Abramovich na picha ya pamoja na wadau mbali mbali Abramovich akiwa na watu mbalimbali wakiwa wamesimama huku wakielekezwa jambo
Abramovich akifunguliwa maji ya kunywa japo kukata kiu
Mmiliki wa CHELSEA FC ROMAN ABRAMOVICH (kulia) wakielekea kuukwea Mlima Kilimanjaro akiwa na baadhi ya wapambe,lakini kwa bahati mbaya Abramovich alishindwa kufika kileleni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Sasa yeye alishindwaje kufika kipindi nimpenda spot?au yeye niuongozi tuu wa fweza, hana hata spot kidogo? Nina swali wadau mnaofahamu vizuli huyu bwana tajiri ana mke na familia? au yupoyupo tu kama mzee mithupuuuz?samahani usinipige kichwa mithupppp.

    ReplyDelete
  2. kweli blog ya jamii ni F F U haitaki mchezo iko sharp sana kutupa data zote safi sana sasa huyo jamaa aliyekwenda kujisheua na mpira huko alifikiri jamaa angemmaindi amchukue?? haihusu kabsaaaa kichwani jamaa anawaza ataukabilije mlima ndoto zake za kupanda kili zitimie
    miss michuzi ukerewe

    ReplyDelete
  3. nipemda ukarimu wa huyo jamaa anayemfungulia chupa ya maji...safi sana....mambo madogo hufanya watu wajisikie vizuri....keep it that folks we ll get more of them next time....

    ReplyDelete
  4. The billionaire owner of Chelsea football club has had to face the reality that there are things beyond the reach of Russian oligarchs as he was carried to safety after experiencing breathing problems during a failed attempt to ascend the mountain in Tanzania last week.

    The 42-year-old invited a group of six friends to scale the 19,330ft summit of Africa’s highest mountain. They took with them no fewer than 113 porters to make sure they wanted for nothing. However, due perhaps to time constraints rather than arrogance, they failed to train properly to cope with the altitude.
    Source:
    http://www.timesonline.co.uk/tol/sport/football/premier_league/chelsea/article6832348.ece

    ReplyDelete
  5. Hapa sasa Tanzania inajitangaza, nafikiri hii ndio inayotakiwa kuliko kulalamika kuwa Kenya wanatuzidi ujanja. Natumai kwa kupitia watu kama hawa watakuja wengine na itakuwa manufaa ya uchumi wetu.

    ReplyDelete
  6. Anko Nanii, is it true Mpakanjia is no more??

    ReplyDelete
  7. mimi wamenikera sana hao OMBAOMBA wa moshi waliojifanya washabiki wa chelski eti wanataka kuongea na abramovich... nani aliwaambia abramo amekuja kuongea na ombaomba.. kweli chelski ina ombaomba wengi....

    XYZ

    ReplyDelete
  8. yaani mimi nimetoka kilmanjaro pale kabisa karibu na mlima lakini sijawai kuupanda mlima. du am planning my self to climb xmas during my holidays. am very proud of my village! shimboni wosoose

    mdau from UK

    ReplyDelete
  9. eti kaka michuzi mimi naishi hapa washington dc USA lakini kila kila raia wa marekani naye kutana naye anasema mlima kilimanjaro upo kenya,hivi hawa wakenya wamefanya nini kuhusu mlima wetu?

    ReplyDelete
  10. Haya Habari za Roman Abramovic kupanda Kilimanjaro zaweza kuwaleta mashabiki wa Chelsea wachezee pesa yao Tanzania kama Wizara ya Utalii, TANAPA, Tanzania Tourist Board, Travel Agents, Ubalozi wa Tanzania Uingereza n.k soma 'survey' hii chini:

    Chelsea fans emerged as England's richest - dwarfing City supporters' bank balances with a typical pay packet of £31,435 a year.

    They also live the life, with a set of wheels worth an average £17,000 and a house worth around £202,000.

    Second place in the Football Fan Rich List were Tottenham Hotspur supporters, followed by their arch-rivals at Arsenal.

    Fans of newly-promoted Burnley came bottom of the league.

    Splash
    A spokesman for football prediction game site BeatBarry.com, who commissioned the survey, said: "Manchester City followers need to up their game if they want to be in the same league as Chelsea fans.

    "They might have rich owners who can splash out their cash on the likes of Emmanuel Adebayor and Carlos Tevez - but they need to look after their pennies.

    "It's no surprise to see Chelsea up at the top, along with the other big London clubs.

    "They have a loyal fan base with supporters around the country and obviously have some money to spend. There does seem to be a north/south divide, with those nearer the Big Smoke having more money to treat themselves on cars, holidays and nights out."

    MANCHESTER City may be the richest club in the world - but their fans are among the poorest in Britain.
    Supporters of the mega-rich Eastlands outfit - who have shelled out nearly £100million in summer transfers - came a lowly third from bottom in a study to find Britain's wealthiest fans.

    Source:
    http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/features/2589466/Manchester-City-fans-are-among-the-poorest-in-Britain.html

    Mdau
    Jijini London.

    ReplyDelete
  11. huyo jamaa anaefungua maji sio jamaa tu ni pro. mountain guide

    ReplyDelete
  12. HAKUWEZA KUFIKA KILELENI MAANA ALIKUWA AMEFUNGA RAMADHANI HUYO MJAMAA.

    ReplyDelete
  13. ila ukialika watu kams hawa wasipitie JNIA( Dar international Airport) kuna wizi mkubwa

    ReplyDelete
  14. mdau wa uk kaniacha hoi na ki-english chake...
    kanumba wako hata ulaya eee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...