mdau gibson na mai waifu wake eliza baada ya kumeremeta huko ukweni
msafara unaanza baada ya kumeremeta
maharusi na wapambe wao



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 74 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2009

    Mungu awajalie maisha mema yenye uvumilivu na riziki halali iwe pato lenu.

    ReplyDelete
  2. Mkuu hii ilikuwa kule nyamongo nini maana du! safi sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2009

    Hongera sana mmependeza sana , mupo natural na inavutia

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2009

    Wow ,kijiji gani hicho

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2009

    Eeh da Eliza na mai hazbandi wake wametoka chicha hao, yaani very authentic mwanawani. Kisha huyo mpambe mwenye gagulo la njano kanikumbusha enzi zile, mwee. Mungu aibariki ndoa yenu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2009

    ...Nimefurahi sana kuona mazingira hayo.Hali halisi na ukweli halisi.Najua wengine wanaweza ponda.Wengi wetu hutka ufahari ili uonekane mtu mwenye nacho.wao ni halisi.Hakuna "kubumba"

    ReplyDelete
  7. Halafu ndo za hivi ndo huwa hadi mnarest in peace mko pamoja, ile zile za wenzangu na mimi za mashangingi na ma limoseni sixi doa, mmh!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 10, 2009

    Hongereni jamani..Ila hawo ma best man walikosa hata raba za kuvaa..Kontula

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 10, 2009

    Hii ngoma itakuwa Ngoeranga Malinyi Mtimbira huko wa Ng'ambo wa Ng'ambo!!
    Au Ngombo au Kidodi

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 10, 2009

    MBWENU WAITU, AMEWOWA. JAMANI MWE TUKO MBALI, TUTAFIKA, MUNGU ATUSAIDIE.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 10, 2009

    da nimeipenda iyo inanikumbusha zamani. na nawatakia maisha mema mungu awabariki

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 10, 2009

    Hapa Bwana Michuzi umecheza, kwani umenikumbusha jinsi harusi zilivyokuwa kule kwetu Maruku, Bukobani miaka ya nyuma. Kwa kweli inapendeza sana. Nawatakia heri na baraka maharusi, Mungu awaajalie katika ndoa yenu muishi kwa furaha.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 10, 2009

    Michuzi naomba uwambie hiyo Bili ya hilo Limozini ili niwalipe.

    ReplyDelete
  14. kaka safii saana unanikumbusha enzi miaka ya tisini ilikuwa ndoa za pamoja kwetu kijijini ilikuwa kama hivi, uko kwetu yebo yebo mali kweli unaona mpaka mtu anatamani atoke nayo kwenye snapu.kaka wabejaaa

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 10, 2009

    Yes nimekubali hii harusi imenikumbusha miaka ya 70 wakati nakaa kijiji cha Churwa maramba mjomba wangu alikuja kufanya harusi kama hii ilikuwa story ya mwaka mzima watu wanaongelea jinsi harusi ilivo kuwa bomba hapo hata soda ilinyeka na wali uliliwa. si mchezo, Ndoa hizi ni za milele mungu akubarikini

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 10, 2009

    Michuzi,
    Ambaye amekutumia hizi picha ashukuriwe sana tena sana. This is the real Tanzania, acha asilimia moja ya wabongo wanaotudanganya na hela za wizi wa serikali.
    I wish president JK angekuwa anatandaa na kuona picha kama hizi ili aone who is he real supposed to work for.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 10, 2009

    this is real love right here forget all that fancy western stuffs

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 10, 2009

    wamependeza sana, nafikili itakuwa kijiji kimojawapo kutoka iringa

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 10, 2009

    Mungu hawabariki sana nimependa sana harusi yao,Haina mambo mengi kama harusi zingine.Mimi nikiolewa nataka hiwe kama hivo simple and nice sio mamichango kibao maada ya muda ndoa imekufa.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 10, 2009

    Yaani wamependeza kweli kweli! hii ni mfano watu mukafunge harusi kijijini, mambo ya michango na kuumiza vichwa halafu harusi inadumu mwaka mmoja ya nini! kijiji ndiyo bomba. naona garama yao imewacost elfe kama 15 hivi! well done. am happy for them.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 10, 2009

    Matron mbona kaachwa kwenye msafara wa pikipiki? au yeye alitangulia

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 10, 2009

    SAFI SANA. VERY NATURAL.
    KAKA MICHUZI,WANAPATIKANA WAPI HAWA ILI KUTOA PONGEZI BINAFSI????
    THIS IS SO GREAT.....
    HATA KAMA SIKUALIKWA,THOSE PHOTOS HAVE MADE MY DAY.I LOVE THEM.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 10, 2009

    ukweli harusi hii nimeipenda bila unafiki,yaani imenipa jibu kuwa harusi sio tu ifanyike kwenye hotel za kitalii au sehemu nzuri,na wala hakuna haja ya kuwapa kichwa akina NANIHII ili waje kula kichwa cha picha za mnato.Mtafute yule jamaa mpiga picha anatembea na mkoba mtaani akulambe picha mbili tatu na kuzilipia hapohapo kisha aanze mbele.
    Lakini ukiwaita akina NANIHII watakutajia bei za matangazo ya mabango na msosi watakula pia.

    ReplyDelete
  24. Nshimimana aka DumisaneJuly 10, 2009

    Ahahahaa.. hiyo comment ya Msafara hapo.. hivi si ni juzi hapa tulikuwa tunaongelea mambo ya MISHIKAKI!?

    = = =
    Buffalo, (mitaa ya wenyewe)
    New York

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 10, 2009

    Serious nimwsikia raha, iko so natural, you can see it, hawa ni watanzania, nimekumbuka mbali saana manake ndo harusi zilivyokua, hongereni maharusi saaaana na hongereni hata kutuletea picha kuwaona manake sio kila siku za mijini tu na vijijini kuna ndoa.. nimefurahi saana nawatakia baraka tele

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 10, 2009

    Mdau P,

    Umefika Nyamongo au unasoma tu kwenye magazeti...hapo sio Nyamongo hata kwa dawa...kali deleva wa Limo kaweka helmeti yake kwenye dashi bodi...akikutana na Afande Kova itakuwa kizaa zaa..

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 10, 2009

    U neva bored ur wadauz Michuzi bless

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 10, 2009

    We michuzi mchokozi sana!

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 10, 2009

    Mapenzi ya dhati kabisa hayo

    ReplyDelete
  30. A nice simple wedding! Ndoa za namna hiyo zina dumu! Siyo hizo za shs. milioni 30/- halafu kesho kutwa wameachana!

    ReplyDelete
  31. AnonymousJuly 10, 2009

    Kweli mnapendeza,
    lakini! huyu jamaa aliye oa yani bwana halusi hana wivu kabisa,,mpaka unakubali mke wako anakaa kwenye kimvuma hivo mpaka na maziwa anayagongagonga kwenye mgongo wa jamaa anaye endesha!!ha,, ha,,ha,,,jamaa deleva wakimvuma una mtihaniiiii....

    ReplyDelete
  32. AnonymousJuly 10, 2009

    God Bless You guys wengi wanaojifanya wana hili na lile ndani ya nyumba zao hakuna raha wala maelewano ndani ni drama kila kukicha lakini watu wa aina hii na maisha ya jinsi inavyoonekana pichani wana mapenzi ya kweli.shida raha. and thats Love. Mungu awabariki sana.

    ReplyDelete
  33. AnonymousJuly 10, 2009

    mungu awajalie maisha mema, kwani ndoa za siku hizi, baraa tupu, mmeoana miezi michache tu,wapambe wanaanza kuingilia kati, wananiboaaaaaaaaaaaaa.hongereni sana.mungu awajalie watoto wenye busara kama ninyi.

    ReplyDelete
  34. TVZ KicartoonJuly 10, 2009

    Hii ndio harusi ya kweli siyo yale makanyaboya ya kujionesha ya michango ya kurudishana nyuma kimaendeleo na kesho yake mnaamka paka kalala jikoni, na haipiti muda mnasambaratika - talaka! hongereni sana ndugu zanguni, na Mwenyeezi Mungu inshaallah atawabariki katika kila jambo. Amina.

    ReplyDelete
  35. AnonymousJuly 10, 2009

    Sichoki kuangalia hii picha nimewapenda sana flower gals so innocent and well behaved in the pics, maisha halisi ya mtoto wa kitanzania.

    ReplyDelete
  36. AnonymousJuly 10, 2009

    hii ndoa ni ya kweli mungu amewachagua sio izi ndoa zetu sikuizi unakuta bi harusi mtambo labda na mimba juu,bwana harusi nae unakuta hana kazi na mahali wanapofanyia harusi utakuta kempsiki.

    ReplyDelete
  37. AnonymousJuly 10, 2009

    These pictures made me cry and appreciate life.you never see such moments these days.Everyone's life is equally precious.The lesson is,in every step of your life take time to be thankful for what you have.God bless Bwana na Bibi Harusi

    ReplyDelete
  38. AnonymousJuly 10, 2009

    Mkuu wa nanihii, umesema hapa ni ukweni. Ina maana Moshi kuna sehemu iko hivi vijijini? Au una maana ya sehemu nyingine. Maana wanasema eti Moshi kila sehemu ni kama Oysterbay. Nielimishe.

    Mdau # 2
    USA

    ReplyDelete
  39. AnonymousJuly 10, 2009

    kiatu cha bwana harusi si utani,yaani imependeza kwakweli! hakuna makuu!

    ReplyDelete
  40. AnonymousJuly 10, 2009

    Real Tanzania kwa kweli. Bibi harusi bado ana aibu. Lovely photos. Nawaombea neema kwenye maisha yao.

    ReplyDelete
  41. AnonymousJuly 10, 2009

    Mungu aibariki ndoa yenu siku zote.

    ReplyDelete
  42. AnonymousJuly 11, 2009

    nyee kwaaa!! wasimamizi wambele na
    sare zao kwanzia miguuni..mmm..hiyo ndiyo harusi ya upendo aina presha walanini ndoa yenu hidumu kabisaaa!

    ReplyDelete
  43. Mhe. mkuu wa nanii ya nanii...
    Kumbe watu wengi hawapendi mamichango, huwa wanatoa basi tu isiwe tabu wala nini....
    Na hawa maharusi ambao hawakuchangisha watu nawatakia maisha mema, marefu, yenye baraka tele na yasiyo na drama.

    ReplyDelete
  44. AnonymousJuly 11, 2009

    Inshaalah mungu ndio anajua na yeye ndio mtoa riziki, mungu atawajalia kila lililo la kheri na kuwaepusha na kila lililo na shari na atafanya wepesi kwenye kila jambo la kheri na maisha yenu kwa jumla msichoke kumuabudu na kumuomba alaah kwani yeye ndio mwenye kutoa rehema ndogo na kubwa, na kama hakukujalia hapa duniani basi utaenda ikuta ahela siku ya umul-kiyama.

    ReplyDelete
  45. AnonymousJuly 11, 2009

    MUNGU AWABARIKI SANA!

    ReplyDelete
  46. AnonymousJuly 11, 2009

    After looking at these photos, tears came into my eyes, I don't know why? God bless your marriage!

    ReplyDelete
  47. AnonymousJuly 11, 2009

    wow! what a reality check!
    Yaani mimi nimependa sana. Ya nini kuwa na makuu? Hamna cha michango wala nini, cha muhimu wamekipata(ndoa). MMUNGU azidi kuwabariki wapendwa...
    Nahisi asilimia 95% ya watanzania tupo kwenye ufukara...sasa sijui viongozi wetu wanafanya nini kutusaidia!

    ReplyDelete
  48. AnonymousJuly 11, 2009

    harusi hii ni stress free

    Yaani hamna cha michango na kukimbiza watu kuchangie

    Hamna cha credit card hapo kulipa mwisho wa sherehe,

    Labda pikipiki tu kulipa mafuta ya huyo mwendeshaji

    Ndio maana zinadumu hizi ndoa

    Yaani wako very purity.....Wakienda nyumbani ni kweli honeymoon...sio hizi honeymoon za kisasa......You know everything ahead of time...No surprises...

    ReplyDelete
  49. AnonymousJuly 11, 2009

    Hii poa sana ila Matron hilo shati kama Unifomu ya shule,Lakini mbona wamemwacha matroni atambee kwa miguu kuelekea Ukumbini jamani.

    ReplyDelete
  50. AnonymousJuly 11, 2009

    eeeee bwanaeeee wako chicha kinoma halafu nasikia imedhaminiwa na kijiji.
    cheers

    ReplyDelete
  51. AnonymousJuly 11, 2009

    naumwa tumbo kwa kucheka eeee uwiii jamani makubwa !!!

    ReplyDelete
  52. AnonymousJuly 11, 2009

    Harusi poa sana, wanajumuia wote wa michuzi tumezipenda sana picha zetu Mungu awajalie maisha marefu, Ndg Michuzi ninapendekeza utuwakilishie anwani zao ili tuweze kuwatumia zawadi za harusi jamani, au vipi wanablog? - kokoliko

    ReplyDelete
  53. AnonymousJuly 11, 2009

    every time I looked this pics am crying like a baby! i got marriege 5 years ago and cost us 19 milion tz shilings and after 3 year we were seperated! he is married to someone else now, and am single since looking after 2 children on my own. I wish if i can turn clock back, ikibahatika kama nitapata mme mwingine yaani harusi yetu in kikjijini halafu tutatembea kwa miguu toka kainisani halafu ukumbi ni nyuma ya nyumba mbege kwa sana!

    I love the wedding! thanx kmichuzi

    ReplyDelete
  54. AnonymousJuly 11, 2009

    Pamoja na kuwapongeza maharusi kwa harusi nzuri na kuwatakia maisha mema, ninampongeza Michuzi kwa kutuletea picha halisi za Kitanzania. Kwa miezi kadhaa ulikuwa unatuletea picha za diamond jubilee, ubungo plaza, mara ufukweni, sijui studio gani...Umetukumbusha kuwa Watanzania halisi!

    ReplyDelete
  55. AnonymousJuly 11, 2009

    hey! ka michuzi ebu waalike basi bongo waje wapunge kaupepo kidogo halafu ututumie pics kwenye mtandao wako! wapeleke beach nini! maeneo mazuri zuri kama zawadi yako vile kwao! yaani nimeziangalia hizi pics I know how many times! halafu usisahau kuwapeleka feryy ili wakirudi kwao wapeleke samaki home! am so happy ka michuzi you made my day!

    ReplyDelete
  56. AnonymousJuly 11, 2009

    Hapa michuzi UMEPIGA IKULU. Hizi ni BEST PICTURES OF ALL TIME toka blog ya jamii ianzishwe. Hawa jamaa tunaweza kuwapongeza vipi? hakuna hata namba ya simu tuwatumie SMS za pongezi. Waosha vinywa ukiona wamenyamaza, ujue hii ni ukweli.

    ReplyDelete
  57. AnonymousJuly 11, 2009

    Katika harusi zote nilizoziona kwenye picha ya michuzi,kwa kweli ni hii ndio niliyoipenda. ni simple lakini ndoa kama hizi ndio zinazodumu.Na huu ni mfano kwa msiooa,bora muige mfano kama huo.ndoa yenu itadumu,kuliko ndoa yenye mashagabagala.mwisho wake zinaishia kutafuta nyumba ndogo tu.

    ReplyDelete
  58. AnonymousJuly 11, 2009

    ...kwakweli...

    Mungu awalinde,awape watoto wakamilishe furaha,ata mkiwa wenyewe tu musihi maisha milele ya upendo..JAMAN I love this!!
    no suti wala nini,izo bakuli za watoto wapambe naona kuna maua ya kuwamwagia,

    HONEYMOON...KUNA ZINGA LA SURPRISE TOKA KWA PURE BI HARUSI...ni kweli annon siku izi ahead of time tu ovyooooo!!na bado mtamwagana tu

    aisee,asante

    ReplyDelete
  59. AnonymousJuly 11, 2009

    .... this is sooooo delicious! long live their marriage...

    ReplyDelete
  60. AnonymousJuly 11, 2009

    Duh! Karibu niangushe chozi kwa jinsi wahusika wote katika harusi hii walivyogusa moyo wangu.

    Mwenyezi Mungu awajalie maisha marefu, ndoa iliyojaa mapenzi ya kweli na ya dhati na mpate watoto wenye afya wa kike na wa kiume. God Bless You All.

    Ottawa, Canada

    ReplyDelete
  61. AnonymousJuly 11, 2009

    hahahahah!!!!!!!!!!!! uwi!!! mama wewe!!! tumbo mie linauma a!!!!hahaha ah hii imetulia kaka masupu mmimi sijawahi kutoa coment humu na sijawahi fikiria kutoa ila leo kweli umepeleka tz this is real i love sooooooooo much kama kuna award ningekupa
    thanks kwa hii picture maana imenipa something natural kunako kumoyo Godbless
    thanks again michu

    ReplyDelete
  62. AnonymousJuly 11, 2009

    NDOA HII IMEGHARIMU SH=10,000 ZA TANZANIA SAWA NA £5

    ReplyDelete
  63. AnonymousJuly 12, 2009

    ...True LOVE is NOT like an ICE!!...and true WEDDING is not like an EARTHQUAKE!!!...Harusi nyingi siku hizi ambazo za gharama kubwa(harafu mfukoni hamna hata kitu)huwa ni kama Global warming!!...ndo maana jamaa mmoja (bwana harusi) aliamua kumalizia nyumba yake kwa michango ya harusi..walimpo muuliza kulikoni?..akawajibu..atampeleka wapi bibi harusi wakati pesa(michango) anazo kwa ajili ya kumalizia kujenga makazi ya kuishi...Huyu jamaa ameikumbusha jamii yetu maisha ya mtanzania...na nini maana ya ndoa...aisee nime plani kufanya ndoa simple ya namna hii....nipo mbioni!!!VERY NICE WEDDING!!!!CONGRATULATIONS!!!!

    ReplyDelete
  64. AnonymousJuly 12, 2009

    Hongereni maharusi, mmependeza kweli. No complications.
    Mwaiyuka ge nakandi bojo.

    ReplyDelete
  65. AnonymousJuly 12, 2009

    Bwana Michuzi hii ni picha bora katika zote ulizowai kuweka kwenye blog yako. Hii ni kieelelezo cha mtanzania wa kweli na sio superficial. Wengi wetu tunapenda makubwa na kusahau tulikotoka. This is "True love". Naomba hii picha ipigiwe kura na iwe inaonywesha kwenye blog yako kutukumbusha what real life is, nasio kwenda level 8 au Roadway.

    ReplyDelete
  66. AnonymousJuly 12, 2009

    Michuzi weka hii iwe picha ya mwezi na aliyetuma apewe zawadi,mi Dereva wa hilo LIMO Tu kanimaliza hata viatu hana,Tuna taka tuma zawadi tunaweza tumaje zikawafikia hao maharusi.

    ReplyDelete
  67. AnonymousJuly 12, 2009

    michu uzuri harusi kama hizi nazifagilia zilikuwa hazina kusumbuana kudaiana michango


    michu kweli nimekuaminia wewe mtundu picha kama hizi nzuri sana hebu wape 5

    ReplyDelete
  68. AnonymousJuly 12, 2009

    kaka michuzi, hizi ndio picha tunazozitaka kuziona, sio kila siku picha za maholi yenu makubwa makubwa wakati mnategemea michango ya watu. Tunaomba anuani za hawa watu ili tutume zawadi zetu za harusi, tena naomba tafadhali ziwafikie walengwa. Hii nafikiri ilikwa Kizunguzi, Kilosa.

    ReplyDelete
  69. AnonymousJuly 12, 2009

    KAKA MICHUZI,
    MBONA HUJIBU MASWALI YA WADAU KUHUSU UPATIKANAJI WA MAHARUSI? TUNAHITAJI KUTOA PONGEZI PAMOJA NA ZAWADI. TAFADHALI SANA. HII NI WEDDING OF THE CENTURY NA SI BUSARA KUACHA IPITE TU BILA PONGEZI ZA DHATI KWA ELIZA NA GIBBONS.

    ReplyDelete
  70. AnonymousJuly 12, 2009

    oh yeah simple and elegant. Hongera

    ReplyDelete
  71. AnonymousJuly 13, 2009

    AHHHHHHHHH SO NATURAL , HONESTLY I LOVE THE IMAGES, COULD U TELL US THE LOCATION PLSE??? REALLY REMIND ME OF MAISHA FLANI HAPO TZ VIJIJINI SANYAJUU WAOOO..ALL IN ALL WISH THE COUPLE GOODLIFE AND PEACE IN THEIR NEW WORLD.BIG UP BWANA NA BIBI HARUSI NA WASIMAMIZI JE.. WOOOH

    ReplyDelete
  72. AnonymousJuly 13, 2009

    Kaka Michuzi nimesoma karibu comments zote sijaona iliyokejeli harusi hii,inamanisha kwamba binadamu tunapenda NATURAL THINGS ambayo ni kweli.
    Harusi imependeza na nina uhakika baraka zenu zitawafanya waishi milele.
    Ushauri wangu kwa Michuzi ni kwamba tumechoka na harusi za Diamond na picha na habari za watu walio huko Ulaya sasa tuwekee vitu halisi vya kitanzania kusudi tupata picha halisi ya Kitanzania.

    ReplyDelete
  73. AnonymousJuly 13, 2009

    MICHUZI MICHUZI MICHUZI

    hamuoni izi comments zetu???tunataka jibu mapema tutume zawadi binafsi ziwafikie wahusika kabisaa kwa majina yetu tukisani

    jibu basi utupe ayo mawasiliano

    VIPIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...