Mdau mkuu wa Libeneke na nanihii
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT "THE SMART CHOICE" Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Ila nawaomba tuweze kujieshimu kila mmoja wetu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya globu ya jamii, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoeleza vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.





 

Monday, July 20, 2009
mama salma kikwete ziarani shinyanga
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akimsabahi Bi.Amina Saidi na mwanaye mchanga Salma Saidi aliyejifungua kwa upasuaji katika hospitali ya Mkoa wa Shinyanga jana(jumatatu).Mama Kikwete alitoa vitanda viwili vya kujifungulia na seti moja ya vifaa maalumu vya kujifungulia.
Wanachama wa SACCOS ya SHIMSA mjini Shinyanga wakishangilia baada ya mke wa Rais Mama Salma Kikwete kutoa hundi ya mfano yenye thamani ya Shilingi Milioni Mbili na nusu kuisaidia SACCO hiyo.Fedha hizo zimetoka katika taasisi ya WAMA anayoingoza. Hafla ya Makabidhiano yalifanyika katika ukumbi wa CCM Mkoani Shinyanga.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa SHIMSA SACCOS ya mjini Shinyanga m,uda mfupi baada ya kuongea nao katika fisi zao mjini Shinyanga jana. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.


 
© Michuzi | Monday, July 20, 2009 | Permalink | Mtumie Rafiki Yako |


Maoni: 5


  • Tarehe Tue Jul 21, 03:15:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Hongereni wa mama wa Shinyanga, kwani mnang'ara yaonekana mambo si mabaya.

     
  • Tarehe Tue Jul 21, 10:46:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    watu wanaosema vitambi vitambi ooo chuzi punguza tumbo ebo hio ndo miili yetu ya kiafrika unaona mmama alivoshiba pale

     
  • Tarehe Tue Jul 21, 01:54:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Yah,heri mimi sijasema : 2Mama Kikwete= mama Nanihii

     
  • Tarehe Tue Jul 21, 03:01:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    miili minene ipo sehemu zote duniani,lakini ukweli ni kwamba sio afya na ni matatizo makubwa kifya,ila kwa kuwa jamii ya kiafrika imezoea kuishi maisha ya dhiki,hivyo wengi hupima halinzuri ya maisha kwa kuangalia unene wa mwili wake. lakini kusema ukweli na bila kumbeza mtu,huu ni ushauri wa bure tu, jitahidini kupunguza mafuta ni hatari sana kwa afya!!! na kama unapata nafasi ya kwenda gym ni bora pia kuushep mwili wako upendeze na uvutie. mambo ya 50/50/100 yalikuwa ya zamani wakati elimu ya afya ilikuwa haijafahamika vizuri kuhusu madhara ya unene.
    ni hayo tu,asanteni.

     
  • Tarehe Tue Jul 21, 08:17:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Kweli hawa wamama ni 4 bay 4 by waaaa!!!hongereni jamani kwa kujaliwa unene..mdau norway

     


Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker