Watch the production process of the official 2010 World Cup match ball Jabulani. All Official Match Balls for the 2010 FIFA World Cup have the same weight and the same circumference and are therefore always the same size. Production capacity for the Official Match Ball for South Africa: 1760 balls per day. Production has been running since April 2009.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. vipi jamani huko bongo kuhusu maandalizi ya world cup ktk swala zima tulilonuia kukuza uchumi kama ahadi walizotoa wanasiasa wetu baada ya sauzi kuwin

    ReplyDelete
  2. kumbe tenda walipewa addidas!!
    Duh na hapo nilivyoona ni china maana hata hata mitambo yao imeandikwa kwa kichina isipokuwa products ndo zinatoka kwa lugha aitakayo mteja. china jamani wako juu sana na viwanda vingi vimewekeza huko sababu ya cheap labour compared to europe and the america. sasa hawa addidas hicho ni kiwanda chao au na wao wametoa tenda kwa kiwanda kilichoko huko?

    ReplyDelete
  3. hii ndo box halisi .

    ReplyDelete
  4. THAT IS OUTSOURCING, ADIDAS HUWA HAWANA KIWANDA ILA WANA WATAALAMU KWA KuBUNI MITINDO YA VITU VYAO VYOTE, KAMA NI MPIRA, KOFIA, VIATU, MAGONO YA GOLF and ANYTHING YOU KNOW ASSOCIATED WITH ADIDAS HAWA WATAALAMU WAO WANA-DESIGN THEN WANATAFUTA MANUFACTURER WANAMSIMAMIA FROM "A" TO "Z" HOW TO MAKE IT PERFECT. HUWA WANA-OUTSOURCE CHINA, GERMANY, MOROCCO, SPAIN, JAPAN, SOUTH KOREA, SOUTH AFRICA, BRAZIL, USA(HIVI HUWA GHALI SANA KWA VILE VINA-EMBODY HIGHLY QUALIFIED LABOUR NI PAMOJA NA OUTSOURCE ZOTE ZA ULAYA HUWA WANATUMIA PESA NYINGI KWA VILE ULAYA HAMNA CHEAP LABOUR NA WATAALAMU WAKE WAKO JUU PIA LABOUR MARKET HUFUATA SHERIA SIO NCHI KAMA CHINA WATU WANABURUZWA TU, MFANYAKAZI/KIBARUA MMOJA WA CHINA HULIPWA $100 KWA MWEZI WAKATI ULAYA THAT COULD BE PER HOUR FOR SEMI SKILLED ENGINEERS KWA WABEBA BOX NI MSHARA WA SIKU MOJA). HAYA JAMANI WATANZANIA TUNASOMA MASOMO YA ENGINEERING TUTAFIKA HUKO HUO NI MPIRA WA KUUPIGA MAFUMBINI UNATENGEZWA KITAALMU HIVYO MWEEEEEE, HATUNA CHETU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...