foleni ya magari toka moshi iliyosababishwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha sehemu za Hedaru. ilikuwa patashika na nguo kuchanika wakati usafiri wa njia hiyo ya kaskazini kuathirika na mafuriko hayo
basi la akamba likijaribu kukatisha sehemu ya tukio kwenye saa 9 jioni leo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HIYO LAMI IKIBANDUKA BASI ITAACHWA HIVYO HIVYO KAMA ILIVYOTOKEA BARABARA YA MTWARA MASASI MAENEO YA NDANDA MIAKA ZAIDI YA ISHIRINI ILIYOPITA MAENEO YA NDANDA MILIMA ILIBOMOKA NA KUMWAGA MAJI ENZI ZILE ZA UTAWALA WA MWINYI HIYO BARABARA HADI LEO HII ILE LAMI HAJAZIBWA KATIKA ENEO LILE JUST FIKIRIA TWENTY YEARS NO REPLACEMENT YA LAMI, NA LAMI ILE ILIKUWA MPYA WAKATI MAFURIKO YALIPOTOKEA.

    ReplyDelete
  2. Haya wasema hovyo na hayo mafuriko mnamlaumu JK kwa kushindwa kuchukua maamuzi magumu ya kuyazuaia mafuriko? Semeni sasa.

    ReplyDelete
  3. Lawama zinakuja though ni natural calamity, tunatarajia serikali ya JK irekebishe uharibifu huo

    ReplyDelete
  4. nyumba ya gavana wa benki kuu inaweza kumaliza matatizo hayo

    ReplyDelete
  5. Bongo tambarare.

    ReplyDelete
  6. HATUTAKI SIASA TUNACHOTAKA NI BARABARA ITENGENEZWE.HATUJALI ITAJENGWAJE INACHOTAKIWA NI KUJENGWA BILA LONGO LONGO.

    ReplyDelete
  7. sidhani kama Gavana atakubali iuzwenyumba ilikurekebisha kero hiyo labda tusubiri kesi yetu ya RICHMOND kamatutashinda huendamambo yatakaasawa barabarani na mitaani.Wadau kwani imeishiaje ile kesi au ndio tumeliwa kamakifo cha Gavana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...