Habari Wasikilizaji wa MK Music Galaxy,
Tunapenda kuwatangazia ya kwamba, Kutokana na Sababu za Kiufundi katika Servers zetu za Linux, MK Music Galaxy haipo hewani kwa Muda huu. Tunajitahidi kadri tunavyo weza kuirudisha hewani.
Kwa Sasa website tumeiweka hapa
kwa muda.
Samahani kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
MK Music Galaxy -
Exploring Tanzania Music.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...