In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

Swissport yakabidhi jengo jipya Makao ya Taifa ya Yatima Kurasini

Meneja Mafunzo wa Kampuni ya Swissport Tanzania Ltd, Nyasso Gama (kulia), akikata utepe kumkabidhi Ofisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Kurasini ya Kulelea Watoto Yatima, Margareth Mkandawile msaada wa mbuzi na vyakula mbalimbali vyenye thamani ya sh. 720,000 katika hafla iliyofanyika sambamba na kukabidhi Jengo lililojengwa kwa gharama ya sh. milioni 48 zilizochangwa na wafanyakazi wa Swissoprt. Hafla hiyo ilifanyika katika makao hayo, Dar
Watoto Yatima wanaolelewa katika Makao ya Taifa ya Kurasini, Dar es Salaam, wakiimba wimbo wa kuisifia Kampuni ya Swissport Tanzania Ltd, kwa kukabidhi jengo lililojengwa kwa gharama ya sh. milioni 48 zilizochangwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo. Hafla ya kukabidhi jengo hilo ilifanyika katika Makao hao jana.

Meneja Mafunzo wa Kampuni ya Swissport Tanzania Ltd, Nyasso Gama (kulia) akimkabidhi Ofisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Kurasini ya Kulelea Watoto Yatima, Margareth Mkandawile msaada wa vyakula mbalimbali
msaada wa vyakula kwa kituo hicho toka Swissport
Jengo lililojengwa kwa gharama ya sh. milioni 48 zilizochangwa na wafanyakazi wa Swissoprt, ambalo lina vyumba viwili vya madarasa, Ofisi ya waalimu na vyoo

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Hongereni Swissport kwa kuwajali watoto wetu na kutimiza wajibu wenu kwa jamii.

  2. Anonymous Anasema:

    MILIONI 48 HILI??!!!!!!EBU JAMANI NIPENI TATHAMANI YA SHILINNGI IKOJE NISIJE NIKAWA NABWABWAJA TU KUMBE SHILINGI LAKI1 NI SAWA NA USD 1....HIZI HELA ZINAZOITWA SHILINGI KUMBE HAZINA THAMANI KIASI HIKI PUUUU!!!MM NIMEFUNYIZA VIHELA VYANGU MIAKA KIBAO NAPIGA HESABU NIRUDI BONGO NIJENGE NYUMBA NA BANDA LA UWANI KAMA HILI NA NINUNUE NA GARI YA KUTEMBELEA KISHA NIFUNGUE LKN PESA YNG YOOOTE HIO HAIZIDI USD 50,000...NAOMBENI MNIPATIE CURRENCY IKOJE HUKO KAMA VP NIGHAIRI NIJIKALIE ZNG TU HUKUHUKU NISIRUDI

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker