kwa niaba ya wadau wote natoa pongezi kwa ephraim kibonde (pichani) kwa uamuzi wake wa kujiunga katika libeneke la globu. inafurahisha sana kuona wadau wanaongezeka katika anga hii.

mtembeleeni hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Assalaam Alayakum, wa Kibonde

    ReplyDelete
  2. Nadhani siku hizi , umepunguza ulevi ..

    ReplyDelete
  3. US-BloggerApril 14, 2009

    US-Blogger)

    Mbona hiyo globu ilikufa kabla ya kuanzishwa?

    mwalike Nabii wa Uongo wa Dhehebu la The Later Doom, Rais mtarajiwa wa wajinga wa 2015, Mt. Yohanna Mashaka aandike atiko alafu chati yako ipande

    Ameniogopa baada ya kusikia nina phD ya OXFORD. Ameogopa kuja kwenye mdahalo alabama. Mashaka ni kopo tupu

    Vinginevyo endelea kupasua Serengeti

    US-Blogger

    ReplyDelete
  4. karibu kwenye libeneke..tupo pamoja

    ReplyDelete
  5. kwa nini wabongo blog zenu zote zinafanana?...mimi nilifikiri atakuwa anazungumzia kuhusu vichekesho vyake...kuweni creative kidogo

    ReplyDelete
  6. Michuzi,mwambie Kibonde aweke michapo ya Bongo kama wewe sasa hiyo michapo ya mipira ya Ligi za Ulaya sie tunaona Live mwambie nadhani hata huko mpira mnaona Live mwambie aige mfano wako unavyotuhabarisha wabeba box hadi raha!

    ReplyDelete
  7. sasa kila mtu anadandia libeneke la blog ! sasa nani atamwandika mwenziwe? jaribuni kuwa wabunifu?
    unajua hizi tabia za kiswahili wacheni,ukimwona jirani kafungua kiosk basi na wewe utafungua bila kufanya utafiti wa wateja!
    Ukimwona mwenzio kafuga kuku wa mayai na wewe utafuga! utafuti Idea
    au deal lingine!

    ReplyDelete
  8. (US Blogger)

    Kwa US Blogger 'pacha' wangu, pls usishambulie globu ya rafiki yangu na swahiba wangu asiye na matatizo na mtu yoyote na hana majivuno-Bw.E. Kibonde.

    Ephraim, endelea kufanya vitu vyako, nitakuja huko kutafuta fake Messiahs kama Mr. Mashaka ili nipambane nao.Pacha wangu, mapambano dhidi ya fake messiah tunaendeleza.

    (US Blogger)-original

    ReplyDelete
  9. Ndugu Efraim Kibonde,

    Ni hatua nzuri kufungua globu lakini kuwa mbunifu japo kidogo bwana!

    Yaani mkuu unashusha nondo za Premier League one-to-one? Huweki hata spin yako mwenyewe?

    Bila shaka unatambua kwamba wasomaji wa globu ndio sisi watumiaji wa internet.

    Sasa hebu kaa ufikirie ni kitu gani kitamsukuma mtu mwenye internet aje kusoma habari za Premier Ligi kwenye globu yako badala ya kufungua site kama ya ESPN?

    Mfano mzuri cheki Mkuu wa Wilaya vile anavyorusha matangazo ya premier ligi ... huwa anaweka spin (vionjo) yake kama vile kuwapiga madongo wadau wa timu pinzani au kuandika as if ni mtangazaji anayerusha matangazo laivu.

    Nisiwe mkosoaji tu, acha nichangie mawazo ... mfano unaweza ukaanza kudeal na vijiwe vyote vya Premier Ligi hapa Bongo ukawa unawapaisha kwenye globu yako.

    Pia mara moja moja unarusha offer za pamba za timu mbali mbali za mpira pamoja na souvenirs zinginezo. I am sure kuna wadau huwa wanapenda vitu kama hivyo na itawavutia kuja kucheki.

    Hiyo italeta umiliki wa habari katika globu na kuvutia wadau kuja kujiona jinsi ulivyowapaisha. Ila hii ya copy-paste one-to-one itaua globu.

    ReplyDelete
  10. Wabongo mara nyingi hatufanikiwi kwa mambo madogo madogo sana. Hivi nini kitanituma kwenye kwenye blog hii kuangalia habari za ulaya? Andika mambo ya bongo mzee blog yako itakufa kama ya January Makamba.

    ReplyDelete
  11. dont scrape off my comments , comments zinawekwa kutujenga
    Ephraim should do broadcasting period. not MC and not blogging

    ReplyDelete
  12. KIBONDE WAKATI MWINGINE UWE UNAONGEA MANENO UKITAFAKALI NA MADHALA YA UNACHOONGEA.UMEONEKANA KUCHANGIA MADA JUU YA VITU USIVYOVIJUA,UNACHOCHEA MIGOMO VYUO VIKUU KWA MANENO MACHACHE YASIO NA BUSARA.WE LOVE YOU BROTHER,TAKE CARE WITH YOUR COMMENTS

    ReplyDelete
  13. Ulimi unaponza kaka....usicomment usichokijua...no information, o right to speak kaka

    ReplyDelete
  14. KIBONDE KUSEMA KUWA ATA KAMA WEWE UNGEKUWA NA MWANAO ANSOM ACHUO KIKUU HAPA BONGO UNGEMPATIA MAITAJI YOTE?WAKATI KUPATA MIKOPO NI HAKI YETU NAOMBA USIRUDIE KUTOA KAULI CHUFU REDIONI KWANI WANAFUNZI WA VYOU TULIO KUSIKIA HATUTAMANI KUKUONA WALA KUKUSIKA NI HAYO TU,MPE HII SUGU KAMA WEWE WA UKWELI.

    ReplyDelete
  15. ACHA MAMBO YA AJABU KAKA WEWE NI MTU MZIMA LAZIMA HUJIHESHIMU MIDAA MINGINE SIO KWA SABABU UPO RADION NDIO HUONGE MAMBO YASIYO NA MAANA WEWE NI MWANDISHI AU KIBARA WA SERIKALI AU UNATAKA NINI SERIKALINI KAKA SEMA KWA MAANA IMEZIDI SANA TUNASHINDWA KUKUELEWA JIHESHIMU NI HAYO TU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...