Good news! The Managing Director of Seacom Tanzania, Ms Anna Kahama talks exclusively to 'Globu ya Jamii' on the much awaited fibre optic services she says will be ready for launching come July 23 this year.

The undersea fibre optic cable has been laid down in the Indian Ocean water of commercial capital Dar es Salaam. The trials for the new communication system are already on.

The project, that was expected to be complete by June this year, experienced a some delays to what Anna Kahama-Rupia said was due to high seas piracy threats.

Seacom, she said, had to hire special armed speed-boat escorts during the during part of the period of laying of the submarine cable as a precaution against Somali bandits who roam the high seas. (click here)

The new technology, which is alternative to the satellite system, is set to lower telecommunications costs by 95 percent.

Kahama said SEACOM will be the first cable to provide broadband to countries in east Africa which, at the moment, rely entirely on expensive satellite connections.

Within Africa, South Africa, Mozambique, Madagascar, Tanzania and Kenya are inter-connected via a protected ring structure. Additionally, a second express fibre pair is provided from South Africa to Kenya.

These two fibre pairs have a combined capacity of 1.28Tbs. Express fibre pairs are also provided from Kenya to France into a PoP in Marseilles, with 640Gbs capacity, and from Tanzania to India into the PoP in Mumbai with 640Gbs capacity.

SEACOM has procured fibre capacity from Marseilles to London as part of the SEACOM network.

"Currently, satellite costs about US$300 per megabyte per second while the use of fibre optic cables will cost US$100 per megabit per second," Kahama said.

This is the first fibre optic cable of its kind in East Africa. The cable will be connected to the fibre optic centres in Mozambique, South Africa, Kenya, Egypt, India and Djibouti.

Four Tanzanians who underwent training in India on how the system works, have already assumed the positions of station manager, engineer and cable station technical technicians at a centre in Dar es Salaam.

Seacom will be the system's service provider on the East Coast of Africa, linking Southern and East Africa, Europe and Southern Asia.

The company's construction manager, Chriss Albert, said the technology was now common in most parts of the world - except Africa.

"This is high-performance optical transmission equipment," he said. "It connects customers to inland terrestrial networks and other cable landing stations all over the world."

SEACOM’s enormous capacity will enable high definition TV, peer to peer networks, IPTV, and surging Internet demand. Pricing will be significantly lower than current satellite or fibre pricing.

SEACOM will be ready to serve southern and east African markets from July 23, 2009 well in time to meet the bandwidth needs of the 2010 Soccer World Cup in South Africa, and the growing requirements of the economies in the countries it will serve.

SEACOM is 76.25% African owned by:

• Industrial Promotion Services (26.25%), an arm of the Aga Khan Fund for Economic Development

• Venfin Limited (25%)

• Convergence Partners (12.5%)

• Shanduka Group (12.5%)
The remaining 23.75% is held by Herakles Telecom LLC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 38 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2009

    Binafsi ninayasubiri kwa hamu mawasiliano haya, maana costs za mawasiliano zinakatisha tamaa sana hapa kwetu.
    GJK

    ReplyDelete
  2. may the horsepipe of God's blessing blew on to you amen

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2009

    Downloading three hours movie in a matter of seconds!!!!!!!!!!!!!!!!! Hakuna hiyo kitu.

    I can download movie kwa one hourm na hapo inakuwa speed kwa sababu unakuwa unadownload kwa watu wengi ambao tayari wamedonload na wanakubali kushare, kwa hiyo inakuinaunganisha piece from different sources.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2009

    Michu,
    Mbona hamjafanya hii interview kimatumbi? Naona mmetema yai hapo ze ze ze nyingi ;)

    Ama kweli Kingereza sio lugha yetu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2009

    Tunashukuru ila mwambie hatuhitaji majina yote hayo, hizi siyo zama za Nyerere na watu wake; na apunguze kicheko, nahisi kama hakiko mswano.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2009

    Mdau Tarehe Tue Jul 07, 05:09:00 AM,, kujifanya wajua utaungua na jua, unachozungumzia ni illigal downloads, ambazo hakuna muda mrefu mtafungiwa, she is Absolutely right, huku dunia iliyoendelea tunadownload movie kweli kihalali kwa kulipia kwa sekunde kadhaa, hapa kwangu nina 50mbps, sasa fanya hesabu mwenyewe movie ya 700mb ntadownload kwa muda gani...
    ovyo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2009

    Huu ni unyonyaji mwingine. We will still be using the satellites technology. Tanzania ina akili sana ukihusisha siasa za kimataifa. Ndio maana haina interest. Why provide connection from India and Kenya while Kenya has a connection direct from Marseille and London. We know that internet is from Verizon USA and not from any other country. Why connect to India. Still very questionable?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2009

    bro Michu, hiyo ni habari nzuri sana. lakini kulikuwa hakuna haja ya kuweka 75% african owned, kwani tunajua huo ni mchanga wa macho. kwa kuanzia ukamtaja Aghacan, huyo sie mwafrika eti. angalia walioitwa niJK last month kuongea ishu hiyo, hakukuwa na mmatumbi. so sema kutakuwa na fibre optic serv bila kujari nani anamaliki.
    BIG UP MITHUPU, TUNAOREJEA HOME ALISHATUKATISHA TAMAA JK,ALIVYOITA ULE MKUTANO WA KUSAIDIANA.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2009

    Mdau Tarehe Tue Jul 07, 10:06:00 AM. Wewe unajiona unajua lakini pia HUJUI.

    Hapo ulipo unaweza kupata speed hiyo kwa sababu the Infrastructure kutoka kwenye nyumba yako kwenda kwa ISP wako mpaka kwenye Cloud ni either full fiber au high speed ethernet to home.

    Sasa bongo hakuna hiyo kitu kutoka majumbani; connection kutoka nyumbani mpaka kwa ISP ni copper na "labda" tena "LABDA" kutoka kwa ISP kwenda kwenye Cloud ndio iwe fiber. Fiber inayozungumziwa hapa ni kwa ajili ya kupelekea data nje ya nchi (inter country), fiber ndani ya Tanzania bado na itachukua muda (mpaka wachimbe barabara kusambaza..!!). Hii ikikamilika ndio tutakuwa tunazungumzia speed ya 100Mbs kwenda juu tukiwa majumbani na maofisini mwetu.

    Kwa vyovyote vile ili mradi waya wa copper bado upo kwenye hizo connection huwezi ku-download movie ya 3 hours in Seconds.

    Hivyo hapo Mama Kahama-Rupia ameongeza chumvi kuongeza hamasa.

    Mdau
    Network Engineer
    UK

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 07, 2009

    Kajisemea Mr.Ebbo "masai naendeleza mila mahali popote'' mi nampa big up Masai huyo anayeonekana kwenye background, yeye anaendeleza mila tu hata kama mnazindua hizo fibre optic cable zenu! Masaaii oyeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 07, 2009

    It is good to have the best IT but bado kuna mgao wa umeme. Internet zenyewe ni expensive kuliko hata nchi zilizoendelea.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 07, 2009

    Jamani huyu dada si ni mmatumbi tu kama sisi? kwani kiswahili hajui? au Michuzi ndiye kababaika baada ya kuona demu ana majina ya watu wakubwa basi akaona labda Kimatubi hajui na kukimbilia kwenye ngeli? Namna hiyo Michuzi unatubagua sisi ambao hatujasoma kwenye academia school! tunalipa hela zetu kuja internet cafe kuangalia blogu ya jamii then tunakumbana na mahojiano ya kiingereza, ama kweli ng'ombe wa maskini hazai na akizaa anazaa dume! Michuzi ukibana hii haina noma ila message delivered!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 07, 2009

    Mhh i doubt maana kwa high speed unahitaji uwe na kitu kiitwacho, FTTH-fiber to the home(Conection mpaka kwenye nyumba ni fiber). Hii ndo inayotumika saana huku Japan. Sijui kama tanzania inawezekan kwa sasa.

    engineer

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 07, 2009

    Mdau Network engineer wa UK umeongea ukweli maana kuna watu wakifika ughaibuni wakakusanya visenti wakanunua vi laptop na kujua few workarounds za IT wanajifanya wanajua sana.
    Miss Ngowi
    Software Developer Berlin Germany

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 07, 2009

    Mdau Tarehe Tue Jul 07, 11:16:00 AM, unayejiita network engineer na wewe mama hapo unayetoka ujuremani, kabla hamjarukia kumkosoa mtu, angalieni base ya hoja, na sio tu kuropoka mnachojua, nafahami fika kwamba miundombinu ya nilipo inauwezo wa kunifanya nidownload kwa speed hiyo, lakini umesahau au kupuuzia ukweli wa chimbuko la mimi kumkosoa aliyesema kwamba haiwezekani kudownload movie in a matter of seconds...Jibu langu kwake, ni kuweza kudownload kwa sekunde kadhaa, si usambazaji wa hizo nyaya kwenye majumba ya watumiaji na sababu nyingine zinazomfanya mtumiaji awe na speed ya kutosha kudownload haraka kwa sekunde kadhaa, hilo ni swla jingine na kudownload in a matter of seconds ni jingine, kama mmemsikia Dada rupia alivyoelezea utaelewa kampuni anayofanya kazi wanahusika na nini, Swala la ISP ni jingine na wao swala lao ni jingine...
    Nadhani Hesabu mnazijua, kwamba dakika moja ina sekunde 60, sasa anayedownload kwa 15 minutes atadownload kwa sekunde ngapi?? au hizo sio matter of seconds, Inabidi muelewe maneno ya wauzaji na watafutaji wateja, ndio maana small prints zinawaumiza watu wengi sana kwa kutosoma wanachouziwa kwa kutegemea maelezo machache ya tangazo... mathematically Rupia yuko so right, maswala mengine yanakuja baadae.
    Ni hayo tu..
    Ahmad Kaijage.
    Web Developer-Portsmouth, UK.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 07, 2009

    Mdau Network Engineer UK, nakuunga mkono, kwani nilikuwa nawaza waliposema sema wamemaliza kutandaza waya na wataanza service, kichwa kina niuma mimi, kwani ndo nataka nishugulikie kuconnect branch mbili kwa VPN (Virtual Private Network) kuhamisha ma-file makubwa.
    hapo Bongo.
    Mdau

    System Analysis & Programming Developer. German.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 07, 2009

    Bwana Michuzi hongera sana kwa hii blog yako. Ni kweli ni blog ya jamii kwa jinsi watu wanavyochangia maoni ambayo mengi ya maana ukiondoa wachache wanaongea pumba. Hata sie tusiojua kitu tunaelimika na kutanua mawazo yetu. Hongera kaka mungu akujalie

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 07, 2009

    Michuzi wewe ndo unaharibu globu ya jamii kwa kuwahoji watu kwa ki-inglish. tunajua kwamba english unajua na wamatumbi wengi hiyo lugha wanaongea, sasa kuna umuhimu gani wa kuwahoji wabongo kwa kingereza???!!!! Watu kama ninyi inabidi muonyeshe mapenzi kwenye nchi yenu ili vizazi vijavyo viige. unajua kuna nchi ngapi Afrika hazina lugha ya Taifa? matokeo yake wanaamua kutumia kiinglish kama lugha yao kuu, sisi tumepata bahati halafu waandishi wakubwa kama wewe unatuangusha tena wewe umekaa nje ya Bongo mara kibao unajua fika umuhimu wa Utamaduni.kila unachoandika michuzi zingatia uzalendo kwani ndo kitu pekee wabongo hatuna.
    Mdau AB-Ubatani

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 07, 2009

    Sekunde ndio kwani ametaja ngapi? Kwani ukiiita masaa matatu sekunde10800 utakua umekosea?? enhe angalia mijicho yenu.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 07, 2009

    I don see a problem kwa mama ku speak english b'se anajua na hamana am am nyingi....and Michuzi kuamua ku-mu inerview in english ni choice yake
    wewe unayelalamika hakuna mtu alikushikia bunduki akakwambia uingie kwenye Michuzi BLOG
    muda wa kujiendeleza kujua kiingereza upo English courses zipo kibao TZ

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 07, 2009

    Naona mnaonyeshana nani zaidi hapa, mara web developer, mara network engineer mara software developer. Semeni vitu vya maana tuelewe.

    Mbeba maBox, India

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 07, 2009

    michuzi muhidini accha kubania maoni ya wanyama,ningependa utoe maoni yangu tafadhari bwana hao wakina rupia unawababaikia sana pamoja na kahama.toa maoni ya maskini,please I BEGG YOU NOW LIKE NIGERIAN PLEASE YOU AKATA

    ReplyDelete
  23. Kunradhi wadau,

    Sina kawaida ya kuwaingilia kwenye uwanja wenu huu wa maoni, ila kuna wadau wamenikuna nikaona nami nitoe yaliyo moyoni mwangu kama mdau wa kawaida.

    Wa kwanza ni huyu anonymous wa Tue Jul 07, 08:28:00 PM ambaye ananisihi nitoe maoni yake huku akinituhumu kile anachoita 'Kuwababaikia wakina Rupia'.

    Kwa kweli imeniuma sana kwani nashukuru Mungu sina nilichokosa katika maisha ya mtu wa kawaida na kufikia 'kumbabaikia' mtu ama watu. Kwa hiyo swala hilo halipo.

    Huyu mdau ameandika mara kadhaa katika lugha ya kuchafua hali ya hewa kiasi ya kwamba maoni yake hayajaona mwanga wa jua na hayatokaa yaone huo mwanga endapo ataendelea kumwaga chuki dhidi ya watu ambao anataka kila mtu aijue chuki yake binafsi kwao.

    Si ustaarabu hata kidogo kudai ati Michuzi anaminya maoni wakati maoni yenyewe ni ya kashfa na yasiyo na faida sio katika jamii tu pengine hata kwake mwenyewe. Yeye kuridhika kwake ni kutaka kumtukana mdau mwenzie kwa sababuazijuazo. Hawa watu wapo hapa duniani na kama una nia ya kuwapa hayo uliyo nayo moyoni si uwatafute wenyewe na kufanya hivyo bila kutaka kuhusisha wengine?

    Swala lingine ni hilo la kutumia Kiingereza kwenye mahojiano. Hii ni katika kutaka ujumbe uwafikie hata jamii ya kimataifa ambao Kiswahili hawakijui. Ikumbukwe kwamba Bongo tuna lugha mbili rasmi - Kiswahili na Kiingereza. Sioni tatizo liko wapi kutumia mojawapo ama zote kati ya hizo. Fikra potofu ama ushabiki wa kufuata mkumbo kwamba ikitokea jambo kwa kiingereza ni 'kubagua' sidhani kama zina nafasi katika zama hizi, na haina hata haja ya kulumbana maana mtu wa aina hiyo ana lake jambo, kama si kuwa mshabiki wa dhana potofu ambazo hazina maana.

    Namalizia kwa kusisitiza tena kwamba Globu ya Jamii haivumilii uchafuzi wa waina yoyote ya hali ya hewa, hususan maoni yanayolenga kujeruhi mdau mwengine. Kama kuna ulazima wa kufanya hivyo, tumia jina lako halisi na anuani uone kama nitakubania. Usisahau kwamba uwezekano wa kukujua hata ukiwa nyuma ya mwamvuli wa 'anonymous' ni jambo rahisi kuliko unavyofikiria mdau wa aina hii. Sina nia ya kumtia mtu hofu ila ukweli ndio huo ili mdau usijisahau saaaaaaana kwa kudhani haujulikani. Technolojia hii haina kificho, kwani kuna mambo kibao ikiwa ni pamoja na IP address, muda wa kutumia n.k. hivyo kama kuna haja hata kama ni kwenye internet cafe kama mtu anataka kukupata atakupata tu.

    Nawasilisha

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 07, 2009

    jamani jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni - mwacheni kaka wa watu na blogg yake mbona mnataka kumpangia namna ya kuiendesha blogg yake?si muanzishe blogg zenu?tutafika kwa mwendo huu jamani?

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 07, 2009

    she really knows what she is talking about.. Often watu wakiulizwa maswali, they usually beat around the bushes and never answer the questions. Mama Rupia, congratulations for a successful interview. Hata mimi niko ughaibuni nilikuwa gizani juu ya optic fibers na kwa kweli i learned alot from this interview. Thanks Michuzi.

    ReplyDelete
  26. sasa uko ni kutambiana au nini?

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 08, 2009

    wabongo bwana,
    nyie ma-developers tulizeni ball tengenezeni objects halafu muanze ku-code.
    Seacom hawawezi kupeleka fiber kwa sababu wao ni vendor(kama AT&T or verizon) au kwa kitaalamu tunawaita telcommunication career similar to wholesaler in product goods industry perspective.
    what they will do is it to bring fiber to Tz that's it, then it is up to local telco or ISP to lease bandwidth from them for the purpose of distributing to final consumer. Fiber will probably go up to the ISP or local telco then the ISP will use their Modem and switches to re moderate the signal then supply broadband high speed internet to final consumers. Less likely transmission to consumer will be in fiber cable to due to cost(fiber cable is expensive compared to cat5) and technical barriers(fiber techs get paid big $$) it will take time, final consumer will get connection through DSL or cable modem connection which are cheap compared to fiber and the technology can be easily and cheaply maintained.
    got it?

    Engineer,
    CCNP,CCVP,CCNA.
    USA.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 08, 2009

    we mdau wa hapo juu nakubaliana na wewe kwa kutoa maelezo mafupi ba yaliyojitosheleza.halafu wabongo tuache kutambiana mara software eng,web developer,sisi atutaki kujua wewe ni nani bali kujua what you know about the FIBRE OPTICS TECHNOLOGY.
    MWANAFUNZI WA ph.D-GENEVA

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 08, 2009

    khaaaa michuzi na wewe??

    ani kasema Tz lugha ni mbili?lugha ni moja tu kiswahili zingine makabila,kiinglishi ni lugha ya wasomi-wale walioenda secondary adi chuo

    so mtu anaposema haelewi kiinglishi lazima uelewe na tafuta jinsi ya kusaidia kwa kufafanua ktk lugha yetu ya taifa-KISWAHILI

    kwani ni shida??hii blogu ni ya jamii so watu weengi sana wanapitia umu.SAWA mzee?

    ofkoz unatutisha na iyo neno "unatuona ata tukiwa wapi na tunaweza fatiliwa"

    ASANTE

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 08, 2009

    Ilona....

    hii ni kawaida mbona na tabia asilia ya so-called engineers,software,hardware bra bra bra

    yan mie sina mbavu apa,ndo mana tunawala sie ma-politicians,zidi kutuleteeni izo dili

    hahahahahaaa

    ReplyDelete
  31. AnonymousJuly 08, 2009

    kweli fimbo ya karibu haiu nyoka,kwani mkuki kwa kunguruwe kwa binadamu muchungu, sasa mimi hata chini ya mwembe sijasoma mnanishauri nitumie, lugha ghani????????????????????????????? basi kwa maana ninatoka masansa kona karibu na Kahama kwa chini yake ni Bariadi.wasomi wa associate manishauri jamani.
    JOHN MASHAKA TARIME

    ReplyDelete
  32. AnonymousJuly 08, 2009

    Mshamba ni mshamba hata akienda majuu.
    Mbeba mabox wa Sweden

    ReplyDelete
  33. AnonymousJuly 08, 2009

    he wabeba mabox tena kuna mashushu wa Obama,mbona tena kutishiana mara lugha oh!!lah!lah!ninafikiri blog unatoa maoni yako na siyo ubaguzi jamani ni karne ya 21,kwanini watoto w vigogo wakitolewa walalama itabidi watolewe nipashe basi au kiu.
    Grolia Mochiwa,The Colony Texas

    ReplyDelete
  34. AnonymousJuly 09, 2009

    Wewe MDAU UNAYESOMA HIYO NETWORKING HUKO UK unayediriki kuwaambia hao wenzio wa USA kuwa hawajui na WEWE NAE NI KILAZA TU.

    Umwesikiliza huyo somebody rupia alivyoongea.Hiyo fibre itafikishwa TTCL KIJITONYAMA.TTCL wana cables(ethernet) zinazofika kwenye makazi ya walio wengi,na hata kama kuna nyumba zinazokosa,ni rahisi kuendelea ku-extend ile networking ya TTCL kufika kwenye makazi ya walio wengi.

    Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  35. AnonymousJuly 09, 2009

    We mithupu hapa umechemka, huwezi hata siku moja kuwa agaist your country.
    Nchi zote duniani zinaongea english as International language Lugha ya kuongea na wageni n.k
    Hata siku moja huwezi kukuta nchi kama ujerumani inamuhoji mjerumani kwa kingereza, au mfaransa nchi ambayo ipo 15mins from ENGLAND inamuhoji raia wake kwa inglish, never ever
    ndugu yangu naona umekuwa mkali na vitisho juu enhee hatugombani ndugu yangu ni udaunaizesheni tu
    usilazimishe kwamba tuna lugha mbili inc.English si kweli English for English people and Swahili for Tanzanians
    Unajua Chuzi wazazi wenye fikra kama zako huwapeleka watoto wao Kenya na Uganda kusoma ili waongee kiinglish
    Kwani wazazi hawa hudhani kwamba huwezi kuwa the best kama huongei English, Mimi nipo England kuna watu kibao washamba, waluga wajinga you name it....na wanaongea english vibaya sana
    na nimekutana na maprofesa wakituruki,kipolish,kifaransa na kijerumani ambao hawajui english hata chembe,unahitaji mkalimani kuwasiliana na watu kama hawa
    Plz take it POSITIVE WAY FOR THE SAKE OF NEXT GENERATION.
    Chuzi JUST BE PROUD OF YASELF,YA LANGUAGE AND YA COUNTRY YOU HAVE DONE GREAT JOB SO FAR.
    Mungu ibariki Tanzania
    Mungu ibariki globu ya Jamii

    ReplyDelete
  36. AnonymousJuly 09, 2009

    NIMEFURAHI SANA KUHAKIKISHA KWAMBA MHESHIMIWA MICHUZI, KWELIKWELI KABADILIKA SIKUHIZI, HARUHUSU HATA KIDOGO WASHENZI KUINGIA NA KUCHAFUA HALI YA HEWA KWENYE HII MICHUZI BLOG.
    NILIPOONA TU PICHA YA HUYU -ANNA KAHAMA-- NIKAJUA MUNGU WANGU EEE WATU WATAINGIA KAMA AWALI NA KUANZA KUMSAGIA NA KUZUNGUMZIA SIRI AU KUTOKA MAONI YA PRIVATE LIFE YAKE. NYIE MLIE TU SASA MKIINGIGA HUMU JAMVINI MKIDHANI MTAPATA FURSA YA KUTOA SIRI ZA WATU NA KUTUKANA, MMEPIGA CHINI, SIKU HIZI MICHUZI, ANAYAFUTA WALA HAYAPOSTI MAOINI YA AINA HII.
    SI MMEONA WENYEWE, ZE UTAMU WAMEISHIA WAPI?
    HONGERA MHESHIMIWA MICHUZI KWA UDHIBITI HUU. PRIVATE LIFE ZA WATU NA WAPENZI WAO NA AFFAIR ZAO HAZITUHUSU, INGIENI HUMU KUTOA MAONI ADIMU.
    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, IDUMU TANZANIA YETU, NA ADUMU MICHUZI.

    ReplyDelete
  37. AnonymousJuly 09, 2009

    Michuzi, Hiyo Kampuni ya shanduka ni ya Tajiri mmoja pale South Africa na ni Kigogo wa ANC anaitwa Cyril Ramaphosa, Na ni mwekezaji makini unaweza kumsoma hapa
    www.shanduka.co.za

    ReplyDelete
  38. AnonymousJuly 23, 2009

    watu wanaongea tu hapo nime tathmini maongezi yoote ya kuhusu kudownload movie na 100 mb/s wewe unahitaji 100 mbps una stream servers au una run google ndogo, kwa user wa kawaida T1 connection inatosha which is 2.2mb/s that is well enought ambayo ina faa kwa kutumia adsl connection ambayo tunayo tayari na kwa connection hiyio una weza kudownload movie kwa 2 hrs flat. mimi i download movies daily na anaesema illigal download na zitafungwa sijui yupo nchi za nje wanadownload movies kwa kununua aisee usidhani watu tuliobongo ni washamba sana kwanza hao walio ulaya ndo kisomo kinashake watu wna piga shift sana , SEACOM WILl change na itatuweka bongo juu sana tu, mimi nimeshafunga kila kitu nasubiria tu the flat connection . so hamna cha nini wala nini download kwa kwenda mbele

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...