In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

uchaguzi mkuu udom 2009

Heshima yako mkuu wa Wilaya ya nanihii.
Wiki iliyopita (Ijumaa-Machi 27,2009) Chuo Kikuu cha DODOMA (Udom) kulikuwa na Uchaguzi Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi (UDOSO).
Mchuano mkali ulikuwa ni kwa wagombea wa nafasi ya Rais wa College of Social Sciences and Humanities, nd.Ambrose Maratho na nd.Terri Gilead.
Matokeo kamili ya uchaguzi huo yalikuwa kama ifuatavyo:-Nafasi ya Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu kizima cha Dodoma (UDOSO),Raymond Magambo alishinda kwa kupata kura 2675 huku mpinzani wake David Nyangaka akiambulia kura 1076.
Ngazi ya makamu wa Rais wa UDOSO ilinyakuliwa na nd.Milton Isaya kwa kupata kura 1894 huku mpinzani wake Nd.Eliphace akipata kura 1768.Ngazi ya College,matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:- College of Social Sciences and Humanities,aliyeshinda nafasi ya Rais ni nd.Ambrose Maratho aliyepata kura 1257 huku mpinzani wake Nd.Terri Gilead akiambulia kura 790.
Nafasi ya Naibu Rais ilichukuliwa na kijana kutoka Zanzibar,Nd.Bakari Ali Khamis kwa jumla ya kura 1282 huku mpinzani wake Bi.Ngungi Rhoda (mwenye asili ya Kenya) akipata kura 759.
College of Education,nafasi ya Urais ilinyakuliwa na Nd.Sabhuni Joel kwa kupata kura 905 huku wapinzani wake Nd.Johannes Paul akipata kura 325 na aliyefuatia ni Dunia Salutwe aliyepata kura 200.
Nafasi ya Makamu ilinyakuliwa na Bi.Ndelwa Uria na kumshinda vikali mpinzani wake Nd.Msilanga Miyango.College of Informatics (wazee wa Computer) hakukuwa na upinzani,kwani kila nafasi ilikuwa na mgombea mmoja mmoja tu.
Nafasi ya Rais ni Nd.Honorious Amon na Makamu wake ni James Chambo.

SELEMANI TAMBWE
BA.PSPA 2nd Year
Habari zaidi

Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Hiki Chuo kimetoa wapi walimu? Haya si mauzauza tu?

  2. Sijaelewa kwanini mtoa habari alifika mahali akasema anayetoka zanzibar, na anayetoka Kenya, wakati wajina karibu sita yote ya mwanzo hakutaja wanatoka wapi. Je kuna kaitikadi ka ukabila hapa?
    Nadhani wote ni wanchuo kwa hiyo wanasifa.

  3. Anonymous Anasema:

    Again I have to admit first lady is goergous ...yaani mpaka anavutia kumtazama
    mdau Houston

  4. Anonymous Anasema:

    Terri was supposed to be the President. Siasa chafu za upinzani ndio zilitawala. Ngoja tuone waliochaguliwa watafanya nini.

  5. Anonymous Anasema:

    hapa pana harufu ya udini kwani wakristu watupu wamejipanga.kwani UDOM imekuwa nyegezi st augustine?

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker