Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo akimtunuku Mary Mussa nondo ya kuhitimu kidato cha Nne katika Mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ghomme, ambayo ni ya bweni iliyoko Kunduchi Ununio nje kidogo ya jijin la Dar Es Salaam. Kushoto kwa mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule Hiyo, Martin Mgongolwa na Mjumbe, Daudi Kisigo. Kulia kwa Luhanjo ni Meneja wa Shule hiyo Dr. Emanuel Malangalila na mjumbe wa Bodi ya Shule hiyo, Prof. Leticia Rutashobya wa UDSM. Picha na PPR.
Meneja wa Shule ya Sekondari ya Ghomme, Dr. Emanuel Malangalila akimpongeza mwanafunzi bora kitaaluma, Hope Myovela
Mjumbe wa Bodi ya Shule ya Ghome, Prof. Leticia Rutashobya akimpongeza Mwalimu Melody
Meneja wa Shule ya Sekondari ya Ghomme, Dr. Emanuel Malangalila akimpongeza mwanafunzi bora kitaaluma, Hope Myovela
Mjumbe wa Bodi ya Shule ya Ghome, Prof. Leticia Rutashobya akimpongeza Mwalimu Melody
watu wana usongo na vijoho!! sijui ni kuwahisha wahisha maana wengine wana wasiwasi kuwa huenda wasiifikie degree na kulivaa joho lenye heshima ya elimu ya ngazi ya dunia(university level).
ReplyDeletehaya hongereni kwa tujinondozz twenu twa kidato cha nne. safari bado ndefu,kama mtavaa majoho nadhani mnaipata PhD mtakuwa na majoho lukuki, au mnakodisha nini?
maana ya kindergaten,primary shool,sec.school,A-level,then wengine chuo cha kati(certificate,diploma),bachelor,master(specialization),PhD, Uh!
vazi linadhalilishwa
ReplyDeleteHuyo mzee Malangalila anachoma Ankara nini..maana yake angalia rangi za kirastafarae alizonazo kwenye T-Sheti ndani ya Koti,msinihukumu..i was just Curious!
ReplyDelete