In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

VODACOM YASHINDA MASHINDANO YA GYMKHANA COOPERATE SOCCER TOURNMENT 2009

Nahodha wa timu ya Vodacom, Leonard Saveri akipokea kikombe kutoka kwa mwenyekiti wa club ya Gymkhana Mzee Victor Kimesera.
Wafanyakazi wa Vodacom wakishangilia Pamoja na meneja wa kampuni hiyo ya simu wa sponsorship Bwana Emilian Rwejuna (shoto).

Baada ya kukabidhiwa Kombe na waandaaji, wafanyakazi hao waliendeleza sherehe, ni baada ya kuzichapa kampuni nyingine za simu kama Zain waliochapwa 3-2, Zantel walichapwa 3-0 na Tigo walichapwa 3-0 na kuingia fainali ambapo walikutana na Benki ya Standard Chartered ambayo ilichapwa bao 1-0 na ubingwa kuelekea nyumbani kwa Vodacom Tanzania.

Kuna Maoni 10 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Au michu umeipendelea Vodacom kwa sababu ndio waajiri/wadhamini wako wakubwa? Tupe habari hii bila upendeleo "bias"

  2. Anonymous Anasema:

    WAZEE WA STANCHAT SAFI SANA KWA KUFIKA FINAL NAWAFEEL MY OLD TEAM MATES,MICHU VODA DAMU HUYO NA LINE YAKE YA VODA NAHISI NI POSTPAID MPAKA SIKU ANAVUTA.

  3. Anonymous Anasema:

    Lenny nakuona unatabasamu mwenyewe, hongera kwa timu yako kupata kikombe, tutafutane jamani ....mm Babie

  4. Anonymous Anasema:

    VODA MZIKI MNENE AISEE ULIZA WASHIRIKI WOTE WALIOSHIRIKI KWENYE HILO BONANZA AISEE DUU HAWA JAMA WANA TEAM NZURI SANA INA STAMINA KWELI KWELI...HUWA NAWAONA PALE AL MUNTAZIR KILA JUMA TANO KAMA LEO....WAPO HADI SAA 3 USIKU WANAJIFUA......KWA NGUVU MNO...

  5. Anonymous Anasema:

    Hongereni VODA TEAM.
    Nawaona wako kimichezo kwl kwl but nina wasi*2 na huyo big hapo anaitwa nanihii (Nambaya) MTS camp tehe tehe tehe!
    MICHU kuiweka habari hii sidhani kuna uhusiano wowote na ufadhili wa blog hii kama usemavyo annoniii wa 1 JULY 12:00AM,vijana wamefanya kazi nzuri na tunahitaji habari zao HABARI NDIYO HIYO UKITAKA UNAACHA AU UJIBEBE!!!!!!

  6. Anonymous Anasema:

    Dah..ebwana jamaa wakali, mimi mdau wa michezo nimewaona kwa macho, no mamluki, jamaa wanachezesha wafanyakazi wao tu.
    bonge la bidii, ni mfano wa kuigwa.

    kweli mtandao huu ndio unaoongoza tanzania, ata ukicheki kampuni zingine kwenye soka zimepigwa na mtandao mkubwa.

    pamoja daima.

  7. Anonymous Anasema:

    Hey babie, mambo ni vipi? ntakucheki kwenye simu ndugu yangu longtime no see my dear.

    cheerz!

  8. Anonymous Anasema:

    WAZEE WA VODA, NAKUONA HAPO MWANA BIDUGA HONGERENI NAONA SIKUHIZI MNA VIJANA WENGI HII NDIO INATAKIWA. SIO KIPINDI KILE GOLINI UNAMKUTA MZEE MZIMA ASUPYA WATU WANAFUNGA TU BILA HURUMA, SASA HIVI NAONA MMEJIDHATITI NTAKUWA NAKUJA KUCHEKI MECHI ZENU...BIGUP

  9. Anonymous Anasema:

    Nawakubali vijana mko juu

  10. Anonymous Anasema:

    Wadauuuuuz...dah ebwana nawarespect...mko juu...

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker