AFRICA'S NO1 DJ,DJ WAXXY (FROM CHANNEL O) WILL BE IN DAR ON FRIDAY 19TH JUNE AT THE EXCEL RELAUNCH PARTY AT DIAMOND JUBILEE VIP HALL

ALONGSIDE DJ PQ (TZ'S NO 1),

MARK BAND
+ MANY MORE..

ENTRANCE TSH 10000 (WITHOUT INVITATION)..

INVITATION CARDS 10 ZITATOLEWA
KWA WADAU WA BLOG YA JAMII!!

dah, hii lawama sasa,
nimpe nani nimnyime nani mnuso huu?

- Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2009

    wape wale ambao hutumia majina yao kamili..

    na sio akina anonymous

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2009

    naomba mi niwe wa kwanza kupata invitation pls as ni wa kwanza kukuomba e-mail yangu ni pokasi@yahoo.com naishi Kinondoni nakula nondoz Tumaini kwa mdau Godwi Gondwe. ASANTE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...