

    R. I. P. REHEMA.

    ReplyDelete
  53. Nimepata mshtuko mkubwa sana baada ya kusoma habari kwamba Rehema hatunae tena. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana kwani hatukuwahi kusikia kama alikuwa mgonjwa bali kuambiwa hatunae tena. inauma sana lakini hatuna jinsi. Poleni sana familia ya Mwakangale, mwenyezi mungu awape moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu.
    Raha ya Milele Umpe Ee Bwana Na Mwanga Wa Milele Umwangazie, Apumzike Kwa Amani Amina.

    Joyce.

    ReplyDelete
  54. Inna lilahi waina ilaihi Raajiun.
    Mola amuhifadhi mahala pema peponi. Ameen. Wabillahi tawfiq

    ReplyDelete
  55. Masikiniiiii!

    Dunia tunapitaeeee, kila kitu kitabakiaaaaa, binadamu ni mchangaaaa, itabaki milelleeee ni milimaaaaa.

    Nakumbuka mwenyewe alivyokuwa ana bana nywele zake alafu kidogo ana anasogeza mbele kama za kimasai, yaani mh! Mungu ampumzishe pumziko la milele.

    ReplyDelete
  56. yani nimeshtuka sana na nimelia sana yani rehema kweli hayupo, she is too young to die. Mungu awape faraja ndugu na watz kwa ujumla.

    Ms GB

    ReplyDelete
  57. Michuzi tupe latest za kumwaga huyu mtoto, alikuwa binanaadam, hakuwa na maringo, yaani acheni tumeumia lakini mungu ndiye kiongozi wetu. amin.

    ReplyDelete
  58. DEATH YOU ARE A LOSER ALWAYS!


    Weep not, weep not,
    She is not dead;
    She's resting in the bosom of Jesus.
    Heart-broken husband--weep no more;
    Grief-stricken son--weep no more;
    Left-lonesome daughter --weep no more;
    She only just gone home.

    Day before yesterday morning,
    God was looking down from his great, high heaven,
    Looking down on all his children,
    And his eye fell of Sister Rehema,
    Tossing on her bed of pain.
    And God's big heart was touched with pity,
    With the everlasting pity.

    And God sat back on his throne,
    And he commanded that tall, bright angel standing at his right hand:
    Call me Death!
    And that tall, bright angel cried in a voice
    That broke like a clap of thunder:
    Call Death!--Call Death!
    And the echo sounded down the streets of heaven
    Till it reached away back to that shadowy place,
    Where Death waits with his pale, white horses.

    And Death heard the summons,
    And he leaped on his fastest horse,
    Pale as a sheet in the moonlight.
    Up the golden street Death galloped,
    And the hooves of his horses struck fire from the gold,
    But they didn't make no sound.
    Up Death rode to the Great White Throne,
    And waited for God's command.



    And God said: Go down, Death, go down,
    Go down to Dar es Salaam, Sinza and Mwenge
    Go look for and bring Rehema,
    Pull her from IPP Media,
    Further down from ITV,
    And find Sister Rehema.
    She's borne the burden and heat of the day,
    She's labored long in my vineyard,
    And she's tired--
    She's weary--
    Do down, Death, and bring her to me.

    And Death don’t say a word,
    Never even say something to IPP Media CEO,
    Nor to ITV/ Radio One Director,
    Just Pull her silently and bring her to me.
    Then Death hurriedly left,
    But he loosed the reins on his pale, white horse,
    And he clamped the spurs to his bloodless sides,
    And out and down he rode,
    Through heaven's pearly gates,
    Past suns and moons and stars;
    On Death rode,
    Leaving the lightning's flash behind;
    Straight down he came.

    While we were watching round her bed,
    Rehema turned her eyes and looked away,
    She saw what we couldn't see;
    She saw Old Death. She saw Old Death
    Coming like a falling star.
    But Death didn't frighten Rehema;
    He looked to her like a welcome friend.
    And Rehema whispered to us: I'm going home,
    And she smiled and closed her eyes.

    And Death took her up like a baby,
    And she lay in his icy arms,
    But she didn't feel no chill.
    And death began to ride again--
    Up beyond the evening star,
    Into the glittering light of glory,
    On to the Great White Throne.
    And there he laid Sister Rehema,
    On the loving breast of Jesus.

    And Jesus took his own hand and wiped away her tears,
    And he smoothed the furrows from her face,
    And the angels sang a little song,
    And Jesus rocked her in his arms,
    And kept a-saying: Take your rest,
    Take your rest.

    Weep not--weep not,
    She is not dead;
    She's resting in the bosom of Jesus.

    Kifo daima utashindwa,
    Kila pembe ya dunia, unaacha mayowe,
    Daima kuna mji tutapumzika milele,
    Huku tukiacha mateso yako kifo!
    Nani aliyekuumba kifo?

    Alex Mawazo Kasengo,

    kasengo@hotmail.com

    You can also view my articles on the BBC Website:

    http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/4539018.stm#tradition

    http://www.ipp.co.tz/ipp/alasiri/2004/03/04/6554.html

    ReplyDelete
  59. You Alex Kasengo pliz stop! unatufanya tunalia ofisini jamani!

    ReplyDelete
  60. Alex ubarikiwe kwa mashairi yako lakini yanaumiza sana/yanatia uchungu masikini Rehema jamani upumzike kwa amani!

    ReplyDelete
  61. Kumuenzi Rehema Mwakangale kwa mchango wake mkubwa ITV na umahiri wake katika kusoma Taarifa ya Habari natoa ombi kwa Mzee Reginald Mengi,Mkurugenzi Joyce Mhaville pamoja na Familia nzima ya ITV kwamba hebu wafikirie uwezekano wa "Kukipa jina la Rehema Mwakangale Kipindi kimoja cha ITV,kama vile 'REHEMA MWAKANGALE TALK SHOW' au 'REHEMA MWAKANGALE MATUKIO YA WIKI',katika kumfanya Rehema abakie tu mioyoni mwetu sisi watazamaji wa ITV tuliompenda sana kwa utangazaji wake.Wazo hili linaweza likaboreshwa zaidi lakini nia ikabakia palepale ya kutopoteza kumbukumbu zake Rehema katika usikivu wa vipindi vya ITV japo mara moja tu kwa wiki.Jambo jingine muhimu ambalo ningependa kuwaasa Watangazaji wote wa ITV NA RADIO ONE NA CHANNEL FIVE NA CHANNEL ZINGINE kwamba wawe na utaratibu wa kudumu "Kupima Afya zao japo mara moja tu kwa mwezi;Wafanye mazoezi ya mwili karibu kila siku ili kuweka afya zao katika hali nadhifu;Na afya zao wasizigeuze kuwa siri zao binafsi,ingawa hilo ni uamuzi wa mtu mwenyewe,nk.Nasema hivyo kwasababu tunawajali jamani,nyie wenyewe hamlijui hilo.Nyie ndio "Ma SupaStaa wetu"wa hapa Bongo.Kila mmoja wenu ameshajijengea Wafuasi na Wapenzi lukuki.Kwa hiyo linapo tokea tukio la ghafla mno na la majonzi makubwa kama hili la kuondokewa na Kipenzi chetu Rehema,kwa kweli huwa inaleta Taharuki na Huzuni kubwa kwa mamilioni ya wapenzi na wafuasi wao.Jaribuni kuwa karibu sana na wasikilizaji wenu kwa kadri itakavyo wezekana.Mtangazaji lazima uwaweke wapenzi wako katika uelewa wa mabadiliko ya afya yako,ingawa kwa matukio ya ghafla sana kama hili la Rehema itakuwa vigumu kuwajulisha wapenzi kwamba,'jamani mwenzenu kwa hivi sasa sijisikii vizuri',nk.Huu ni usia wangu tu kwa Mastaa wote wa ITV na Vyombo vingine vya Habari hapa nchini.Kwa kweli inauma kupata habari kwamba mtu kama Rehema ametutoka ghafla namna hii!YOU FEEL IT WAS NOT FAIR,she was just too young to die!God Forbid!---papperazzi antonnio--- rest in peace rehema!

    ReplyDelete
  62. RIP Rehema!!!, Alex ur poems are good for real!!!!

    ReplyDelete
  63. SASA IZO POEMS ndugu wataka tulie zaidi??

    rehema mwakangale goodbye faded rose,
    my condolences to parents,relatives&close friends+ITV team (she was in top)

    ReplyDelete
  64. Nimeumia sana nahisi kama mdogo wangu kabisa kwa jinsi nilivyozoea kumuona kwa luninga...pole sana Rehema!
    Ulale mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  65. Sijawahi sikia skendo yoyote kwa huyu dada nadhani alikuwa mtaratibu kama alivyoonyesha kwenye TV, Wanahabari muige mfano wake.

    Mungu akutangulie Rehema.

    ReplyDelete
  66. Many thanks to all guys who were deeply touched by my poems and praised them to be great. My intention was not to deepen you into great sorrow following the departure of Rehema, rather was to show my profound and terrific grief and sorrow after losing one of our greatest journalists/ presenters of the century. I was also telling the audience through the mouse and keyboard about the importance of Rehema and the wide gap that she has left behind and we wonder who will fill it...I would though like to let everyone of us be aware and have it in mind that : "IF YOU ARE AFRAID OF DEATH, YOU WILL DIE SEVERAL TIMES BEFORE YOU ACTUALLY DIE" . I therefore insist that death is part of the new life, it is the turning of another page!! Keep Hope Alive All

    ReplyDelete
  67. Upumzike kwa amani dada. Honestly we will miss you. Twajua mengi yatazungumzwa badae lkn Mwenyezi mungu ndo anajua ukwel. Rest in peace sister.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...