In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.










  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com












Archive for June 2009

pinda awasili musoma kwa sherehe za serikali za mitaa

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi, Afande Saidi
Mwema, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma leo tayari kwa kujumuika katika kilele cha sherehe za Siku ya Serikali za Mitaa zinazofanyika kitaifa Mjini Musoma Jumatano. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Gaudencia Kabaka


VODACOM YASHINDA MASHINDANO YA GYMKHANA COOPERATE SOCCER TOURNMENT 2009

Nahodha wa timu ya Vodacom, Leonard Saveri akipokea kikombe kutoka kwa mwenyekiti wa club ya Gymkhana Mzee Victor Kimesera.
Wafanyakazi wa Vodacom wakishangilia Pamoja na meneja wa kampuni hiyo ya simu wa sponsorship Bwana Emilian Rwejuna (shoto).

Baada ya kukabidhiwa Kombe na waandaaji, wafanyakazi hao waliendeleza sherehe, ni baada ya kuzichapa kampuni nyingine za simu kama Zain waliochapwa 3-2, Zantel walichapwa 3-0 na Tigo walichapwa 3-0 na kuingia fainali ambapo walikutana na Benki ya Standard Chartered ambayo ilichapwa bao 1-0 na ubingwa kuelekea nyumbani kwa Vodacom Tanzania.




BASH LA UBWETE KILA ALHAMISI HOUSTON, TEXAS

MAMBO MATAMU HAYA NI MAALUMU KWA AJILI YA KUWASHUKURU NA PIA KUTAMBUA MCHANGO MKUBWA WAPENDA BURUDANI WA HOUSTON NA NEW CLUB SAFARI.

SAFARI ENTERTAINMENT
INAKULETEA
'USIKU WA KUWASHUKURU WADAU WA BURUDANI WA HOUSTON'
GOLDEN THURSDAY NITE

NI USIKU WA KUPONDA RAHA KWA UBWETE KABISA NDANI YA CLUB SAFARI,KUANZIA ALHAMISI HII TAR, 2 JULAI HAKUNA KIINGILIO (NO COVER), KILA ALHAMISI KUANZIA SAA 3 USIKU MPAKA SAA 8 ZA ASUBUHI.

NJOO UPATE 'MIPINI MIPYA NA OLD SKOOL ZA KUFA MTU' KUTOKA KWA 'THE POST' DJ KAYCEE AKISHIRIKIANA VIZURI NA DJ 8TH WONDER,

MILANGO NA HUDUMA YA VINYWAJI NI WAZI KUANZIA SAA MOJA USIKU, HIVYO NJOO MAPEMAA ILI USIKOSE UHONDO!

KARIBUNI WOTE KILA ALHAMISI NDANI YA

CLUB SAFARI


michael jackson lives on


IN MEMORY OF MICHAEL JACKSON
By Ayoub mzee-London
An Official memmorial site has ben constructed at the O2 arena wher Michael Jckson was supposed to have his last This is It Act.
This Is It was a scheduled sellout series of 50 "comeback" concert performances by Michael Jackson at the The O2 arena in London, scheduled to begin in July 2009 and continue through March 2010. Less than three weeks before the first show was to begin, Jackson died from cardiac arrest.

An estimated 800,000 people paid £50-£75 to watch the star perform 50 concerts at London's 02 arena. Fans who payed for the concer have been offerd a deal to either make arrangements for a refund or to keep the originals tickets which will become collectors' items, and feature special images which give them a 3D moving effect.
Fans have until 14 Aug to take up the offer of receiving the original tickets for the This Is It dates.The company will not be printing any further tickets as collectables.


mdau wa ujerumani na aisha madinda, abou semhando

mdau wa ujerumani malumbo s. malumbo (shoto) aliye katika vekesheni hapa bongo akiwa na dansa nyota wa twanga pepeta aisha madinda pamoja na katibu wa bendi na mpiga drums mahiri abou semhando 'baba diana' katika moja ya shoo wikiendi ilopita. baada ya kusumbuliwa na matatizo ya miguu aisha sasa yuko fiti na karudi jukwaani kwa kishindo kuendeleza libeneke


kp leo



hasheem thabeet ndani ya bang! la june-july 2009

jarida la Bang! ambalo ni kama Ebony ya bongo toleo la June-July lina Hasheem Thabeet, nyota wa mpira wa kikapu ambaye majuzi kapata ulaji wa NBA na Memphis Grizzlies. Pongezi kwa timu ya jarida hili chini ya da' Imelda Mwamanga ambayo imeweza kuitoa bongo kimasomaso kwa jarida maridhawa ambalo hivi sasa linakubalika afrika mashariki na kati kwa makala safi na taswira zilizoenda shule
mambo yote ya Hasheem uyajuayo na usiyoyajua yamo humo
limeonesha pia kwamba Hasheem naye kwa pamba hajambo

kwa wapenzi wa basketball hili si toleo la kulikosa kwani limetoka wakati muafaka katika historia ya mpira wa kikapu nchini





nizar khalfani and nadir haroub ali canavaro ready for canada trip

Rahim Zamunda (dark shirt) with Nizar Khalfani (left) and Nadir Haroub Canavaro (right) and two other potentials for Canada trials during today's press conference held in Dar.

In essence of this trip and Vancouver whitecaps visit to Tanzania Lz enterprise with the endorsement and support from the government fulfilled her objectives in promoting tourism and sports development in Tanzania, LZ ENTEERPRISE wouldn’t fulfill her goals if it wasn’t for the support of the government at large the ministry of sports and culture, TFF, Tanzania tourist board, TANAPA, Ngorongoro conservation, NMB, TBC Serengeti breweries, Quality group, Azam FC, Sea Clif Hotel, Sopa lodges and other individual actors who regardless of other responsibilities they worked hand on hand with us to make all things happen.

Today, two amongst four players who are supposed to go for a trial in Canada are ready, and with the request of the management of the Vancouver whitecaps Nadir Haroub Ali (Canavaro) and Nizar Khalifan will be the first to join the team in Canada for trial followed by others upon the mention and the time table of the team. Whitecaps Vancouver. The two players will be departing any time from today.

We are greatly honored to be as a gate way through for this sports development in Tanzania but it should be noted that it is through good relationship and friendship between the Government of Tanzania and Canada that the visitation of Vancouver was a success and so this trial opportunity to our players too.

LZ ENTERPRISE BACKGROUND
LZ Enterprise is based between the U.S. and Tanzania, dedicated to sports development through international exchange, youth development, and the universal game of football. In 2005, LZ Enterprise produced the Tanzania Soccer Summit hosting the Seattle Sounders in Tanzania for international friendship, football development, as well as introducing sports-tourism to Tanzania’s tourism sector. LZ Enterprise worked with the TZ Tourist Board to produce film doc, Discover Tanzania, which can be currently viewed on their website at:
http://www.tanzaniatouristboard.com/pages/ttb_video.php.

LZ Enterprise, most recently, signed a letter of intent with the Govt. of Tanzania to initiate a (2.5 mill USD) nationwide sports development programme in Tanzanian schools:
http://dailynews.habarileo.co.tz/features/index.php?id=8822
We are currently doing an overhaul on the LZ Enterprise website, but in the meantime there is a presentation from the Whitecaps visit at:
www.sakulsky.com/tanzania
ABOUT WHITECAPS –
http://www.whitecapsfc.com/
Whitecaps team owners, Jeff Mallett – former President and CEO at Yahoo Inc., Greg Kerfoot – CEO of Seagate Software, and Steve Nash – Phoenix Suns guard / current philanthropist will assist in bringing significant exposure and partnership to not only Tanzanian football, but the greater Tanzanian business community.
.
NORTH AMERCIAN SOCCER
(United Soccer League – Major League Soccer)
The United Soccer Leagues First Division (often referred to as simply, USL-1) is a professional men's soccer league in North America. It is the second tier of soccer in the United States, Canada, and Puerto Rico league pyramid behind Major League Soccer. There are 11 teams managed by the United Soccer Leagues (USL).

ABOUT MAJOR LEAGUE SOCCER
Headquartered in New York City, Major League Soccer is the top-flight professional soccer league in the United States and features many stars from the U.S. and around the world. The League's 14th season kicks off April 7, 2009. The 13 teams in MLS are: the Chicago Fire, Colorado Rapids, Chivas USA, Columbus Crew, D.C. United, FC Dallas, Houston Dynamo, Kansas City Wizards, Los Angeles Galaxy, Red Bull New York, New England Revolution, Real Salt Lake and Toronto FC.

MLS was founded in 1993 as part of the bid for the United States to host the 1994 FIFA World Cup. The first season took place in 1996 beginning with 10 teams. Seasons run from late March or early April to November, with teams playing 30 regular season games each. Eight teams from the league compete in the post-season MLS Cup Playoffs, which culminate in MLS Cup
Media contact:
Rahim Zamunda Kangezi
zamunda@lzenterprise.net
+255-713-255-614
+1206-755-0332


JK akiwa matombo

Rais Jakaya Kiwete ( kushoto) akisikiliza maelezo juu ya hatua za ujenzi wa daraja la Mto Mtombozi Tarafa ya Matombo, juzi , watatu kutoka kwa Rais ni Naibu Waziri wa Tamisemi, Aggrey Mwanri akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Eden Munisi.


mazishi ya sheikh suleiman gologosi lindi

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya kaimu Mufti Mkuu, Hayati Suleiman Gologosi aliyefariki wiki ilopita katika ajali ya gari huko lindi. Chini ni wakati wa mazishi hayo yalofabnyika Lindi




MISA YA KUMSALIA MAREHEMU MAMA MARGARETH KUMBUKA---LONDON UNITED KINGDOM

Marehemu Mama Margareth Kumbuka


KWA NIABA YA KHALID, ARAFA NA MAHADIA KUMBUKA, TUNAPENDA KUTANGULIZA SHUKURANI ZA DHATI KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOTE AMBAO TULIOSHIRIKIANA NAO TOKA MWANZO HADI MWISHO WA MSIBA WA MAREHEMU MAMA.




PIA TUNAWATAARIFU KUWA KUTAKUWA NA MISA MAALUM YA KISWAHILI YA KUMUOMBEA MAREHEMU MAMA MARGARET KUMBUKA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 5TH JULY 2009 LONDON UNITED KINGDOM KUANZIA SAA NANE MCHANA (2.00 PM) HADI SAA KUMI JIONI (4.00 PM) KATIKA KANISA LA




ST. AGNES/MARGARET CHURCH,


OPPOSITE #2 GRESHAM ST,


EC2V 7QP,


LONDON


FOR MORE INFO CONTACT


07886897813,


07951503042


0R


07852289892


FC Vito Malaika from Newala plays in Helsinki Cup 2009

Please inform the Tanzanian society that FC Vito Malaika from Newala, Mtwara, plays in Helsinki Cup 2009. Matches start on 6th July.
Karibuni wote cheer up the Malaika from South!

Ari Koivu
Toiminnanjohtaja -
Executive DirectorLiiKe -
Sport & Development
Radiokatu 2000093 SLU,
Helsinki,
Finland
Telephone: +358 9 3481 2610
Fax: +358 9 3481 2602
Mobile: +358 40 765 9900


mamia wamzika profesa haroub othman zenji

shughuli katika mji wa unguja zilisimama kwa muda jana wakati wa swala ya kumuombea marehemu profesa haroub othman katka msikiti wa Masjid Salama eneo la Msufini na baadaye msafara wa kwenda mazikoni shambani kwake Chuini. Hakika alikuwa mtu wa watu kwani mazishi yake yameelezwa yalikuwa ni makubwa kupata kutokea visiwani kwa muda mrefu
mitaa yote ilifurika waombolezaji wakati jeneza lilipokuwa likipitishwa
mistari ya waombolezaji waliojipanga barabarani kusubiri jeneza ilitanda kila mahali
viongozi wa serikali walikuwepo kumsomea marehemu
viongozi wa vyama vya upinzani walikuwepo kuomboleza
masjid salama ulifurika ndani
nafasi ilikuwa haba masjid salama kiasi waombolezaji wengine walilazimika kuswalia nje. picha zote na mdau othman mapara.
-----------------------------------------------------------
Mpiganaji mwenzangu Michuzi,
naomba kwa kupitia blog ya jamii, nitume salam zangu za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa, jumuiya ya wasomi 'Mlimani' na duniani kote na kwa Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na mwanazuoni tunu yetu na niliyemheshimu sana ndugu yetu Profesa Haroub Othman.
Pigo hili limenikumbusha lile la hivi karibuni lililowakuta wasomi wa dunia na sisi 'wapiganaji' pale alipotutoka Dk. Tajudeen kwa ajali ya gari kule Nairobi.
Pia nichukue nafasi hii kutuma rambirambi zangu kwa familia, ndugu, jamaa na Watanzania wote kwa kuondokewa na rafiki yangu na mzee wetu Sheikh Suleiman Gorogosi ambaye kwaye mawaidha yake yaliyojaa hekima yalikuwa hayamithiliki na niliyaheshimu mno.

Wote, naomba Allah azihifadhi roho zao mahali pa amani daima--AMINA.

Mdau Saidi Msonda,
Sudan.











dk. liky abdallah azungumzia fainali ya kombe la mabara

video

Dk. Licky Abdallah azungumzia fainali za confederation cup huko sauzi baina ya Brazil na Marekani ambapo Brazil walishinda 3-2 na kunyakua kombe kwa mbinde...


washiriki 20 bora wa bongo star search 2009 wapatikana

Mkurugenzi wa Benchmarck Productions Madame Rita Paulsen (kulia) akiongea na wanahabari kuhusu kuwatangaza washiriki 20 bora wa BSS,na kushoto ni Meneja Udhamini wa Vodacom Emillian Rwejuna. Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu wa Bongo Star Seach(BSS).
Hawa ndiyo washiriki 20 bora walioingia katika kinyang’anyiro cha Bongo Star Search,Unaodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania



tamasha la 12 la ZIFF launguruma Zenji

Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana na mshairi Mrisho Mpoto wakati wa uzinduzi wa tamasha la 12 la ZIFF ukumbi wa Ngome Kongwe, Zenj
Mshairi Mrisho Mpoto aka Mjomba akiwapa dozi washabiki wa tamasha siku ya ufunguzi wa tamasha la 12 la ZIFF
Kundi la Borafya wakitumbuiza Ngoma ya Beni usiku wa Ufunguzi wa Tamasha la ZIFF.
Kundi la DCMA wakitumbuiza kwenye ukumbi wa Mambo Club ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za tamasha la 12 la ZIFF
Swahili Vibes kikundi kutoka DCMA wakitoa miondoko ya kibao kata kwenye Ukumbi wa Mambo Club
Mashabiki wakionyesha kali zao wakati wa tamasha la 12 la ZIFF
Watalii wakiangalia onyesho la picha lililoandaliwa na UNICEF, Beit el Ajaib, ikiwa ni moja ya shughuli za tamasha la 12 la ZIFF huko Zenji.
Picha zote zimepigwa na mdau Japhet Njagi kwa hisani ya ZIFF.










ras makunja ampiga mkwala kizabizabina na kichaa cha dogi domobaya

Mbwa Domobaya
Kweli kuishi kwingi kuona mengi! Wimbo Umezua balaa!
Ras Makunja na mkwala wa Mbwa DomoBaya kwa Kizabizabina

Kiongozi wa bendi ya The Ngoma Africa aka FFU, Ebrahim Makunja aka Ras Makunja "Bw.Kichwa Ngumu",juzi juzi amewaacha hoi mainjinia katika studio huko ujerumani baada ya kutinga na mbwa studio humo na kumshirikisha mbwa huyo aitwaye "Domo Baya" katika kurekodi sauti!
Mbwa huyo alibweka sana na kurekodiwa vizuri! katika kuchangia wimbo wa "Kizabi Zabina" na "Mzee Pazi si mtu mwema"

Wadaku wametonya kuwa hatua ya kumpeleka mbwa huyo studio ilichukuliwa kwa hasira na Ras Makunja baada ya mwanamziki huyo kupokea ujumbe wa simu ya kiganjani kutoka kwa mtu asiyejulikana. Simu hiyo ilimuonya Ras Makunja kuwa aachane na wimbo huo. Hapo kamanda wa kikosi cha Ngoma Africa au FFU, uzalendo ulimshinda akaamua kukodisha mbwa aina ya Domo Baya, na kwenda naye studio kuzidisha vitisho!
Baadhi ya wanamziki wake walimsihi kuwa "Ras hapo huoni kuwa unamtishia mbwa kizabi zabina "Mzee Pazi"! Ras Makunja nae alilamika kuwa mbona yeye ananitishia maisha kwa ujumbe wa simu!?.

inaelekea song hilo lenye kutangaziana bifu kati ya Ras Makunja na "Kizabi zabina! ( Mzee Pazi) na kuingia sura mpya kabla halijatolowa hadharani!
Ngoma Africa wamesema Jamii ndio itakayoamua nani mchokozi kati ya Kizabi zabina na mtunzi wa nyimbo hiyo Ras Makunja,ambaye naye mara nyingi analalamikiwa kuwa mchokozi, lakini katika hili jamii ndiyo itakayo toa uamuzi...
Katika songi hilo, Ras Makunja anamkoromea "Kizabi zabina" Mzee pazi na kumwambia atakapokaribia nyumbani basi ajue atafukuzishwa na mbwa "Domo Baya"
Mkuu wa FFu Ras Makunja



mashindano ya pool kitaifa yazinduliwa leo dar

Meneja wa Safari Lager, Fimbo Butallah, akizindua mashindano ya Kitaifa ya Mchezo wa Pool katika ukumbi wa Makumbusho jijini Dar leo. Hapa akionekana akifungua mashindano hayo kwa kushindana na mwakilishi wa timu za pool za wanawake, Maimartha wa Jesse, mtangazaji wa kipindi cha Afro Beat wa EATV ambacho hudhaminiwa na Safari Lager
Fimbo Butallah (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi rasmi wa mashindano ya Pool Kitaifa uzinduzi uliofanyika Makumbusho Village jijini Dar leo. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa chapa cha Pool nchini (TAPA), Isaack Togocho na shoto kwake ni katibu mkuu wa chama hicho, Amos Kafwinga.



mikonozzzz

uongo mbaya mikonozzzz ilipigwa sana sauzi. juu nanihii akiwa na mwimbaji yvonne chakachaka na mai hazbendi wake, na chini na mtangazji wa studio 5. hawa nyota kwao ni wakarimu na wanapenda wabongo ile mbaya.




mnyororo katikati ya jiji

mawazo yanazidi kubaribishwa juu ya namna ya kupunguza ama kuondoa raha hii ya foleni dar


MC Dk. sheni

pamoja na kuwa hodari katika uigizaji wa filamu Dk. Sheni pia ni MC mzuri sana



MADAU TUMAINI ANAOMBA KAZI YEYOTE

Mdau huyu ana elimu ya kuhitimu kidato cha sita na ana elimu maudhurio ya uhandisi ujenzi aliyojipatia chuo kikuu cha dar es salaam 1998-2002. pia ni mtaalamu aliyebobea katika pure and applied non-longolongo politics.Mshahara uanzie lakimoja na ishirii pesa za tanzania. sijali eneo hata kama tandaimba niko tayari. watakao penda kuniajiri tafadhali wasiliana naye katika tgeofrey@yahoo.com
akiwa na mai waifu wake akionesha mahaba kwa nanihii wake






kanku kelly na kilimanjaro connection warejea leo

Shoto ni Falijala Mbutu mpiga gitaa mahiri pamoja na kiongozi wa The Kilimanjaro Connection Band Kanku Kelly wakiwajibika jukwaani wakati wa shoo yao ya mwisho jijini Kuala Lumpur jumamosi ilopita.

Kundi hili linatarajia kuwasili Dar leo kwa mapumziko likitokea Malaysia baada ya kumaliza mkataba wao wa awali. Kundi hilo hiyo Jumamosi lilifanya shoo yao ya mwisho kuwaaga mashabiki wao wa Malaysia, shoo ambayo ilikuwa ya kufa mtu na kuhudhuriwa na mamia kwa mamia ya mashabiki na kufanya ukumbi wa Rum Jungle kuwa mdogo.
Kundi hili ambalo lilikuwa nchini Malaysia kwa takribani miezi sita limejizolea umaarufu na kuitangaza Tanzania kwa kiasi kikubwa baada ya kuwa gumzo na story na picha zao kutawala kurasa za burudani kwenye magazeti yote ya Malaysia. Kwa habari na picha zaidi
http://spotistarehe.wordpress.com


Kampuni kubwa ya IT yaja bongo karibuni

Mdau Pius Mikongoti (tatu shoto) wa P-Informatics (T) Ltd, akila pozi baada ya kusaini mkataba wa makubaliano na Kampuni ya Extol SDN BHD huko nchini Malaysia hivi majuzi.

Extol ni kampuni kubwa ya IT nchini Malaysia ambapo watafungua tawi nchini Tanzania likiwa na lengo la kuboresha huduma za IT kwa Tanzania na Africa ya Mashariki kwa ujumla kwa kushirikiana na P-Informatics (T) Ltd.

Wengine kwenye picha ni Charles Becon CEO wa P-Informatics, na Evans Rweikiza Mkurugenzi wa Tanzania Private Sector Foundation pamoja na Uongozi wa Juu wa Extol. Kwa habari zaidi bofya hapa


wanazuoni wamlilia profesa haroub othman, kuzikwa kesho alasiri zanzibar

Hayati Profesa Haroub Othman
Mazishi ya Hayati Profesa Haroub Othman yamepangwa kufanyika kesho shambani kwake Chuini, Unguja. Kwa mujibu wa mwana wa marehemu, Tahir Othman, mazishi yatatanguliwa kumuombea katika swala ya alasiri katika msikiti wa Masjida Salaam uliopo Michenzani Msufini jirani na Quality Supermarket.
------------------------------------------------------
Dear brothers, sisters and comrades:
This is so devastating. I have no words. And here I am sitting in Toronto in transit to Dar tomorrow arriving Dar on July 1st afternoon. I have no one here to share my sorrow with except Parin and amil. Don't know what to do.

Feeling so helpless.
I am with you in spirit.

Collectively express my profound shock to Saida, my dear friend.
Give the best farewell ever to my dear dear friend of over 40 years.

Buriani rafiki yangu,
ndugu yangu,
kamaradi Haroub Issa

Wako,
Issa Shivji


-


mabasi ya relwe enzi za mwalimu

wadau wameomba taswira hii kujikumbusha tulikotoka, ambapo safari ilikuwa inachukua hata siku tatu endao kama kuna mvua. siku hizi iwe jua iwe mvua mwendo mdundo tu maana barabara ya nyanda za juu kusini lami hadi itungi


mambo yanazidi kuwa mswano coco beach

karate nje nje coco beach
kila siku za jumapili mambo yanazidi kuwa mswano coco beach jijini dar, ambao ni katika fukwe chache zilizosalia ambazo mmatumbi wa kawaida yuko huru kutembelea. pamoja na kupunga hewa na kupata viburudisho kwenye mgahawa maarufu wa coco beach, pia kuna michezo kibao. mtembelee othman michuzi kwenye libeneke la mtaa kwa mtaa kwa hayo na mengine kibao ya uswazi.
ukiwa mpenda masumbi, aidha kwa kuangalia ama kucheza, utaburudika coco beach jumapili



Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker