Mfalme Mswati III katika ngoma hiyo jana huko Mbabane
Kaka Michuzi,
nipo huku Swaziland na jana na leo tulikuwa tunashuhudia ngoma yenye mvuto wa kipekee kwa jamii ya Waswazi ya Reed Dance, ni tukio ambalo ufanyika kila mwaka mara moja katika kipindi kama hiki.
Ngoma hii inawahusisha wasichana wenye umri kuanzia miaka mitano mpaka 25, kipindi ambacho King Mswati upata fursa ya kupata mke mwengine. Kwa sasa ni mwaka wa tatu hajachagua mke wa kuona kutoka katika utaraibu wa kumpata kupitia ngoma hii,!
Kwa kweli Waswazi wanatumia kipindi hiki kama sehemu ya kupata mapato ya utalii kwa nchi yao kwani watu wa mataifa mbalimbali wamekuja hasa jamaa zetu kutoka China ndio wengi, Muhimu ninalojifunza kuwa hawa Wachina pamoja na kuja kama watalii lakini wamekwisha pata dili za kufanya kutokana na ngoma hii. naleta picha hizi chache nilipiga jana na za leo nitawatumia baadaye
Mdau wa muda hapa Swaziland
Mfalme Mswati III akiwasili ngomani
kila kona taswira ni za kihivi
wasichana hucheza na kuimba huku wakitegemea kuteuliwa na Mfalme
wasichana bikra toka kila pembge ya Uswazi hujitokeza ni ngoma kutwa nzima
furaha na vicheko
wavulana husindikiza dada zao








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 96 mpaka sasa

  1. Its called "the Reed Dance" or "Umhlanga".

    ReplyDelete
  2. Duh!

    Kaka lakini we si umefunga Ramadhani wewe lakini?

    Duh! Huku mwenzenu mi ningebaka, sio siri. Mweeeh!

    ReplyDelete
  3. Mkuu wa wilaya ya nani hii...,ashkumu si matusi hata kama huko kwao wanatembea vifua wazi hapa kwenye blog ya jamii ungewasitiri maana wanawake wa kiTz hatutembei vifua wazi! Tanguliza heshima mbele kama tai.

    ReplyDelete
  4. Ndugu Mkware: Kufunga is in the mind. Ukiamua no picture or visual of anything can make you deviate. kufunga about self control. Yani hata angekuwepo mbele yako- kama umeamua, umeamua.

    ReplyDelete
  5. kila dem anataka aolewe na fisadi mswati kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  6. Mkuu wa Wilaya ya nani hiii
    Astaghafirullah, wenzio tumefunga shekhe!!, ama ndio leo unafuturisha?????????

    ReplyDelete
  7. SISI WATANZANIA HATUNA UTAMADUNI HIVYO HUBAKI TUKIYOYOMA KUWA HALI HII SI UTAMADUNI WA MWAFRIKA! LAKINI CHA AJABU HAPAHAPA WAPO WATU MAISHA YAO YOTE HUKO VIJIJINI NI KAMA HAWA TUNAOWAONA KWENYE PICHA HIZI.

    ReplyDelete
  8. HAYA MAMBO YA KUVAA NGUO NA KUJIHISI TUU WATUPU YALIKUJA BAADA YA MWANADAMU KUKIUKA MASHARTI YA MUNGU JUU YA TUNDA LA MTI WA KATIKATI INAWEZEKANA NI MIKASI

    ReplyDelete
  9. Anadhalilisha akina mama nisimwone BONGo. Nao kwa nini wanakubaliana na hali hii.

    ReplyDelete
  10. Duh mimi naona sasa nitahamia uswazi watoto sio mchezo vitu natural hehehe

    ReplyDelete
  11. Hizi ni miongoni mwa culture za kipumbavu tulizobaki nazo waafrika,Kama Mfalme wewe ndiyo unatakiwa kutowa muongozo kwa jamii ili ipate kustaarabika,sasa wewe myenyewe umalaya pamoja na upenzi wa ngono unaushabikia,unategemea jamii itaokoka kweli?na huo ukimwi tutauepuka vipi kwa mwendo huu?amkeni nyinyi waswazi na uzembe wenu

    ReplyDelete
  12. Jamani huu ni udhalilishwaji wa wanawake. Si haki hivi hata kama ni tamaduni zao. Hawa wanawake wa huko hawajajua thamani yao na haki zao bado.

    Iweje mtu mmoja hata kama ni mfalme aoe wake wote hao je anawezaje kuwatimizia mahitaji ya kimwili kila mmoja?

    Hapo siondio kuambukizana magonjwa mbali mbali. Sababu nahakika hataweza kuwatimizia wote kila mmoja anapokuwa anahitaji kutumiziwa hamu yake ya kimwili.

    Huyu anawachezea chezea tuu ilimradi apate kitu kipya akiharibu halafu basi. Si vyema kabisaaaaaa.

    Analaana huyu. Ameshazoea kuvunja tu bikira za watu ajue kesho kwa Mungu ataenda kudaiwa.

    ReplyDelete
  13. Niutamaduni wetu,lakini mi naona unamzalilisha mwanamke,sijui wanawake na wao wanasemaje, lakini watasemaje wakati wanashiriki mashindano ya umiss, hayana tofauti na haya, ila kwasababu haya ni kutafuta mke wakati ya-umiss ni kutafuta pesa na umaarufu.

    ReplyDelete
  14. haki ya nani vile,nala kwa macho

    wal'ahiiii

    duh hii nchi hakuna rijali nini?amani amani kiivi kwa totozzz like this?

    yan najichanga lazima nizuke mwakani apo

    ReplyDelete
  15. Mbona wote ni weupe weupe tuuu hawa?

    ReplyDelete
  16. - kumbe ndo ngoma inavokwitwa? mmnh, 'umshanga' kweli!. Sasa sijui 'uchanga' wa vigori ama ni hizo 'shanga' za kiunoni!?..

    ReplyDelete
  17. Totoz nzuri sanaaaa,natural beauty kabisa
    Mdau birmingham, UK

    ReplyDelete
  18. ....Apes to Humans(Charles darwin)...just a glimpse of Evolution...halafu wakituita masokwe/nyani tuna lalama

    ReplyDelete
  19. mtalaam basi ishia hapohapo utaniua!! mara mojamoja michuzi huwa ananikumbuka na mie kwa kuniwekea kitoweo, lakini Hichi cha leo ni zaidi jamani. leo ni pajazzz na matitizzzzz!!! Pheeeeeeew lol!!! dunia hii!!
    ahsante sana mdau mungu akulinde na akuzidishie nguvu uweze kuongeza picha kama hizi hasa zile hothot.
    ila ni swali la muhimu. kwa mfano hii event ikinikuta nami nipo hapo, availability ya hizi totozzz inakuwaje?? are they reachable and downloadable?? au ndo hata nikipoteza pesa yangu kuja nitaishia kula kwa macho ka sasa hivi??
    Mdau wa Pajazzzzzz

    ReplyDelete
  20. Hivi kweli hao wote ni mabikra !!! MHH..Manake huku kwetu Bongo ukisema uite wasichana wote mabikra utapata wa kuanzia miaka 11 kushuka chini tu!!

    ReplyDelete
  21. michuzi unazikwaza swaumu zetu.astagh-fululhai.

    ReplyDelete
  22. Duh, Kama Soft porn Vile...

    ReplyDelete
  23. Kasheshe kweli kweli.... sasa mfalme anachagua mke kwa kuangalia matiti tu bila kuangalia makalio na k@#u%%$m#$$*&^u^%$au huwa anazijaribu kwanza akiona inafaa anamchukua? hebu tupe habari zaidi nanihiii.

    ReplyDelete
  24. Nipatie data za ukimwi hapo Swaziland tafadhali

    ReplyDelete
  25. Kaka michuzi hii kwa mtazamo wangu ni kama vile haikupaswa kurushwa ktk blog ya jamii, kama vile iko kinyume na utamaduni wa kitanzania!! Ni mtazamo tuu!!

    ReplyDelete
  26. Du! makubwa, maana madogo yana nafuu. sasa mtu anatembea hivyo then mwisho wa siku inakula kwa jirani. china hata la kuchema kwakweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  27. Du! naona hapo mikonoz hairuhusiwi, manake ingekuwa inaruhusiwa basi ingekuwa balaa na maembe dodo pamoja na matikiti maji hayo

    ReplyDelete
  28. DUH ME HAPA NIMESHALOWA ILE MBAYA NA RAMADHAN NIMESHAFUNGULIA HAPA,, MKUU WA NANIHII WEWE SI UMEFUNGA LKN..?????????????

    ReplyDelete
  29. Mi pia nakubali, wanawake tunadhalilishwa sana Swazi. Huku si kuvutia utalii ni kuvutia ukimwi jama, Mungu anusuru umma wetu.

    ReplyDelete
  30. mfalme mswati wewe ni polygamist number one hapa duniani you will go to the hell

    ReplyDelete
  31. MDAU WICHITA USASeptember 01, 2009

    JAMANI ANARUHUSIWA KUCHAGUA WANGAPI WADAU NISAIDIENI SABABU MIMI NINGESHIDWA NICHUKUE YUPI NIACHE YUPI.

    ReplyDelete
  32. Mmmm!! Hizi mila nyingine ni za ajabu. Kaka Michu, huko Uislam uko kweli??

    ReplyDelete
  33. Babu yake Mfalme Mswati jina lake Mfalme Sobhuza. Mswati alikatisha masomo yake Uingereza na kurithishwa ufalme akiwa na miaka 18 toka kwa Babu yake Mfalme Sobhuza.

    Pamoja na Mfalme Mswati kusomeshwa Uingereza bado anajali mila na utamaduni, cheki picha hizo. Chezi 'wazee' wa 'LIKOKO' walivyomzunguka na vikolomwezo kibao, hapo 'hakiharibiki kitu' jaribu kama 'hujabigwa jin...'

    Babu wa Mfalme Mswati, Marehemu Mfalme Sobhuza alioa mke toka kila wilaya (tarafa) ya Swaziland MUHIMU ikiwa kuleta UMOJA, sio Wilaya moja tu ijidai ndiyo iliyo karibu na Ufalme.

    Hivyo Huyu Mfalme Mswati anaendeleza UMOJA wa NCHI yake kwa kuwa SHEMEJI wa kila wilaya ya Swaziland.

    Pongezi kwa Mfalme Mswati kutimiza UMOJA wa NCHI kwa kuongeza MKE kila mwaka toka wilaya tofauti ktk nchi ya Swaziland.

    Mila na tamaduni hizi wa kuimarisha UDUGU nchi nzima lazima zithaminiwe na kuheshimiwa nia ikiwa ni UMOJA.

    Ahsanteni 'wazee' wa 'likoko' kumwonyesha njia Mfalme kijana Mswati.

    Mdau
    Kufakunoga Lodilofa.

    ReplyDelete
  34. Swaaaaaaaaaaafiii sana angalau na sisi tumepata kuona Miss Swazilanda siku zote mwatuletea mamiss wa kiulaya ulaya tuuu!

    ReplyDelete
  35. Utamaduni wa kitanzania ni upi? nielewesheni jamani kwa sababu tumesikia mara nyingi hapa hapa bloguni wadau wakitetea u-miss tanzania ambapo hutembea na vichupi jukwaani kwamba tunakwenda na wakati!!! kuna tofauti gani kati ya u-miss na hii ngoma ya mfalme? kwa maoni yangu Tanzania ni nchi mojawapo iliyochanganyikiwa, HAINA UTAMADUNI, kwa hiyo ninapendekeza tuige na hii ngoma. tuchague siku moja ambapo na mabinti kutoka vijijini watapata nafasi ya kuonyesha majaliwa yao badala ya ubaguzi unaofanywa sasa kupitia u-miss TZ.

    ReplyDelete
  36. Jamani wadau mnaosema ni kinyume na utamaduni wa mtanzania, ni upi huo? hivi kuna anayeweza kusema kuwa utamaduni wa mtanzania ni huu?

    Ni kipi kilichobaki kama cha kitanzania katika enzi hii ya utandawazi?

    halafu wale wanaomponda Mswati, mi nadhani kama ni kufata utamaduni wa nchi yao yeye ameonyesha njia. Kwa nini tulazimishe kufata utamaduni wa kimangaribi ambao unakinzana na utamaduni wetu?


    kwani lazima tuwaige? Bravo Mswati. Naungana na wadau ambao watafunga safari mwakani!

    ReplyDelete
  37. kaka kwa kuheshimu Ramadhani na kwa tabia zetu hapo bongo ungeweka waficho kidogo kwenye maziwa ya kina hao dada kwani hata nchi za nje pia wao uficha. Ramadhani karimu.

    ReplyDelete
  38. Nyie mnayojifanya mmestaarabika na kuona hao akina mama wanadhalilishwa basi ninyi ndo hamna ustaarabu na wala hamna utamanduni,nyote ni malimbukeni tu.
    Kuvaa kama maninja ndo ustaarabu kwenu!! au kuvaa vimini!!Hao wazungu wenu mnaowaiga ustaarabu wao mbona wao maziwa na nyeti zao njenje tu, mbona wanapiga picha za utupu na hata kucheza filamu za ngono ambazo ziko accessible kila sehemu!!
    Bora hawa wasutu wana utambulisho wao ambao ni unique na wanauenzi pia wanajivunia utamaduni wao.
    Nyie mlio mguu mmoja kwa waarbu na mwingine kwa wazungu mna nini chenu cha kujivunia??
    Acheni kudharau utamaduni wa wenzenu kwa kisingizio cha kudhalilishana!! mmeishawasikia wanawake wa huko wakilalamika kuwa wanadhalilishwa?????
    Kama kubaki nusu uchi au uchi ni kudhalilishana basi tungekuwa tunazaliwa tukiwa na nguo,Mungu angetuvisha hukohuko tungali matumboni.

    ReplyDelete
  39. Msijifanye kushangaa wsaziland wakati kuna watu nchini hapahapa wanatembea vifua wazi kuko vijijini.Tamaduni zetu zilianzia huko.Na kwa taarifa ni kuwa takwimu za ukimwi swazi ziko chini kuliko tz.kalagabao

    ReplyDelete
  40. huu ni unyanyasaji wa wanawake inabidi duniani kote tukemee hali hii, huyu mfalme anachofanya ni against human rights!

    ReplyDelete
  41. Huundo utamaduni wa kiafrica hasa na unapaswa kudumishwa?

    ReplyDelete
  42. Huyo mfalme ni mhuni tu miaka mitatu mizima bado anachagua tu au anapenda kuona wanawake wakiwa uchi tu?Wamchunguze asije akawa anawabeep baada ya dance halafu ajitia bado anachagua unless he is gay not to see all that beauty.

    ReplyDelete
  43. Huu ndo utamaduni halisi wa mwafrica na tuudumishe jamani. Hayo mambo ya wanawake kufunika matiti ni ya wazungu, wanawake wetu wa kiafrica siku zote walitembea na wanatembea vifua wazi. Ila kwa wabongo msiojua hata historia ya nchi na makabila yenu au hata hamja tembelea mikoani ni haki yenu kuwa wanafiki na kujifanya kuwa hamyajui mambo haya na wala hamjui kuwa ni utamaduni wetu wanawake wa kiafrika kutembea vifua wazi.

    Unafiki, tamaa na uwongo ndo msingi hasa wa kudumaa kwa maendeleo ya watanzania.

    Wakati mwingine tujaribu tu kuwa wakweli.

    ReplyDelete
  44. Nadhani mimi sitakiwi kuwa kwenye event kama hiyo!! siwezi kukatiziwa na matiti kama hivyo mbele yangu mie nitailetea aibu bure tanzania yangu. kwanza hata hiyo kamera nitaweza hata kuishika? si itakuwa ikidondokadondoka kila mara!!
    Mdau kwani Swaziland kesi ya ubakaji ni miaka mingapi jela??
    nisaidie tafadhari. ikiwa chini ya miaka mitatu basi mwakani nitakuja huko, lakini kama ni zaidi ya miaka mitatu kwakheli siji ng'o manake nasikia hao hawanaga misamaha kwa wafungwa wa ubakaji!!!
    mdau wa pajazzzzz

    ReplyDelete
  45. NILIFIKIRI HAWA WANAWAKE WANALAZIMISHWA KUOLEWA NA MFALME KUMBE WANAENDA KWENYE UCHAGUZI WENYEWE (WANAJIPELEKA).

    MSIMLAUMU MSWATI WALA WADADA HAO, SABABU SI NI UTAMADUNI?

    NASI TUNAO WETU NA HUWACHEFUA WENGINE!!!!

    ReplyDelete
  46. halafu ni mabikira, HAWAJAZINI hata siku moja.

    Nchi hiyo itakuwa ina tabia nzuri afrika nzima.

    ReplyDelete
  47. Hata mfalme SOLOMON alikuwa nao 1000 lakini akabarikiwa hakuitwa muhuni na ataenda paradiso.

    Uhuni wa mswati unakuja wapi? Yeye ni mfalme kama wengine, siyo kuwaenzi wafalme wa UK, Denmaki, na sijui wapi halafu mnawakandya waafrika.

    ReplyDelete
  48. Mwalimu Nyerere alipiga marufuku wanawake wa Tanganyika/Tanzania kutembea vifua wazi ingawa ni mila yetu! Napenda kuona watu wanaopenda mila yao! Asante!

    ReplyDelete
  49. zaidia ya asili mia 40 ya watu swaziland wana ukimwi.

    ReplyDelete
  50. Mila za kipuuzi hizi, zinatakiwa zipigwe marufuku.
    mimi kama mwanamke naona kama nikudhalilishwa.

    Unaolewa na libaba limejaa mtumbo na mwaka wa kesho linatafuta kigori mwingine.

    hey mapenzi ni ya watu wawili.

    ReplyDelete
  51. mimi naomba babu seya atembelee huko.

    ReplyDelete
  52. shame shame...mbona hao police wamevaa nguo...huu ni ufisadi uliokithiri duniani ....please united nations do something...haya mambo yakomeshwe...ukimwi unatumaliza

    ReplyDelete
  53. MMMMMMH MICHUZI WE SI UMEFUNGA MI NAONA HAIFAI KABISA KUWEKA HAWA WANAWAKE WALIO UCHI KTK BLOGU YAKO HATA KAMA KWAO NI SAWA , KAZI YAKO KUTUHABARISHA ILA JARIBU KUANGALIA BASI NA VYAKUWEKA.KWETU HAKUNA MILA POTOFU KAMA HIZI NA SIDHANI KAMA KUNA MWANAMKE AMBAYE ANGEPENDA KUONA PICHA HIZI,KAMA UMEWEKA HIZI BASI KESHO AKIJITOKEZA NA MWENGINE KAWEKA POZI MATITI WAZI UTATUWEKEA SIO,NDIO HIVI VITU VIPO LKN NI HUKO HUKO KWA MUSWAT,NA JE HAPO UNATAKA TUJIFUNZE NINI,TENA NYINGINE ZINAKUJA LAHAULA,SIINGIZI MAMBO YA UDINI HAPA ILA KAMA INGEKUWA KUACHA MATITI WAZI NI SAWA BASI WANAWAKE DUNIA NZIMA WANGEFANYA HIVYO,JIWEKEE KIPIMA JOTO MWENYEWE HII HABARI YAFAA KUKAA HUKU,WENGINE HAPA WASHAENDA NA MBALI KWA KUONA TU,SASA MANAKE NINI JAMANI,HAYA YA MUSWATI WENGI WANAYAJUA HAINA HAJA YA KUWEKA HUKU.NI MAONI YANGU TU NA SAMAHANI KAMA NIMEKUUDHI.

    ReplyDelete
  54. mdau hapo juu, wanasema "unapotaka kutoa kauli uwe mwangalifu, la sivyo 'utajichora"'..sasa longolongo kibaao 'likoko' sijuwi (inaandikwa na kutamkwa 'Liqoqo') kumbe hujui hata babaye Mswati ni nani?..kadurusu tena..

    ReplyDelete
  55. - hivi jamani mwajua kweli utamaduni wa hapa bongo, ama sababu wachina hawaji kufanya ziara..katafuteni na muone kitu kinaitwa mkole/mkoleni ama pia mwali kunema. muone kama kuna tafauti na hayo. utamaduni wa mwafrika haukuachana sana. wamkuta mama ananyonyesha kichanga mwenye basi/treni/katika kadamnasi, hata wasiwasi. chuchu ya mmagharibi haionekani hata kwenye kunyonyesha! sasa udhungu umetuingia, tunajitia eti 'nikienda uSwazi ntabaka!' kwa urijali gani? wakati kizazi chenyewe cha sasa angalia matangazo ya waganga ya mkuyati, chekwa kila mwahala! walume bwana walikuweko wakati huo akina Sobhuza..

    ReplyDelete
  56. Hivi ni nani hasa hapa Tanzania atasimama mbele ya halaiki ya watanzania na kuanza kutufundisha UTAMADUNI HASA WA KITANZANIA (kama upo), ama si hivyo, nadhani si busara kuponda utamaduni wa wenzetu hata kidogo. Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kutokuwa na utamaduni wake pekee (mtazamo wangu) zaidi ya kudandia utamaduni wa nchi za wenzetu. Mifano ni mingi sana mfano mdogo tu ni MISS TZ, MISS UTALII n.k. Tafadhalini sana tusije onekana tuliokosa hekima katika matamshi yetu maana sisi hatuna utamaduni wenzangu!

    dennisjoram@gmail.com

    ReplyDelete
  57. Kaka Michuzi!!!! Kwanza Ongera kwa hili! mimi nimekaa Swazi kwa miaka 10 sasa hawa jamaaa wapo juu kwa utamaduni wao kwetu sisi ni longolongo hakuna utamaduni wa mtanzania!~ NAOMBA UMWOMBE MDAU HUYO ATUPE MAMBO ZAIDI YA (REED DANCE) NAJUA ANAYO MENGI ILI TUJIFUNZE KUTOKA KWA WENZETU! BIG UP SAAAANA!!!MANAKE SI TUMESHINDWA TUMEBAKI KUWACHEKA WAMASAAAAAAI!

    ReplyDelete
  58. WABONGO MKIONA ISSUE KAMA HIZI COMMENTS KIBAO....ILA SIYO SIRI HAPO PATAMU..
    NITAMANI NINGELIKUWEPO WANGELINIKOMA WASWAZI.....
    HAYA JAMANI UKIMWI HAUNA TIBA NAOMBA MSISAHAU.............................
    MDAU WA KAMACHUMU

    ReplyDelete
  59. dah raha sana hiyo nchi kwanza kuna vitotoz vizuri kweli mashallah natamani ndio mie ningekuwa mfalme mana ningeweka kila week hiyo ngoma na kuchagua kitotoz kimoja na kuingia nacho mitini big up mdau aliyeleta picha hiyo na mfalme mswati tatizo linakuja pale kuwaridhisha kimapenzi na hawa wasichana wa huko wanapenda wenyewe kuolewa na mfalme ndio maana wamejitokeza kwa wengi naona mfalme akiondoka na mmoja na washkaji nao wanaondoka na anayemchagua dah raha sana
    Mdau Fataki Wa Kariakoo

    ReplyDelete
  60. There are three reasons for breast-feeding: the milk is always at the right temperature; the cat can't get it and it comes in attractive containers.” - Irena Chalmers

    ReplyDelete
  61. MZEE NANIHII,
    MIMI NILIPOONA HII MAMBO NILISTUKA NIKAJUA NIMESHATUMBUKIA KWENYE ILE MTANDAO YA ZEUTAMU KWA MAKOSA.

    KUMBE NI BLOGI LETU LA JAMII LIMEPANDA CHATI?

    ReplyDelete
  62. Bongo tuna tamaduni kibao. Kutotana na kuwa na makabila mengi. Watu wengene wanadhani umasai ni utamaduni wa kibongo. Ukweli ni kwamba hakuna tamaduni moja ya kitanzania. Tunayo makabila wanawake Wanaacha nyonyo nje vilevile. Utakuta nyoyo zimeninginia mpaka tumboni lakini dada Hana noma na mtu, na hakuna anayembaka kwa sababu ni mila watu kwenye Hilo Kabila washazoea hii Hali. Kama siyo mila yako utaona huu ni unyanyasaji lakini kama unayemwona ananyanyaswa yeye haoni hivyo unajisumbua tu. Kweli waswati wamebarikiwa kwanini wazifiche hizo baraka!

    ReplyDelete
  63. TUTUMIE PICHA ZAIDI KAKA.....

    ReplyDelete
  64. Nyie wadau mnaosema utamaduni huu wa Waswat ni uzalilishaji wa wanawake, mmekosa ya kusema, Kuna aliekwisha ona ngoma ya Wamakonde wakitoa wali wao toka unyagoni? vifua wazi na mwali anaweza akapata mchumba hapo hapo! Huo ni utamaduni, acheni waswazi wajidai wenyewe wanapenda nyie mwakerekwa nini? Wivi huwo!

    ReplyDelete
  65. watoto wa huko wakalimu kinoma

    ReplyDelete
  66. KAKA MICHUZI KWELI WEWE NI INTERNATIONAL

    ReplyDelete
  67. This is bullshit, as a king he needs to be doing something better than that.Funny enough he is a good friend of J.K. I don't know what they be talking about.....just curious as always!
    Mpiga boksiiiz mwandamizi.

    ReplyDelete
  68. nyinyi mnaopiga kelele humu ndani ati ni kudhalilisha wanawake kwani wameshikiwa bunduki? nyie hamuoni wana raha zao ile mbaya hiyo ngoma ni nzuri saana ambaye anakwazika asiangalie katu acheni ushambenga kwa raha zao utasikia mara ooh waafrika tusiige tamaduni za kimagharibi na huo je ni wa kimashariki? acheni hizo wazungu hao hao ndo wameleta nguo leo mnajidai mnajua kuliko wao enzi za akina kinta kunte mambo si yalikuwa mtindo huu? hii mila ndo yenye nguvu afrika IDUMUUUUUUUUUU nyoyo out oyeeeeeeee

    ReplyDelete
  69. Michuzi kama wewe ndiyo umeweka/kuruhusu hizo picha kwenye mtandao, Tubu toba ya kweli na umrejee mola wako kwa makosa uliyofanya hasa ktk kipindi hiki cha Ramadhani kama ulikuwa hujui kufanya hivyo ni makosa na kama inawezekana uzitoe kwenye mtandao picha hizo.

    Wakati wengine watakuwa wakipata thawabu zinazoendelea kulingana na mema wanayoyafanya wewe utakuwa unapata madhambi yanayoendelea kutokana na kila dhambi itakayofanywa na mtu yeyote kwa sababu ya kuona picha "ulizowaonyesha".

    Uwe makini na maoni yanayotolewa, utaelewa tu kwa anayeshabikia uzinzi na anayemuogopa Mwenyezimungu utaelewa tu ukisoma maoni yake, kumbuka duniani wote tunapita na kuna ambao wakionywa wanaonyeka na kuna ambao nyoyo zao zimeshapigwa mihuri ya Jehanamu ni sawa kwao "uwaonye au usiwaonye" je wewe uko kundi lipi??? Ujumbe umefika na kila mmoja atawajibika kwa matendo na kauli zake.

    Salaam Aleykum!!

    ReplyDelete
  70. Jamani mi naomba kuuliza kuhusu hii picha ya mwisho, naona kuna watoto hao wawili hivi wanajua hata nini maana ya kuolewa? au wamesindikiza dada zao? Maana sitaki kuamini kama wao pia ni miongoni mwa waliokuja kuchaguliwa ili waolewe na mfalme? Du! kweli hii kali. Hivi kweli si atakuwa anakutana nae the first time tu then anaishia kwenye mizunguko ya wake wengine mpaka mwaka unafika wa kuchagua mke mwingine?

    ReplyDelete
  71. Hivi ni nani hasa hapa Tanzania atasimama mbele ya halaiki ya watanzania na kuanza kutufundisha UTAMADUNI HASA WA KITANZANIA (kama upo), ama si hivyo, nadhani si busara kuponda utamaduni wa wenzetu hata kidogo. Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kutokuwa na utamaduni wake pekee (mtazamo wangu) zaidi ya kudandia utamaduni wa nchi za wenzetu. Mifano ni mingi sana mfano mdogo tu ni MISS TZ, MISS UTALII n.k. Tafadhalini sana tusije onekana tuliokosa hekima katika matamshi yetu maana sisi hatuna utamaduni wenzangu!

    dennisjoram@gmail.com

    ReplyDelete
  72. Basi huko ikiwa mfalme anaoa wake wengi hivyo basi ujue pia watu wengine wanawake zaidi ya tano.

    Ndio maana maambukizi ya Ukimwi katka nchi hiyo yanashika kasi. Katika nchi za Afrika Nchi hii pia ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa Ukwimwi.

    ReplyDelete
  73. Kaka Michuzi mimi swali langu nalielekeza kwako na pia kama hujui ningeomba ufanye utafiti kuhusu hili.

    Mfalme huyu anaoa wake wote hao. Je baada ya kukutana nae kimwili mara ya kwanza na kuondoa huo udogo wake je anaweza pata chance yakukutana nae tena kimwili?

    Sababu wake ni wengi au akisha pata kipya ndio hao wengine anawasamehe hakutani nao tena?

    Na jee kama anaweza kukutana nao wote huyu ananguvu za aina gani, ni wa kawaida au anatumia dawa?

    Na huyu mfalme anawatoto na hao wake zake wote? Anawatoto wangapi?

    Nakuuliza sababu nahisi kama hawezi kuwatimizia vile!!! Labda tuseme akifanya kila siku mmoja mmoja hadi kufika mwisho ni siku kumi na tatu. Je huyu wa kwanza siatakuwa keshapata hamu siku nyingi ya kufanya tendo la ndoa?

    Je huyu mwanamke anajikwamuaje katika kukidhiwa haja yake?

    Hawa wanawake hawatoki kweli nje ya ndoa!!!??? Au kwao kutoka nje ya ndoa ni poa tuu kama zile tamaduni zetu za zamani za Wambulu na Wamasai??

    ReplyDelete
  74. Dah! hakuna news zilizonoga kama hizi! Hivi bro Issa unafanyaga uchunguzi kuchunguza ktka News zako ni ipi iliyopata watoa maoni wengi zaidi? Sababu nahisi hii imetia fora.

    Yani nikifungua tuu nakimbilia kuosoma maoni.

    ReplyDelete
  75. CHA AJABU NI NINI HAPO? INAMAANA UKIMUONA MAMA YAKO AU DADA YAKO MATITI WAZI UTAMTAMANI?

    UDHAIFU WENU WA MIOYONI NDO ITAWAFANYA MFUNGULIE KWA KUONA PICHA HIZO.
    MI MUISLAMU MBONA SINA MATAMANIO YOYOTE? KUFUNGA KUKO MOYONI NA KICHWANI KWAKO. ACHENI UDHAIFU,

    ReplyDelete
  76. duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh! ebwana hyo kali hasa! da`JANE hapo juu umeambiwa its4rm miaka m5, yan cant emagine hao watoto kama wakichaguliwa how watamhandle mweshimiwa,

    ReplyDelete
  77. We anon Wed Sep 02, 09:41:00 AM........Tutajuaje labda wewe sio rijali. Mwanaume aliyekamilika uanaume lazima asisimke japo. Na pia ikichangiwa Watanzania wengi hawajazoea kukaa hivyo wazi, uchi zao ni maziwa, makalio na nanihii na ndio maana wanaume wanapoona maziwa ya mwanamke wanapenda kushika, na hata kunyonya then eti wewe unasema husisimki. Hehe heeee hebu kapime ujitizame kama mzima.....

    ReplyDelete
  78. Aisiiiiiiii yani natamani kama wangekuja bogo na hayo mavazi yao. Airport nahisi asingembandua mtu. Yani ingekuwa full kunogaaa. Kama napata taswira vile ya siku hiyo!!!

    ReplyDelete
  79. KAMA WADADA WOTE HAO NI BIKRA... hyo tamaduni iendelee tuu coz pia huafanya wadada kujichunga sana na kufaidisha wanaume ambao watoa wale ambao hawajawa chaguo la mweshimiwa,,
    au mnaonaje wadau wakiume jaman?????????????????

    ReplyDelete
  80. NI asubuhi nyingine tena naamka nafungua michuzi blog nione kilichojili. naamua kabla ya yote kwanza nirush kwenye zile picha chokozi za watoto watupu wa kiswaziland ili nipate kifungua kinywa. moja kwa moja nakimbilia kwenye ile picha ya mwisho kabisa ambapo kuna huyu mtoto mbichi mwenye matiti yanayonifanya nihisi harufu ya damu kila niyaangaliapo. pembeni yake nakiona kidume kimesimama kinacheka tena kinaangalia pembeni naamua kuachana nacho kwa mana nahisi pengine uume wake hausimami au labda kimelaaniwa.
    nayaangalia tena haya matiti naangalia mapaja napandisha tena juu kwenye matiti duh!! hatimaye nafikia conclusion moja stahili kabisa "NADHANI HATA DADA YANGU AKINIKALIA HIVI TENA CHUMBANI MI KWA KWELI NABAKA POTELEA MBALI!!!"

    ReplyDelete
  81. tunashukuru kaka michuzi kutupatia yale yanayotekea duniani haya ilitakiwa tuwe tunayafahamu toka long time ili tulikosa wataalamu kama wewe wa kutuweka hewani na mambo kama haya kaza buti mkuu bye

    ReplyDelete
  82. wewe kama una pepo la uzinzi utazini tu hata bila ya kuwaona waswazi big bro michuzi

    ReplyDelete
  83. kwani kufunga ramadhani kuna uhusiano gani na picha za mfalme mswazi?au mnataka kila mtu ajue kuwa mmefunga,kufunga ni siri ya moyoni wewe na mungu wako ok

    ReplyDelete
  84. jamani twende mbele turudi na nyuma hivi hiyo picha ya nne huyo binti ni bikira kweli huyo?? mh labda kama amekamulia ndimu kutighten!! matiti hayo yashanyonywa sana hayo hata kama si na watoto basi na midume!!! sasa hapo ndo ushangae dume likalie kunyonya matiti tu bila kushuka chini!!! hiyo haiwezekani baada ya kufaidi mwisho lazima ushuke chini. hamna bikira hapo tunadanganyana.

    ReplyDelete
  85. mfalme mswazi huku ulaya na marekani kuoa mke wa pili tu ni kosa la jinai unakwenda jela sasa wewe hao wake 15 sijui wangekufunga jela maisha uzuri huku mfano uk hakuna adhabu ya death

    ReplyDelete
  86. safi sana kaka michuzi kutupatia mambo ya hapa duniani ili tuwe tunajua kila kona ya dunia matukio current big up yalushe tu yakipatikana

    ReplyDelete
  87. chonde chonde mliofunga ramadhani haya ni mambo ya kawaida tu tena ni vitu vidogo sana kwa mtu mwenye imani ya rohoni

    ReplyDelete
  88. mfalme mswati hiyo ni abuse kwa wanawake amnest international au human right watch wako wapi?

    ReplyDelete
  89. halow bora kuhamia huko uswazi hii ni noma kabisa

    ReplyDelete
  90. Wenye red feathers kichwani ni girls from the royal family..msichana mwenye filimbi ni Princess Sikhanyiso mtoto wa kwanza wa King Mswati na Inkhosikati LaMbikiza..she is the chief maiden kuwaongoza the rest of the girls kwa dance..usually wasichana wenye 'long necks' ndo huchaguliwa as the king's fiancee so that akivaa zile shanga when breastfeeding ikae vizuri..akiwa pregnant then anakuwa a wife

    ReplyDelete
  91. With an estimated adult prevalence of 25.9 percent, based on recent data from the 2006–2007 Demographic and Health Survey, Swaziland has the world’s most severe HIV/AIDS epidemic, which poses a serious challenge to the country’s economic development. Results from this population-based survey represent improved accuracy of HIV/AIDS estimates and indicate a lower national prevalence rate than the 33.4 percent previously reported in the 2006 UNAIDS Report on the Global AIDS Epidemic. Since the country’s first AIDS case was reported in 1986, the epidemic has spread relentlessly in all parts of Swaziland. From 1992 to 2004, prevalence among pregnant women attending antenatal clinics rose from 3.9 percent to 42.6 percent, according to Swaziland’s 2005 report to UNGASS. According to UNAIDS, in 2005, women aged 15 to 24 attending antenatal clinics had an HIV prevalence of 39 percent nationally and 43 percent in Manzini. UNAIDS also estimates that approximately 220,000 people in Swaziland are HIV positive, including 15,000 children under age 15.

    ReplyDelete
  92. UNCLE HEEE! hongera saaana ! tuletee mambo zaidi ili tuwajue wakinani wakiona kwa picha wanachemsha ili wapate upakoo! hiyo mambo ni safi sana tujifunze kwa wenzetu tuache ushambenga!!1 kaka michuzi omba picha zaidi tujifunze ya ukweli!!!!!!!!

    ReplyDelete
  93. Kuuliza sio ujinga:

    Balozi Michuzi, kama umefunga na unapata picha hizi na kuzitundika baada ya kupiga chabo ya nguvu, Je bado thaumu unayo?

    ReplyDelete
  94. ndiyo saumu anakuwa nayo na jioni anafuturu we ulitakaje?? mbona uliona raha kuziangalia na kutuma comment??? unafiki mwingine bla bla bla bla bla bla kwa hiyo mfungo ukiisha ndo mnaruhusiwa kuangalia??? si bado ni dhambi??

    ReplyDelete
  95. bado zipo??

    asante

    ReplyDelete
  96. Mambo gani sasa,,ata kama ni tamaduni sasa tunahitaji kubadilika bwana,,,wanawake wengi wa nini???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...