Yeeees! dogo wauswazi nazidi kukupenda! mbona machozi umeyaweka madogo madogo mpaka hayaonekani vizuri mwanangu? ungeweka na box la tissue hapo pembeni,, ha ha ha,,,
ahsante dogo wa uswazi kwa snepu mwafaka, lakini naona umechemsha kidogo, mara ingine usirudie kosa kama hili. Hakuna SIMBA mwenye rangi ya majivu bwana, Simba rangi yake ni NYEKUNDU KWA NYEUPE. Hilo tu ndio doa, otherwise AHSANTE MKUU
Dogo wa uswazi alifanya utabiri nini. Mbona ghafla kikatuni tayari?
Yeeees!
dogo wauswazi nazidi kukupenda! mbona machozi umeyaweka madogo madogo mpaka hayaonekani vizuri mwanangu? ungeweka na box la tissue hapo pembeni,, ha ha ha,,,
ahsante dogo wa uswazi kwa snepu mwafaka, lakini naona umechemsha kidogo, mara ingine usirudie kosa kama hili.
Hakuna SIMBA mwenye rangi ya majivu bwana, Simba rangi yake ni NYEKUNDU KWA NYEUPE.
Hilo tu ndio doa, otherwise AHSANTE MKUU