Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. AAHHH!!! saleleh, ehe tunaweza fanya hivi Tanzania, bomba sana. but if you put he is number, ndio umewapatia contact ya kumpata.

    sidhani hii ndio Dawa, hata kidogo. jitahidi kuomba Mungu ambadilishe na kumfanyiacancelling.

    mimi wangu tumeachana nimfanyie tangazo nini arudi!! duu!!

    ReplyDelete
  2. Duh...! hii kazi kwelikweli...!!!

    ReplyDelete
  3. Duh hii safi sanaaaaa!

    ReplyDelete
  4. Hahahaha huku sasa jamani tunaenda Mbali huku kuzalilishana jamaniiiiiiiii kwakwakwakwa. Noma jamani ila Kafanya vizuri kidini.

    ReplyDelete
  5. HE HE HE HE HE! MAMA NANAII NIKIMWONA MIE NAMWITIA MGAMBO WAMKAMATE TUMSAFIRISHE HADI KWAKO WE TULIA KILIO CHAKO KIMETUFIKIA WADAU TUTAKUSAIDIA KIFAA KIRUDI. HAPA NILIPO NIMEISHAKAGUA HAYUPO BAADAE NTAPITAPITA POSTA JIONI NIMWANGALIE KAMA YUPO.

    ReplyDelete
  6. POLE MAMA HUYO SI WAKO TENA MTU HATAFUTWI KAMA MBUZI ALIYEPOTEA. TENA KUTOA NO. YA SIMU NDIO UMEHARIBU KABISAAAAAAAAAAAA!!!!!

    ReplyDelete
  7. ...wamama wa soko...na wa njiani na maofisini je?

    ReplyDelete
  8. hahhaaaaa!!!! Kenya kumekucha wajemeni!! nimeipenda sana style hii na hongera sasa mama, na hii ndo dawa ya wanaume WAKWARE.

    Mangi wa K'koo

    ReplyDelete
  9. SIDANGANYIIIIIIIKI

    ReplyDelete
  10. ha ha haaaa uuuuwiii hii kubwa kuliko kaniacha hoi ati ukimuona akidanganya twiritu huku kwetu vident! mahokaaaa we mama mbavu zangu ha ha haaaaaa

    ReplyDelete
  11. You go girl! Ila jamaa anaelekea ni lost cause! Mfano wa kuigwa kabisa!

    ReplyDelete
  12. hahhahha hi imtulia ati wamama wa soko na twiritu!hahah sasa si ataona hata aibu kucomeback jamani mama wanjiru!ila imetulia!

    ReplyDelete
  13. nawashauri angalau mjaribu koka nje ya afrika na kutembea kidogo muonemjamii nyingine zinavyoishi hii inapanua uwezo wa kufikiri na kutenda angalau kwa kiasi.
    maana frika karibia kote tabia zinafanana,yaani mambo ya hovyohovyo tu!sasa hii ndiyo nini?mara nyingi ukikutana na mtu aliyeishi nje ya afrika kwa muda kiasi utagundua tu tofauti hata kama sio kubwa ila itakuwepo tu,na unaweza kudhani labda anajifanya time kubwa kumbe sivyo bali ana mtizamo tofauti na mtizamo unaofikiria wewe.
    ni kazi sana kuendelea kwa style hii.sio kwamba mabara mengine hakuna vituko au wao ni malaika lakini vituko vya kwetu vimezidi. mara utasikia mzambia kamvimbisha mwenzie nanihii hadi ikawa size kama paja hadi kafa,mara utasikia malawi mume anamloga wife nyeti zake zinapotea wife anashitaki mahakamani,mara leo mkenya anaweka tangazo la kumdhibiti mumewe asitongoze wanawake nje ya ndoa,mara mgana kafanya kile,mara mnaijeria kaibia watu kwa mazingaombwe,mara tanzania wanawinda albino wakafanyie kafara za utajiri!ilimradi vituko tu!
    duh!mungu tunusuru.

    ReplyDelete
  14. looh kaka umepatikana kweli kweli pole weeee!!

    Kwanini mkewe asimfunge GPS tu kwenye nanilii ajue moja imekwenda wapi??

    ReplyDelete
  15. THIS IS ON TOP OF IT ALL...WOOOOW!! GOOD FOR YOUR GIRL, BUT WHY DONT YOU JUST MOVE ON WITH OTHER MAN AS WELL, HE SEEMS LIKE "KIPANYA"!!!HAHAHAH AND PANYA HAFUGIKI MWANANGU WEWE ACHANA NAYE NA UANZE MBELE HARAKAAAA!! GOOD LUCK WITH THIS KIPANYA!!!

    ReplyDelete
  16. AAH FATAKI! WEWE INAPENDA SANA KUDANGANYA HII KITU YA SKULI(gals)ONA SASA BIBI YAKO INAKUTANGAZA.

    ReplyDelete
  17. KINACHONISIKITISHA NI BAADHI YA WATU KUTOKUWA NA UELEWA WA KUTOSHA NA KUTOA USHAURI TOFAUTI NA MADA YENYEWE,HUYU MAMA HAYATANGAZA KUWA AMEPOTELEWA NA MUME WAKE, SASA IWEJE WATU WANAMSHAURI KWAMBA AACHANE NAE KWANI HATARUDI ATAFUTE MWINGINE.WATU KAMA HAWA NADHANI WANA HISTORIA NZURI YA KUFELI MITIHANI.NILIVYOELEWA MIMI NA BAADHI YA WATOA MAONI NI KWAMBA MAMA HUYU KATOA TANGAZO LA KUMDHIBITI MUME WAKE,HAKUNA MAHALI KASEMA KUWA NI MKWARE AU KAKIMBIA,SASA WATU WAMEONGEZEA FIKRA ZAO.INAWEZEKANA HUYU MAMA KACHUKUA TAHADHARI TU BILA KUJALI TABIA YA MUME WAKE IKOJE, MAANA KINGA NI BORA KULIKO TIBA.HIVYO NASHAURI KUWA MAKINI KABLA YA KUKURUPUKA NA KUTOA MAONI AU USHAURI

    ReplyDelete
  18. Kama anachezanga huko basi hapa ndiyo kiboko yake mazee!!! (Kayayi)

    ReplyDelete
  19. Sasa huyo bwana stanley mwenyewe anaonekana kama amezaliwa mwaka 1985 itakuwaje awe amefunga ndoa 1982 au babu yake alimuolea?? Wanjiku hebu tujibu

    ReplyDelete
  20. we annon hapo juu acha kujifanya unajua sheria huyo bwana ni kiwembe tu full stop huwezi tu kukurupuka na kuweka picha ya husband wako gazetini ati tahadhari nyooo huyo kashindikana wewe ndo wale watu wa mwisho kung'amua jambo utomaso huwa unaponzaga sana samtaim na pia ujue hii si blog ya mahakama watu wawe serious saa zote hii ni blog ya jamii watu wanapenda sana kuandika utani humu ndani ambapo wakati wa kusoma mtu unajichekea tuu na computer kama mimi nikiingiaga humu ndani kama sina apetaiti ya kucheka nitachekaa tu punguza jazba

    ReplyDelete
  21. Hii ni kali kweli,lakini itasaidia?

    ReplyDelete
  22. Ngoja na mimi nika apply style hii hii, kwa hubby wangu,maana hana pete kidoleni,lakini kutoa namba ya simu,mmh hapo itakuwa ngumu! maana ndo umewaalika hata wasiokuwa na mawazo ya unanguyembe.

    ReplyDelete
  23. HIYO KALI, LAKINI SI DAWA, WASICHANA WA SIKU HIZI NDO KWANZA UMEWATUMA KUMSARANDIA MUMEO. POLE DADA BUT JITAHIDI KUMUOMBA MUNGU WAKO ILI AWE KAMA UTAKAVYO, KWA NGUVU ZA MUNGU KILA KITU KINAWEZEKANA.BE BLESSED DEAR!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  24. hahahahaaaaaaa saf sana lakin sura yake inaonekena mjanjamjanja

    ReplyDelete
  25. Hiyo number listed ni ya huyo mwanamke wake sio ya Jamaa. Get it Pipo???? lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...