RAYMOND. T. KAPALATA

Ilikuwa siku, miezi na leo hii ni mwaka wa nne toka umetutoka siku ile ya tar 12-6-2005.Kimwili haupo nasi bali kiroho tupo nawe daima.Tunakukumbuka sana Ray kwa ucheshi na upendo wako kwa kila mtu.Sisi tulikupenda lakini bwana alikupenda zaidi.

Unakumbukwa sana na wazazi wako wapedwa, mama yako Martha kapalata, baba yako mzee Peter P.Kapalata ,kaka zako Paul ,Henry na dada yako Elizabeth Kapalata. Mama yako mkubwa Magdalena chagula ,baba zako Joseph na Moses kapalata.


Unakumbukwa na John kalonga na familia yake, Bernad kasela na familia yake,unakumbukwa na mama zako wadogo,baba zako wadogo,wajomba,shangazi , bibi na babu zako,binamu,wapwa na ndungu zako wengine wengi .


Unakumbukwa na marafiki zako wengi sana kutoka kila kona ya dunia hii na hasa uliopata kuishi nao Washington DC , Missouri,Dallas Texas na kwingineko.


*Misa ya kumbukumbu itafanyika leo ijumaa tar 12-6-09 saa 11.30 jioni katika kanisa la St. Joseph
*Misa nyingine jumapili tar 14-6-09 saa 9.30 asubuhi katika kanisa hilo hilo.


*Misa ya kumbu kumbu ya kuzikwa kwake itafanyika tar 25-6 09 saa 11.30 jioni katika kanisa hilo hilo la St.Joseph.


umpe eee Bwana raha ya milele na
mwanga wa milele umwangazie,
astarehe kwa amani
amina.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2009

    Ray Kapalata RIP. My real hommie. I visited him in D-town on Easter of 2004 and he hosted us pretty smooth, the house was packed with homeboyz across the Great Land of America. January 2005 we hanged togather big time, Haniken za hapa na pale. Easter 2005 he was on Crunchies with broken feet. Few month latter the evil kid stabbed you to death.

    We always miss you hommie....

    Mchumi wa Texas

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2009

    we miss u Ray,we love u but God love u more, sijui hata nianzie wapi miss u so much rest in piace Ray.
    G

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2009

    Ray tutakukumbuka daima kwa urafiki na upendo usio mna kifani wala ubaguzi.We will always remember you.Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele apumzike kwa amaniAmina.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2009

    poleni jamani kwa kuondokewa na mpendwa wenu!Mungu alimpenda zaidi.
    kyekuu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2009

    we will always miss you ray, rest in peace
    mdau dallas/houston

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2009

    Sio rahisi kuamini ni miaka 4 sasa.Mambo mengi yamebadilika kutokana na kifo chako, I hope ur doing fine up there.Till then we miss u so much homeboi.

    magoha

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 12, 2009

    We always miss you Ray! RIP Hommie.
    Mdau, Dallas-Texas.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 12, 2009

    we cant even give life then we dare take someone`s life away! tunaelekea wapi?rest in peace ray our dearest..huyo binadamu atakamatwa tu na popote alipo yeye na familia yake including dada yake who is so proud of having a murdorous brother wont live happily everrrrrrr i said NEVERRRR

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 12, 2009

    Raymond tunakukumbuka daima ulikuwa rafiki wa kila mtu lakini hao hao baadhi ya marafiki ndio walikatisha maisha yako bila sababu ya msingi mungu mkubwa inshallah mwenyezi mungu atakuondolea adhabu zote za kaburini. RIP
    H-TOWN

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 12, 2009

    RAY YOU WAS A NICE PERSON I MISS YOU

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 13, 2009

    ray nakumbuka ulivyonipokea washington dc mara nilipokanyaga USA mwaka 1999,msaada wako ulikuwa mkubwa sana,nilikushuru ulipokuwa hai na nitaendelea kukushuru hadi sasa,mungu aendelee kukupumzisha kwa amani,i know we going meet AGAIN one day AMEN.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 13, 2009

    REST IN PEACE!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 13, 2009

    sometimes its very hard to believe that u have gone! we raised and played together in Upanga.whenever u r,we will always miss u brother.
    too sad,
    Ray, Rest in Peace.
    Yassein

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 13, 2009

    Whenever i see ur photo, i just cant stop my tears...

    Rest in peace bro...i will always remember u, uchungu hautaweza kwisha. this pain will last forever because of many reasons.

    I knw ur soul is in better place, Love u bro. And u always be missed.
    REst in peace...

    Adam Kapalata

    ReplyDelete
  15. I could not believe when I had that you are no more,it was just few days when I spoke to you, you were in high spirits, Ray, your memories are still lingering on us, you are remembered by many,I believe you are very happy wherever you are. Rest in Peace Ray.Psalm 118:17-22.

    your sister
    Teddy in Manchester

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 13, 2009

    Ray, mara nyingi naona kama bado uhai. Umetutoka kimwili lakini kihisia bado tuko pamoja. Naamini ipo siku tutaonana tena na tutaishi maisha ya milele. Nakumbuka hekima zako, usia wako, mawazo, busara, na ushauri wako na ucheshi wako. Ulikuwa ni kijana wa kuigwa kwani hata kama ulikuwa na kitu kinakuuma ulikuwa hauonyeshi adhalani. Nilikuja D-TOWN na kuonana na wewe tuliongea mengi sana, nakumbuka uliniambia unataka kurudi home umechoka na kukaa mbali na family yako. Nilikusikiliza ila sikujua kama ulikuwa unaweza ukaondoka mapema, tuliongea mengi na kukumbushana enzi za utoto wetu TZ. Nilikaa kwa siku mbili niliporudi kwangu tuliongea kwa simu mara moja kukutaarifu nimefika salama. Nilipatwa na butwaaa nilipo sikia wknd iliyofuatia umepatwa na mauti. Tulikupenda sana ila ALAAH SUBHANA TAALAH amekupenda zaidi Inshaalah nakuombea mwenyezi mungu wa rehema na amani akuondolee adhab kabri na akujaalie pepo ili nami nikija unipokee kama ulivyo nipokea nilipokuja kutembea D-TOWN. Naamini kila nafsi itaonja umauti kwa hiyo hata huyo aliye katiza maisha yako naye ataonja umauti na hata kama anaikwepa adhab ya dunia naamini hatoweza kuikwepa adhab ya ahera, nakutakia mapumziko mwena Inshaala tunaonana siku nami nitakapo itwa, wabilahi taufiq.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 14, 2009

    REST IN PEACE BROTHER..WE WILL ALWAYS MISS YOU AND LOVE YOU. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.Upumzike kwa amani na mwanga wa milele uangaziwe.
    AMEN..

    HENRY JOSEPH KAPALATA
    WICHITA, KS.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 14, 2009

    Rest in peace dear. I don't even know you but when I saw you photo, just tear come on my eyes. You were so cute and handsome. I believe ur in the better place.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 15, 2009

    sister teddy umesema uko manchester. nami pia niko hapa na nitaendelea kuwa hapa kwa miaka kama sita ijayo. ningependa kukutana na watanzania wenzangu. naomba kama umepata hii hata unibeep tu nitafurahi. huwa ninakwenda pale african club (the park) grosvenor street, lakini huwa mara nyingi ninaonana na wakenya na waganda tu. huwa nawafahamu kwa sababu huwa wanapenda kunywa tusker ambazo zinapatikana pale pia. mara nyingi kila anywaye tusker huwa ninamfuata na kumuuliza atokako na wote ambao nimeshawauliza so far ni either kenya au uganda!! hii pia ni ombi kwa watazania wengine wowote waliopo hapa manchester na hata miji ya jirani kama bolton wigan etc. email yangu ni nyumbanitz06@ymail.com

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 15, 2009

    HATA SIAMINI KAMA NI MIAKA MINNE SASA TANGU UTUTOKE MDOGO WANGU,NAKUFAHAMU TANGU VIKAWE STREET,WASHINGTON DC(NEW HIMPSHIRE AVE,PINEY BRANCH AKA CHECHINIA)MTU WA WATU.RIP.
    BIDADA.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 16, 2009

    Ray you are greatly missed by all you touched. You were such a nice person and a joy to be around. R.I.P dear brother...

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 18, 2009

    I saw u once , in Houston you came to our house with ur friends,i liked the way u were talking to pipo you first met. i was very SAD to hear the news but we all know God is great he loves you more, rest in peace our friend, we will meet again kwenye makao ya milele.
    Mdau Houston Tx.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 18, 2009

    Ray - miss you much brother. I know you are in a better place. Umetutangulia tu; kwa mapenzi ya Muumba we will meet again.

    DM - Columbus OH

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...