Mwanamuziki nyota wa kimataifa toka nchini Senegal, Youssou Nd'our akitumbukiza kwenye onesho viwanja vya karimjee jijini usiku wa kuamkia leo. onesho hilo lilidhaminiwa na Zain
Mwanamuziki mwenye asili ya Sudan anayeishi Misri, Emmanuel Jah, akiwapagawaisha wapenzi wa muziki wakati wa onyesho lililofanyika katika viwanja vya karimjee usiku wa kuamkia leo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. jamani the show was good, niewakubali, u knw wat hatuelewi maneno but u enjoy the rythm, kwa kweli sie watanzania we have a long way to go, hapakuwa na mike test mike test dude lilipoanaza ni non stop, jamani kitu kiko juuuu.....hope kina machozi kina ngwasuma akudo na wengineo mmeona lesoni.......tulibaniwa abgelique kijo, though it was nice tunaelewa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...