Mdau mkuu wa Libeneke na nanihii
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT "THE SMART CHOICE" Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Ila nawaomba tuweze kujieshimu kila mmoja wetu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya globu ya jamii, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoeleza vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.





 

Sunday, November 8, 2009
BREKING NYUUUZZZZZZ: MAISHA CLUB INAWAKA MOTO
MAISHA CLUB ILIYOKO MITAA YA OYSTERBAY JIJINI DAR INATEKETEA KWA MOTO HIVI SASA NA JUHUDI ZA KUUZIMA MOTO HUO ZINAENDELA. TIMU YA GLOBU YA JAMII IKO HUKO KUREKODI KINACHOJIRI, HIVYO HABARI KAMILI BAADAYE
 
© Michuzi | Sunday, November 08, 2009 | Permalink | Mtumie Rafiki Yako |


Maoni: 0




Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker