In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

Mkutano wa kuanzisha jumuia ya watanzania katika Jimbo la Gauteng, Sauzi

Watanzania waishio katika Jimbo la Gauteng (Johannesburg na Pretoria) wanatarajia kufanya mkutano wa kuanzisha jumuia yao tarehe 22 mwezi wa Agosti 2009 jijini Johannesburg. Mkutano huu utatoa fursa ya kujadili mambo mbali mbali yatakayohusu jumuia hii pamoja na kuchagua viongozi wa kudumu.

Watanzania wanaoishi kwenye miji ya Johannesburg na Pretoria ambao wangependa kuwa wanachama na pia kushiriki kwenye uchaguzi wa uongozi wa jumuia wanakaribishwa kuwasiliana na wajumbe wafuatao kwa maelezo zaidi:
Brian Mshana b_mshana@yahoo.com
Laurean Rugambwa bwanakunu@gmail.com
Faustine Ndugulile drfaustinen@aol.com

Shukrani
KAMATI YA MAANDALIZI

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    wadau wa bonndeni

  2. Anonymous Anasema:

    Labda sasa hivi inaweza kuwa jumuiya ya ukweli maana tumeshafanya hiyo mikutano mara nyingi,na tumeshachagua viongozi mara kadhaa ila mwisho hatujui huwa inaishia wapi.Nakumbuka mwaka 2005 baada ya kumaliza kusafirisha mwili wa MTANZANIA mwenzetu kuelekea nyumbani kukawa na kikao na tukaambiwa ianzishwe jumuiya tukaandikishwa majina na picha mbili kwa kila aliyejiandikisha ili BALOZI ajue idadi ya wanachama na tukalipishwa R50 kwa kila mwanachama,hiyo ada ni kwa ajili ya kujiunga na jumuiya na tukaambiwa kila mwisho wa mwezi tutakuwa tunachangia R50 kwa kila mwanachama cha ajabu tulifanya hivyo kwa muda wa miezi mitatu tu baada ya hapo ikawa longolongo na hadi sasa anapokufa MTANZANIA tunachangishana sisi wenyewe kwa wenyewe nikimaanisha hakuna chochote kinachohusiana na jumuiya na hata uende UBALOZINI kuomba mchango(chochote)kwa ajili ya msiba wa Mtanzania mwenzetu watakuambia hawawezi kutoa chochote sababu hawana idadi ya waTANZANIA wanaoishi hapa anzisheni jumuiya ili ubalozi uwatambue na uwasaidie,hii ndio hali halisi.
    Ni mimi MDAU
    Johannesburg(Gauteng Province)

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker