In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

simba inaongoza 1-0

Ni baada ya mapumziko sasa na bado Simba inawaongoza yanga goli lililofungwa na mshambuliaji Mussa Hassan Mgosi katika dakika ya 26 ya kipindi cha kwanza.
Mgosi aliunganisha majalo moja bomba sana ya dan mrwanda ambaye aliwazuga mabeki wa yanga na kutoa pande. hata hivyo dan mrwanda alitolewa kwa kadi ya njano ya kuchupa ndani ya 18 akisaka penati. refa oden mbaga akamchapa nyekundu
picha na habari zaidi vyaja punde

Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Jangwani kama kawaida yao na mbeleko. Kwanza TFF wamewafungulia wachezaji wao wenye utovu wa nidhamu. Halafu refa kampiga mtu kadi nyekundu kwa kupiga krosi iliyozaa bao. Shida ya mbeleko haivuki mipaka ya nchi!

  2. Anonymous Anasema:

    si mbaya mrwanda keshamaliza kazi yake.
    mambo yatakuwa safi tu.
    watani leo mnatakiwa kuwa wapole sana maana hii ni ngoma nzito mwaka huu, simba imekamilika.

  3. Anonymous Anasema:

    Mungu Mkubwa, Inshallah leo Simba mtakula kipunga cha magadi--- Nasi watoto wa Mburahati "Wembe hule hule, Yanga Imara" tutaimba kwa furaha. Yanga jamani zima makelele mtaani wa kuku tetele simba! Hii ndiyo sala yangu leo

  4. Anonymous Anasema:

    Bro Michu, post hilo libeneke chapuchapu manake sisi huku mashariki ya mbali hatujalala mpaka kieleweke. Presha inapanda na inasuka taratiibu, red card(s) hiyo (hizo) isijekuwa ni kupigana tafu kama walivyosema ndugu zangu hapo. Mwaka huu, aah... mwendo mdundo.

  5. Anonymous Anasema:

    mwaka huu jangwani kazi tunayo,mi naona hawa makocha wote tuwafukuze tu na timu apewe Ken Mkapa na Sekilojo Chambua,huu ni ujinga!

  6. Anonymous Anasema:

    Hii habari mbona imekaa kushoto,
    Simba wamepata goli dk 26 kwa kross ya Dan Mrwanda na mrwanda alitolewa ya DK YA 18? kwa kadi ya njano?

  7. Anonymous Anasema:

    MHHHH.MWAKA HUU SIMBA IKO JUU KI UKWELI.WAONYESHE PIA MAKALI KWENYE KOMBE LA AFRIKA.KAKA MICHUZI OMBI.ITAPENDEZA KAMA UKIWA UNATULETEA MATOKEO YA LIGI YA TZ.KAMA ILIVYO MAMBO YA BWAWA LA MAINI.CHEERS

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker