Home
Unlabelled
hepi besdei ya siku ya kuzaliwa profesa mwandosya leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wazee waliotulia na familia zao hata maendeleo huonekana kwa macho,ila wale ambao zao ni kuhonga tuu basi hata nyumba kujenga ni shida
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY PROF MWANDOSYA. MAY U LIVE LONG ENOUGH TO REALISE ALL YOUR DREAMS.BEST WISHES FOR 2010. GOD BLESS YU & YOUR FAMILY!
ReplyDeleteHi david Luhanga umeonekana Dar, na wadau wanadai ni miaka mingi sana hujafika dar, umekuja kwa B/day ya rafiki ya ko prof. Mwandosya?
ReplyDeleteNampenda sana huyu mzee wetu nilisikitika sana hakuwa raisi,anyway picha nzuri na zimejaa upendo na umoja kutoka kwa wajukuu wake.Na hiyo keki inaonekana ni kubwa na tamu lakini watoto wako wachache.
ReplyDeleteHappy bethdei tu yuuuuu...lalaaaalalaaa.....tu yuuuu.
Mhangaza wa kanazi
http://duniayetukubwa.blogspot.com/
"kama unampenda sana mualike kwako unywe nae chai na mke wako"....JK NYERERE
ReplyDeleteHappy Birthday Prof. Mwandosya, the only sane man i know today may you live to blow 101 Candles, God has not finished the work he intended for you to do
ReplyDeletehappy birthday prof! mimi nakufagilia sana kwa kazi, upole wako. Mungu akupe mingine 60!
ReplyDeleteUsilolijua ni kama usiku wa kiza kinene.
ReplyDeleteHappy birthday Prof. kweli nyumba yako ni nzuri hii inadhiirisha moyo na nia yako nzuri dhidi ya familia yako, maana wezee wengi wa umri wako ni wachache sana utakuta ananyumba nzuri hivyo kijijini wao kazi yao ni kuhonga tu wakisha staafu wanaanza kuaibika na kuhangaika ovyo. Ipende na iheshimu familia na Mungu atakuzidishia maradufu. Mdau KK
ReplyDeleteUmefikisha umri wa kustaafu sasa. Hongera sana.
ReplyDeleteBaki kijijini huko huko kwani huko ni kuzuri zaidi ya Dar kwa mtu aliyefika umri wa kustaafu kwa wewe. Waachie vijana wafanye kazi wewe pumzika tu.
Mdau LaMbegu sante sana kweli kabisa hebu waambie hao usilolijua ni kama usiku wa kiza tuu.. mpole muadilifu wapi wakati alichukua magari ya TRC enzi hizo yakaacha kazi ya trin ikiwa imepinduka na kulazimishwa kwenda mbeya kusaidia kampeni za uchaguzi uliopita
ReplyDeletemuadilifu my foot!!
jamani kweli maisha bora kwa wenye vyeo vyao na utawala, hapo ni kijijini kwake, ............mmh mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki dogodogo cent.
ReplyDeleteni hayo tu.
Hongera sana Prof. Huyu ni mmoja wa vichwa ambavyo Tanz. inajivunia. Pia nadhani katika suala la urais sioni kwanini CCM bado wanaendelea kutafuta bahati za marais, huyu ndo Rais mwenyewe sasa.
ReplyDelete