In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.










  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com












Archive for October 2009

dogo wa uswazi leo





usiku wa mwafrika novemba 6, 2009 kijiji cha makumbusho



SIMBA MBABE KWA YANGA, YASHINDA 1-0

Goooooooooooooooooo.......Mussa Hassan Mgosi amliza kipa wa Yanga dakika ya 26
Kipa wa Yanga Obrien ausindikiza mpira golini
simba washangilia bao lao
wafadhili na promo yao ya cheka time
upande wa yanga uwanja umenuna
MPIRA UMEISHA NA SIMBA SC. WANAONDOKA NA POINTI ZOTE 3 NA GOLI MOJA MBELE YA YANGA FC. KATIKA MCHEZO WA WATANI WA JADI WA LIGI KUU YA VODACOM WANJA LA NESHNO JIPYA


maandalizi ya kukuza vipaji vya mpira wa kikapu


Meneja Mauzo wa Kampuni ya Pepsi Tanzania Limited (SBC) Rashid Chenja(katikati) akifafanua jana jijini Dar es salaam juu azma ya Kampuni hiyo ya kukuza vipaji vya vijana katika mchezo wa mpira wa kikapu (basketball) kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania kupitia soda ya 7 up gharama ya zaidi ya milioni 10. Mchezo huo unatarajia kuanza Novemba 13 hadi Desemba 15 mwaka huu katika eneo la Mlimani City.

Kushoto ni Rais wa Chama cha Mpira wa Kikapu mkoa wa Dar es salaam Simon Msoffe na kulia ni Katibu wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Kikapu Tanzania Salehe Zonga. (Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar)


simba inaongoza 1-0

Ni baada ya mapumziko sasa na bado Simba inawaongoza yanga goli lililofungwa na mshambuliaji Mussa Hassan Mgosi katika dakika ya 26 ya kipindi cha kwanza.
Mgosi aliunganisha majalo moja bomba sana ya dan mrwanda ambaye aliwazuga mabeki wa yanga na kutoa pande. hata hivyo dan mrwanda alitolewa kwa kadi ya njano ya kuchupa ndani ya 18 akisaka penati. refa oden mbaga akamchapa nyekundu
picha na habari zaidi vyaja punde


Miss East Africa Rwanda leo Serena Hotel

Wasichana wanaowania taji la Miss East Africa Rwanda leo wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkurugenzi wa Rena Events, Rena Callist akizungumza na waandishi wa habari kwe nye hoteli ya Serena mjini Kigali Rwanda.

Mshindi wa kwanza na wa pili katika shindano hilo watawakilisha Rwanda katika fainali za Miss East Africa zitakazofanyika Desemba 18 mwaka mjini Dar

Mshindi wa shindano la leo ataondoka na kitita cha faranga za Rwanda milioni moja sawa na karibu sh milioni tatu za kitanzania.
Mshindi wa pili ataondoka na Faranga mia tano sawa na karibu milioni moja na nusu za Kitanzania.

Tayari Kamati ya Miss East Africa makao makuu iko mjini hapa kwa ajili ya kushuhudia shindano hilo ambapo Jaji mkuu usiku wa leo atakuwa Rena Callist, mkurugenzi wa Rena Events.

Pia Miss East Africa, anayemaliza muda wake, Claudia Niyonzima atakuwepo kushuhudia shindano hili pamoja na Miss Burundi wa mwaka jana Alice Kaneza.

Wakati shindano hilo linashirikisha warembo hao 12, mchuano mkali zaidi unaonekana kuwahusisha warembo wanne ambao wanachuana kwa vitu vingi.
Nafasi kubwa sana inaonekana kwenda kwa Sabrina kaganza, Leticia umuizayire, Annet Mahoro na Cynthia Akazuba.

Lakini pamoja na hao wanne msichana mwingine ambaye anaweza kufanya maajabu usiku wa leo ni Viviane Umulisa.

Warembo hao juzi walikutana na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo wa hapa, Joseph Habineza ‘Mr Joe’. Jana pia walikutana na Waziri wa Afrika Mashariki wa hapa Monique Mukaruliza.
Warembo wengine ambao wanashiriki shindano hilo ni pamoja na Clarise Ishimwe, Rita Uwera, Pamela Ungabire, Clarise Ushuti na Sonia Uwambambazi,


JK akiwa mbeya vijijini

JK akikata utepe kuzindua rasmi kliniki inayotembea(Mobile Health Lab) kwaajiloi ya kutoa huduma za upimaji ukimwi na huduma nyinginezo za kimaabara katika uwanja wa Shule ya Msingi Ilembo, Mbeya vijijini.Wengine katika picha kushoto ni Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya Dr.Inge Baumgarten na kulia ni afisa kutoka taasisi ya jeshi la Marekani ya Walter Reeed Army Institute Bwana Edward Sekonde.
Mganga wa meno katika kliniki ya Meno kata ya Ilembo wilaya ya Mbeya vijijini Dr.Marietha Sanga akimpa maelezo JK jinsi mitambo mipya ya kuhudumia wagonjwa wa meno inavyofanyakazi muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua kliniki hiyo jana.

JK akiongea na wafanyakazi wa kujitolea kutoka taasisi ya American Peace Corps Meesh Santoro(wapili kushoto) anayeishi kata ya Ilembo na Jenna Covey anayeishi Isangati Mbeya vijijini muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwahutubia wakazi wa kata ya Ilembo,wilaya ya Mbeya vijijini jana mchana(picha na Freddy Maro).


Sehemu ya umati wa wananchi wa Kata ya Ilembo wakimsikiliza JK alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa michezo wa shule ya Msingi Ilembo,wilaya ya Mbeya vijijini.





pinda afungua rasmi ujenzi wa chuo kikuu huria

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifungua rasmi ujenzi wa makao makuu ya chuo kikuu huria cha Tanzania yatakayojengwa mjini Kibaha. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za chuo hicho zilizopo Kinondoni Biafra jijini Dar. Kulia kwake na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Tolly Mbwete. Mahafali ya chuo yanatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Kibaha


zawadi kwa waliosaidia jeshi la polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Said Mwema akimtunuku nishani heshima Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam William kutokana na mchango wake wa kushirikiana na Jeshi la polisi kukabiliana na masuala mbalimbali wakati wa sherehe za kuwatunuku nishani maafisa polisi, askari na raia (wafanyabiashara) waliotoa michango mbalimbali kulisaidia jeshi la polisi leo jijini Dar
Askari polisi mwenye cheo cha Koplo ,Deogari Maro (katikati) akipokea zawadi ya pikipiki kutoka kwa kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova wakati wa sherehe za kuwatunuku nishani maafisa polisi, askari na raia (wafanyabiashara) waliotoa michango mbalimbali kulisaidia jeshi la polisi. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Said Mwema akishuhudia makabidhiano hayo leo jijini Dar
JESHI LA POLISI KUENDELEA KUTOA TUZO KWA ASKARI NA WANANCHI.
Picha na Habari Aron Msigwa – MAELEZO.
Jeshi la Polisi limesema kuwa litaendelea kutoa tuzo kwa askari , raia na wafanyabiashara wanaotoa michango mbalimbali na kushirikiana na Jeshi hilo katika kufanikisha vita dhidi ya vitendo vya uhalifu nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Said Mwema wakati wa sherehe za kuwatunuku nishani maafisa polisi na askari walioshiriki katika oparesheni za kulinda amani nchi Comoro na raia wema (wafanyabiashara) waliotoa michango mbalimbali ili kuliwezesha Jeshi la polisi kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Amesema mpango huo wa utoaji tuzo kwa wafanyakazi bora wa jeshi la polisi, raia na wafanyabiashara wanaoshirikiana na Jeshi la Polisi unatokana na jeshi kutambua mchango mkubwa walioutoa na wanaoendelea kuutoa katika kuboresha utendaji kazi ndani ya jeshi. Amefafanua kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuwathamini askari wake kwa kuwapa motisha ili kuhakikisha kuwa ulinzi na usalama ndani ya nchi unaimarishwa.
“Hata tukiwa na magari, tuwe na ndege ni lazima tuthamini askari wetu kuliko kitu kingine ili kuhakikisha ulinzi na usalama pamoja na maisha bora kwa kila mtanzania yanapatikana” amesema.
Ameongeza kuwa viongozi wa Jeshi wataendelea kukaa pamoja ili kuvipima, kuviibua na kuviendeleza vithaminiwa vya polisi pamoja na kutoa zawadi kwa askari wanaofanya kazi nzuri ya kulinda mali na maisha ya raia ikiwa ni sehemu ya kuthamini mchango wao na kuwapa sifa stahiki.
Kuhusu Jeshi la Polisi kuendelea kushirikiana na raia wote katika Nyanja ya ulinzi shirikishi amesema kuwa Jeshi la Polisi linaandaa utaratibu ili kuhakikisha kuwa raia wote wanashiriki kikamilifu katika kujilinda wenyewe mahali wanakoishi pamoja na kuaandaa askari na maafisa wa polisi wa kudumu watakaoshirikiana na vikundi maalum vya ulinzi vitakavyoanzishwa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam.
Kwa upande askari waliotunukiwa nishani kwa kushiriki harakati za kulinda amani nchini Comoro Generali Mwema amesema ni mfano wa kuigwa kwani walifanya kazi katika nchi tofauti na waliyoiazoea pamoja na kushirikiana kikamilifu na askari kutoka katika nchini nyingine zilizoshiriki operesheni za ulinzi wa amani nchini Comoro.
Hata hivyo amesema Jeshi la Polisi liko makini kuhakikisha kuwa mafunzo ya askari yanaboreshwa ili kuwawezesha askari kufanya kazi kikamilifu watokapo mafunzoni hatua hii ikijumuisha mpango wa kuongeza mafunzo kivitendo zaidi kwa askari kwenye maeneo ya raia.
Mbali na hilo amesema Jeshi la Polisi linaendelea kufanya marekebisho kwa kuwawezesha kielimu askari wake ili kuwajengea uwezo na kulifanya kuwa la kisasa zaidi na lenye wataalam wa kutosha na hivyo kuongeza ufanisi katika majukumu ya kila siku.
Aidha ametoa wito kwa wananchi na kushirikiana na jeshi la Polisi katika kutimiza wajibu wake kwa ulinzi shirikishi na kuongeza kuwa mpango wa utoaji tuzo kwa wafanyakazi wa jeshi la polisi, raia na wafanyabiashara wanaoshirikiana na Jeshi la Polisi utaboresha mawasiliano na ushirikiano zaidi.


unity of women friends gala night on sunday



washindi wa BSS wafurahia zawadi zao

Mshindi wa kwanza wa shindano la Bongo Star Search Cassian Paschal akipokea hundi yenye thamani ya sh. milioni 25 kutoka kwa madame Ritta Paulsen leo
Mshindfi wa tatu wa BBS Kelvin Mbati akipokea
kitita cha sh. milioni 3 kutoka kwa madame Ritta Paulsen



RESEARCH CONSULTANCY SERVICES (DISSERTATIONS)

HELLO!
Is your Research Paper an obstacle for your graduation?Need help to finish your Research Paper in time?Need help to upgrade your Research Paper?
HERE IS HELP!

Get extensive dissertation consultation services at your finger tips.
From start to finish!

If you are an undergraduate, post-graduate or graduate student and abusiness person or a fulltime employee, and your struggle to balanceyour family, social, work, business and school obligations has becomeimpossible, you are hard-pressed to finish your research paper, youare not getting enough support from your supervisor, or, yoursupervisor has directed you to make changes or corrections that you don't understand, or your supervisor has rejected your research proposal or dissertation altogether, you feel stuck, and you startthinking it is impossible for you to beat the fast-approachingdeadline, and you need help to fast-track, up-grade and finish yourdissertation once and for all, in the shortest possible time,..................
you have come to the right place!
For more information, log on to:


maonesho ya biashara ya kimataifa yapamba moto

wadau wakiinfia ukumbi wa PTA kwenye maonesho yanayoendelea katika viwanja vya mwalimu nyerere barabara ya kilwa road jijini dar


dogo wa uswazi leo



kilimanjaro kupandishwa kilimanjaro kuanzia jumapili hii hadi ijumaa

BIA CHAPA YA KILIMANJARO YAZINDUA KAMPENI YA “FIKISHA TANZANIA KATIKA HATUA YA JUU ZAIDI”

Kilaji cha Kilimanjaro leo kimezindua kampeni ya “Fikisha Tanzania Katika Hatua ya Juu Zaidi”. Katika kampeni hiyo, bendera ya taifa itakimbizwa kuanzia jijini Dar es salaam mpaka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. “Hii ni namna ya pekee ya kufurahia na kujikumbusha mafanikio yetu ya kiwango cha juu” anaeleza George Kavishe, Meneja wa Bia Chapa ya Kilimanjaro.

Kampeni hii ya “Fikisha Tanzania Katika Hatua ya Juu Zaidi” itaanza rasmi tarehe 1st Novemba, 2009 hapa jijini Dar es Salaam na inatarajiwa kufikia tamati katika kilele cha Mlima Kilimanjaro mnamo tarehe 6th Novemba, 2009. Safari ya kukimbiza bendera hiyo ya Taifa itapitia katika miji kadhaa kabla ya kufikishwa katika kilele cha Mlima Kilimajaro. “Hii ni changamoto ya kihistoria, tunaelekea na taifa letu kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro” anasisitiza David Minja, Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania, TBL.

Bia Chapa ya Kilimanjaro, ni maarufu kwa kudhamini matukio ya michezo na burudani yaliyopata mafanikio makubwa kama Mbio za Marathoni za Kilimanjaro za urefu wa km 42.2 na nusu Marathoni km 21.1. Mashindano haya yanayotambuliwa kimataifa, yanashirikisha washiriki kutoka nchi zaidi ya 25 duniani. Mashindano hayo hutayarishwa kufuatana na kipindi cha ukame mbugani ambao hupelekea wanyama aina ya Nyumbu zaidi ya millioni moja kuhama katika makazi yao ya asili katika mbuga za Serengeti (Hili ni tukio la kipekee, kubwa na la asili duniani). Bia Chapa ya Kilimanjaro inadhamini mashindano haya ya Marathoni tangu yalipoanzishwa mnamo mwaka 2003. Mapato yatokanayo na Mashindano ya Mbio za Marathoni za Kilimanjaro hutolewa kusaidia jamii na kusaidia huduma mbali mbali mkoani Kilimanjaro.

Bia Chapa ya Kilimanjaro pia ni mdhamini wa tuzo maarufu za muziki za kila mwaka Afrika Mashariki zijulikanazo kama “Kilimanjaro Music Awards”. Tuzo hizi hutolewa kutambua jitihada katika sanaa hii na kukuza vipaji vya muziki. Tuzo hizi hutolewa katika makundi mbali mbali yanayoshiriki sanaa ya muziki.

Bia Chapa ya Kilimanjaro ni mdhamini mkuu wa timu mbili zenye historia ndefu katika mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania, Simba na Yanga. Bia Chapa ya Kilimanjaro inatumia jumla ya Shillingi billioni tatu za Kitanzania katika kipindi cha miaka mitatu, katika jitihada zake za kuongeza ushindani katika ligi kuu nchini. Hii ni sehemu ya mpango wa Kampuni ya Bia Tanzania, TBL wa kuenedeleza mchezo wa mpira wa miguu na michezo mingine kwa ujumla nchini Tanzania.



mtoto wa dandu


Mkurugenzi mtendaji wa BenchMark Productions ambaye pia ndiye mwandaaji wa shindano la kusaka vipaji vya muziki la Bongo Star Search, Madame Rita Paulsen, akiionesha Globu ya Jamii picha aliyopiga akiwa na Mtoto wa Dandu enzi za uhai za mwanamuziki huyo aliyefariki jijini Dar kwa ajali ya gari wakati nyota yake kimuziki ndio ikianza kupaa. Mtoto wa Dandu, kijana mtanashati toka Mwanza, kabla ya hapo alikuwa akiishi ughaibuni na alipotua Dar alibuni Tanzania Music Awards ambayo leo ndio hii Kilimanjaro Music Awards.
Madame Rita amepozi leo mara baada ya kuwazawadia washindi wa BSS 2009 ofisini kwake Mikocheni jijini Dar.


libeneke la THE LOOK 4 U

THE LOOK ni duka jipya la mavazi, hasa "hasa ya kinamama na watoto, ambalo limejizolea sifa kedekede kwa ubora na upekee wa mavazi yake ambayo ukivaa hamna mambo ya sare sare maua. Lipo Mwananyamala jijini Dar usoni pa jengo la Biashara Complex na jirani ya kituo cha Komakoma kwa Bitebo mdogo na Sofia Productions. Habari zaidi:


JK azindua kituo cha yatima wilayani rungwe

JK akiwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Lucy Hope Centre Bi.Lucy Mwandosya pamoja na Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya muda mfupi baada ya kuwahutubia wananchi wa Lufilyo,Rungwe wakati wa uwekaji jiwe la Msingi katika jingo la taasisi hiyo uliofanyika jana.Taasisi ya lucy Hope inawahudumia watoto Yatima
JK akiwa na mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lucy Hope Centre Bi.Lucy Mwandosya na Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya wakishangalia wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi katika jingo la taasisi hiyo iliyofanyika huko Lufilyo,Rungwe, mkoani Mbeya jana jioni.Taasisi ya Lucy Hope inawahudumia watoto Yatima kwa kuwalea na kuwapa elikmu katika ngazi mbalimbali.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lucy Hope Centre Bi.Lucy Mwandosya na Mumwewe Profesa Mark Mwandosya wakimkabidhi JK picha iliyochorwa na Bi.Lucy mwandosya inayoonesha ngoma ya utamaduni ya Rungwe ijulikanayo kama " Ndingala" wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la taasisi hiyo huko Lufilyo Rungwe jana jioni.
Picha na mdau wa Ikulu Freddy Maro





shujaa eliza

Flashaback June 20, 2008: Kelly Rowland (shoto) mmoja kati ya wanamuziki waanzilishi wa kundi maarufu la muziki lililojulikana kama Destiny’s Child akimkabidhi Eliza tuzo maalumu ya MTV Staying-Alive kutokana na mchango wake katika kuelimisha vijana kuhusu janga la ukimwi na jinsi ya kujikinga na maradhi hayo nk.
Globu ya Jamii inamrejesha shujaa Eliza wa Uwanja wa Fisi kufuatia hoja mbalimbali za wadau kutaka kujua nini kinaendelea ama amewahi kusaidiwa katika harakati zake za kukomboa wasichana hapo Uwanja wa Fisi baada ya kuonya video hii:http://www.youtube.com/watch?v=QZ8vRS_FTWM
Anko nanihii ndiye aliyekuwa mpiga picha maalumu siku Kelly Rowland alipofika na kusambazwa kila mahali. Habari za karibuni zinasema Eliza anaendelea vyema ingawa misaada ya hali na mali bado inahitajika. Hii ikiwa ni baada ya kurejea kwao Iringa kwa ufadhili wa mradi wa MTV Staying Alive.
Soma stori ya Eliza
na


mtanzania ashukiwa kuua mama watoto wake denmark

maiti ya mwanamama anayesemekana kauwawa kwa kukatwakatwa na mapanga na mume wake mapema wiki hii ambaye ni mtanzania huko denmark ikipelekwa hospitali kwa uchunguzi na hifadhi. marehemu inasemekana ni mwenyeji wa denmark na wanandoa hawa walizaa watoto wawili.
imeandikwa kidanish unaweza
kuitafsiri kama nilivyojaribu mimi


JK amsifu mama Lucy Mwandosya kusaidia yatima

Flashback January 3, 2008: Mama Lucy Mwandosya akiwa na yatima wa Lufilyo anaowasaidia. Ujumbe wake ulikuwa huu chini...
Happy New year.Check hayo maisha ya watoto wengi huko Lufilyo, Tukuyu, Wilayani Rungwe, Mkoa wa Mbeya. Ndio maisha taharishi! Naomba wadau wako wanisaidie niweze kuwajengea angalau nymba ya matofali mabichi masikini yatima hawa.

LUCY' S HOPE CENTRE FOR ORPHANS
P.O.BOX 5511,
DAR ES SALAAM
ama P.O.BOX 260,
TUKUYU


Na Mwandishi Maalum,
Rungwe, Mbeya
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wadanganyifu wanaotumia matatizo ya watu wengine, kama vile yatima na watu wanaoishi na virusi kwa ukimwi, kujinufaisha binafsi na fedha za wafadhili zinatolewa kuwahudumia watu hao.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Serikali yake kwa sasa inawasomesha bure katika shule mbali mbali za sekondari nchini watoto yatima zaidi ya 32,700.
Akizungumza baada ya kuwa ameweka jiwe la msingi la maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Matumaini cha Lucy (Lucy Hope Centre) katika kijiji cha Lufilyo, Wilaya ya Rungwe, katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku nne Mkoani Mbeya, Rais Kikwete amekemea tabia hiyo ya watu wadanganyifu.

Rais amewaambia mamia kwa mamia ya wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji jiwe hilo la msingi: “Huu ulaji wa raslimali za yatima, za watu wanaoishi na virusi vya ukimwi, unakera sana.”

Ameongeza: “Watu wanaanzisha NGO’s, wanaitisha michango, wanapata fedha za wafadhili lakini wanatumia fedha zinazopatikana kujinufaisha binafsi. Wanajaza matumbo yao tu. Nimeambiwa habari ile pale Wilayani Makete, Mkoa wa Iringa na inakera sana.”

Kituo hicho cha Lucy Hope Centre kimeanzishwa na kinaendeshwa na Mama Lucy Mwandosya, mke wa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark James Mwandosya, na kimejengwa karibu na nyumbani kwa familia hiyo katika eneo la ukoo wa Profesa Mwandosya.

Shabaha kubwa ya kituo hicho kilichoanzishwa mwaka 2003 ni kutumikia na kutunza watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi.

Rais Kikwete katika hotuba yake fupi kwa wananchi hao baada ya kuwa ameweka jiwe hilo la msingi ameeleza pia kuwa utunzaji wa watoto yatima na walioko katika mazingira magumu ni Sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Amesema kuwa chini ya Sera hiyo, Serikali yake inawasomesha bure wanafunzi yatima zaidi ya 32, 700 katika shule mbali mbali za sekondari
nchini.

Rais Kikwete vile vile amesema kuwa katika kujali watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu, Serikali yake imeanzisha Sera ya Watoto ambayo inatambua umuhimu wa kuhudumia watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu.

Ameongeza vile vile kuwa Muswada wa Sheria ya Watoto unatambua umuhimu wa kuhudumia watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu.
Rais Kikwete amemwagia sifa Mama Mwandosya na Profesa Mwandosya kwa juhudi za kuanzisha kituo hicho ambacho kwa sasa kimehudumia na kusaidia zaidi ya watoto 300, ambao baadhi yao sasa wanasomeshwa katika shule za sekondari nchini.


kikwangua anga kipya chakamilika dar


Exim Tower ni kikwangua anga kipya ambacho kimeshakamilika na mabati ya uzio wa ujenzi kuondolewa hivi karibuni. Kwa wageni wa Dar ama wale walioondoka siku nyingi kikwangua anga hiki kipo jirani na makao makuu ya polisi na uhamiaji ama kanisa la St. Alban na YWCA. mabati yaliyoziba njia hiyo ya kuelekea Gymkhana sasa hayapo tena. hii picha nimepiga usiku huu


Hallo-what?


Who needs Halloween when there is:

Lady Jay Dee & Machozi Band
This Saturday,

31 October,

9pm-2am.


Reservations: 0755 75 40 74.


Sweet Eazy Oysterbay,

for the Best Live Music -

Every Thursday & Saturday.


bomoa bomoa ughaibuni

video

Baada ya kuangalia bomoa bomoa, usikose libeneke la You tube na fiesta one love katika link hii chini:

http://www.youtube.com/watch?v=i0zUl2xvckg


zumari presentation wednesday!

Dear all,
we hope that you enjoyed the concert yesterday night. Next Wednesday we have a special presentation about our Zumari players in Linz. Please help to make this evening a success by passing this message on to as many people as possible in Zanzibar.

Thank you very much and karibu sana!!

Leonie Schollmeyer

Public Relations

Dhow Countries Music Academy

Old Customs House

P.O. Box 4055

Zanzibar / Tanzania

Landline +255 24 223 40 50

Mobile +255 777 416 529

Efax + 1 309 417 2841

press@zanzibarmusic.org

www.zanzibarmusic.org



michezo ya jadi shimiwi

Mchezaji wa mchezo wa Bao wa Wizara ya Maliasili na Utalii , Kana Jongo ( kushoto) akitandaza kete wakati wa mchezo wake na Raymond Mpambarike ( kulia) wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo katika mchezo huo uliofanyika jana ( Okt 29) , Jongo alimshinda Mpambarike.


yale yaleeeeee: libeneke KIA

Habari Bwana Blog,
Nafurahishwa sana na Blog Ya kwako,na leo naomba uni oneshee hii matatizo yamenipata hapo Kilimanjaro Airport.Mimi natokea Rwanda naishi Ulaya,imetokea kusafiri kutokea Kilimanjaro,lakini nilipofika pale nilizuiliwa ku board Aircraft wakaniambiya kuya mimi ni mrwanda sitakiwi kuruka pare,kwa sababu pengine nimekimbia Refugee Camp au nikienda uraya nitajiripua sitorudi.Arakini cha kushangazya ni kuwa mimi mwenyewe ninaishi kwa sheria za Ulaya na nirikuja Arusha kutemberea ndugu zangu tu wanafanya kazi mahakama ya Genocide pale.
Sasa Nikawekwa ndani kama 3 hours na nikamiss Flight,then offisa akaniambia kuwa hii visa yako sio ya Ulaya na ni ya RUSIA,nikamfahamisha kuwa hii resident permit ya Grek,(greece) BASI akaniambia kuwa atanisaidia kusafiri nikimpatia 2000.00 us au atanirudisha Rwanda kupitia Immigration,sasa Mimi nimepeatiwa hii resident under humanitarian kule Greece na sitakiwi kuenda Rwanda kwa kuwa ndio nime claim kuna matatizo,kwa hiyo ningepelekwa Rwanda Ningelienda mahakama.
Kwa kuwa ilikuwa Usiku sana na simjui mtu pale Kilimanjaro Afisa akaniambira kuwa nikitoka atakuja dereva wa Taxi nimpatie hiyo hela na atanisaidia Jumatatu kusafiri,kwa kuwa yeye hafanyi kasi Saturday and Sunday anaingia Mchana,so nikakubali Kutowa 300 USD. nikapatiwa sehemu ya kukaa,na wakanizuia nisitoke nje kwa kuwa mi ni mgeni nitapata matatizo pale Moshi.
Kutoka Thursday night hadi ikafika Jumatatu,kwa kuwa nilikuwa sina jinsi,na passport yangu ipo mikononi mwa ofisa nikawaomba kuwa sina hela ya kutosha kwa hiyo wakaniambia niwapatie tena 600 us ili wanisaidie kuruka,so ilipofika wakati wa safari wakanipeleka KIA airport na wakaniambia niende tu kila kitu ni kizuri,lakini nilipofika tu nikawekwa ndani tena na sijaruhusiwa kuongea chochote,hadi asubuhi wakanipatia Passport yangu baada ya kuwapatia .50.00 us doller,na kuniacha niende,sasa kitu vile sisikii ni kuwa nimepoteza US.1450.00 kwa KLM TICKET,950.US KWA Mikono ya Polisi,na kuniwacha nimerudi Rwanda bila hata ya shililingi tano.
Nimesaidiwa kufika Rwanda kupitia Kahama bila ya kuonesha Travel document yangu kwa kuwa ingekua matatizo,na sasa nipo Rwanda na nimepoteza hela yote na watu nikiwapigia sim hawaongei na mimi,lakini nawajua kwa majina na namba zao ninazo.
SASA JE HAPA NIFANYE NINI KUPATA HIZO
HERA ZANGU?
ASANTE NASHKURU SANA
Mdau Kigali


Ally Rehmtullah to showcase in Cote d'Ivoire


The 10th edition of 'YEHE', placed under the patronage of Mr Jean-Louis Billon, President of the Chamber of Commerce & Industry of Côte d'Ivoire, will take place on the 28th of November 2009.
A Fashion show with 32 invited countries (South Africa, Benin, Burkina Faso, Cameroon, CAR, DRC, Ethiopia, Gabon, Ghana, Guinea, Niger, Nigeria, Mali, Mauritania, Uganda, Kenya, Rwanda, Senegal, Sudan, Tanzania , Chad, Togo, Venezuela, Zambia.)

Designer Ally Rehmtullah will be represting Tanzania at this fashion show and will get an opportunity to work with 31 other designers from all over the continent.
This will be a platform to network Tanzanian Fashion with the rest of Africa and to exchange ideas on how to develop fashion in Africa and to take it to the next level.

The concept of 'YEHE' was established in Abidjan, Cote d'Ivoire in 1998. It is primarily on the thematic level, an original word Yacouba (language of the mountainous region west of Côte d'Ivoire) which means 'sewing'.

The creators of 'YEHE', true lovers of fashion, have invested to enhance its image as polluted by the insertion of this profession in the process of economic and social development of Côte d'Ivoire.

Like organizations reliable and relevant, the 'YEHE' began in the year 2002 a remarkable evolutionary phase with the help of the National Commission for UNESCO Côte d'Ivoire, under the leadership of its Secretary General Madame Odette YAO YAO.

With the help of the National Committee UNESCO-CI and other partners, YEHE totals to date more than 600 sewing machines distributed to local and foreign artists.


For more information log on to

and


libeneke la masai fun club

Kaka issa za kazi,
Tunaomba utuwekee hii website yetu wadau waione
na wasisite kutoa maoni yao kwenye hii fun club
Mdau DEE


Huduma ya Vodafone M-Pesa yazidi kuchanja mbuga, yafikisha wateja zaidi ya milioni moja

Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kulia)akiongea jambo na waandishi wa habari juu ya mtandao wake kufikisha wateja Milioni moja wanaotumia huduma ya M Pesa. Shoto ni Mkurugenzi wa Corporate Affairs wa Vodacom Mwamvita Makamba.

Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(katikati) Mkurugenzi wa Corporate Affairs wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba(kushoto)Mkuu wa Idara ya mauzo ya M Pesa (kulia)wakionyesha bango lenye kuonyesha ni wateja Milioni moja wanaotumia huduma ya M Pesa hapa nchini mpaka sasa.
KAMPUNI ya simu za mkononi, Vodacom Tanzania hadi sasa imeshasajili wateja zaidi ya milioni moja wa huduma yake ya Vodafone M-Pesa.

Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Bw. Ephraim Mafuru, aliwaambia Waandishi wa Habari Jana kwamba kampuni yake inaona fahari kufikisha idadi hiyo ya wateja wa huduma ya Vodafone M-PESA iliyoanza mwaka jana mwezi Aprili.

Huduma ya Vodafone M-Pesa ilianzishwa nchini Tanzania mwezi Aprili 2008 na inamuwezesha mteja kutuma pesa kwa mtu yoyote mahali popote kwa kutumia simu ya mkononi mahali popote katika Tanzania na kwa mteja wa mtandao wowote uliopo hapa nchini.

“Napenda kuwashukuru Watanzania wote kwa kuonyesha imani yao kwa huduma za Vodafone M-Pesa na natoa wito kwa watu wengi zaidi kutumia huduma hii”, alisema.

Bw Mafuru amesema kwamba huduma ya Vodafone M-Pesa ni huduma ya kipekee kwani inawafikia watu wengi ambao wapo katika maeneo mbalimbali nchini hata kama hakuna huduma za kibenki.

Kwa mujibu wa takwimu, wakati huduma ya M-PESA inaingia asilimia 90 ya Watanzania walikuwa hawapati huduma za kibenki nchini idadi ambayo hivi sasa inapungua.

Nchini kote kuna mawakala wa wa M-PESA wapatao 2000, huku kukiwa na wastani wa wateja wapya 10,000 kwa siku.

Baadhi ya huduma zinazopatikana kupitia huduma hiyo ya Vodafone M-PESA ni pamoja na malipo LUKU, Ankara za umeme, maji, ada za shule, michango ya harusi, uhuduma mbalimbali za mighahawa, vituo vya kuuzia mafuta ya magari, maduka makubwa n.k.

Mafuru alisema huduma hii ni mapinduzi halisi kwani kwa kutumia simu za mkononi Watanzania sasa wanaweza kutuma fedha na kulipa huduma mbalimbali. “Huduma hii ni rahisi kupatikana, inayoaminika, na yenye gharama nafuu,” alisema.

Inakadiriwa kuwa kuna Watanzania wapatao milioni 11 wanategemea kupokea pesa kutoka kwa ndugu au jamaa na wengi ya hawa wapo maeneo ya vijijini.


BREKING NYUUUZZZZZZZZ: samaki wa magufuli kugaiwa bure

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na uvivu Mh. John Pombe Magufuli (pichani) leo ametangaza kwamba zile tani 296.32 za samaki zilizokamatwa kwa wavuvi haramu wa kigeni sasa hazitouzwa wala kupigwa mnada bali zitagawiwa bure kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo za elimu.
Akitoa taarifa hiyo kwa wanahabari leo mjini Dodoma Mh. Mafufuli kasema serikali haifanyi biashara hivyo samaki hao wenye thamani ya shilingi 2.07 bilioni watagawiwa bure katika sandakarawe ambalo litafanyika wakati wowote kuanzia wiki ijayo.
Habari zaidi


JK amzawadia mlemavu usafiri wa bajaji makete

JK akikabidhi usafiri aina ya Bajaji kwa mwanamkw mlemavu Sara Mageni Sanga aliyekaa chini katika kijiji cha Lupalilo,Wilayani Makete,mkoa wa Iringa jana jioni.Pembeni ya Rais kulia ni mkuu wa mkoa wa Iringa Bwana Mohamed Abdulaziz
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Oktoba 28, 2009, ametoa pikipiki aina ya Bajaj kwa mama mlemavu mmoja wa kijiji cha Lupalilo, Wilaya ya Makete, Mkoani Iringa, Bi. Sarah Mageni Sanga, ili kumsaidia usafiri.
Aidha, Rais Kikwete amemkabidhi mama huyo mjane risiti ya benki ya sh milioni mbili, ili zimsaidie katika kupanua duka lake dogo ili aweze kujipatia mahitaji yake ya maisha kwa uhakika zaidi. Fedha hizo zimewekwa kwenye akaunti yake katika Benki ya NMB.

Rais ametoa msaada huo kwa mama huyo wakati aliposimama kwenye kijiji hicho cha Lupalilo jioni ya leo, akiwa njiani kwenda mjini Makete, ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika Mkoa wa Iringa. Ziara hiyo ya siku nne inamalizika kesho, Alhamisi, Oktoba 22, 2009.

Bi. Sanga ametokwa na machozi wakati anapokea msaada huo wa Rais mbele ya umati wa wanakijiji wenzake pamoja na watoto wake wawili akimwambia Rais Kikwete:
“Mungu akubariki na akujalie uendelee kuwa na moyo wa namna hii, ili uweze kuwasaidia wengine wenye ulemavu na wajane kama mimi.”
Mama huyo amefiwa na ndugu zake wote pamoja na mume wake, na hivyo pamoja na ulemavu wake wa miguu, anaishi na watoto wote wa ndugu zake ambao anawatunza.

Anaishi na watoto sita, wawili wa kwake na wanne wa marehemu ndugu zake. Mtoto wake wa kwanza yuko kidato cha tatu na wa pili yuko darasa la saba na wote wawili ni watoto wa kike.

Akimkabidhi mama huyo msaada huo mbele ya duka lake dogo, Rais Kikwete amesema kuwa alipata habari za mama huyo wiki iliyopita kwenye Kipindi Maalum kiitwacho Sharaja kwenye Televisheni ya Taifa ya TBC1.

“Niliangalia kipindi kile, nimwona mama huyu anatembea kwa kutambaa na nikasikia jinsi ndugu zake wote walivyofariki kwa maradhi haya, na nikawaelekeza washauri wangu kuniandalia msaada huu. Kwa kuwa nilijua nakuja huku, niliamua kuukadhi mimi mwenyewe kwako,”amesema Rais Kikwete.

Rais Kikwete pia amemwelekeza Mkuu wa Wilaya ya Makete, Hawa Ng’humbi kuhakikisha ama anampatia mama huyo dereva wa kuendesha Bajaj hiyo, ama kuhakikisha kuwa mama huyo anafundishwa mwenye kuendesha.
Rais pia amemkabidhi Mkuu wa Wilaya huyo hati zote zinazokamilisha miliki ya Bajaj hiyo kwa Bi. Mageni ikiwamo risiti ya ununuzi, kadi ya pikipiki, usajili wa pikipiki hiyo, shughuli ambazo kwa jumla zimegharimu sh milioni nne.
Rais amezikahakiki hati zote kabla ya kuzikabidhi akiwachekesha wanakijiji kwa kusema: “Hebu kwanza nizihakiki hati hizi. Nchi yetu imekuwa na wajanja wengi ambao wanaweza kuja kukuletea matatizo baadaye.”

Kuhusu msaada wa sh milioni mbili, Rais amesema kuwa ametoa fedha hizo kumwezesha Bi. Sanga kupanua duka lake, kusomesha watoto wake, na kuendesha shughuli zake nyingine kwa uhakika zaidi.

“Na fedha hizi tayari zimewekwa kwenye akaunti yako ya Benki ya NMB, tawi la Mkwawa, mjini Makete,” amesema Rais Kikwete.


Balozi Mahiga apokea TUZO

Balozi wa Tanzani katika Umoja wa Mataifa, Dkt Augustine Mahiga akiwa ameshika Tuzo ya " The Spirit of The United Nations 2009" aliyotunukiwa na Kamati ya Maadili na Masuala ya Kimataifa mapema wiki hii jijini New York
Balozi wa Tanzania Katika Umoja wa Mataifa, Dkt Augustine Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Maadili na Masuala ya Kimataifa, na familia yake mara baada ya kutunukiwa Tuzo ya the Spirit of the United Nations" 2009" kulia kwa Balozi aliyeshika Tuzo ni Mke wake, Bibi Elizabeth Mahiga
Na Mwandishi Maalum
New York
Dkt Augustine Mahiga Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, amesema Tuzo aliyopewa imemwongezea ari na nguvu ya kujituma zaidi katika kutafuta amani, kutetea utu wa mwanadamu na haki za jamii na katika maeneo ambayo bado mambo hayo yanahitajika .

Ameyasema hayo wakati alipokuwa akitoa shukrani zake mara baada ya kutunukiwa tuzo ijulikanayo kama “The Spirit of the United Nations 2009” aliyotunukiwa mapema wiki hii jijini New York .

Kuhusu Tuzo hiyo aliyopewa, Balozi Augustine Mahiga mwanadiplomasia mzoefu katika Umoja wa Mataifa, anaielezea kuwa Tuzo hiyo kwamba, ni Tuzo ya Watanzania, Waafrika na wale wote wenye kuitakia dunia mema na kwamba yeye ni mpokeaji tu na mshikiliaji wa tuzo hiyo kwa niaba yao.

Akasema ataendelea kuzitafuta haki hizo za wanyonge kupitia Umoja wa Mataifa ambako anaamini kuwa mahali stahili kwa kuwa ndipo panapowakusanya kwa pamoja watu wenye fikra sawa na nia ya kuyafikia malengo mbalimbali yaliyowekwa na umoja huo.

“Umoja wa Mataifa ni chombo cha kilimwengu na cha kipekee ambapo nchi kubwa na ndogo zinakutana na kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano kama mataifa yaliyo sawa. Umoja wa Mataifa ni daraja linalounganisha tamaduni mbalimbali, rangi na imani katika kujenga utengamano , ushirikiano na maelewano ”

Tuzo hiyo ambayo hutolewa kila mwaka na Kamati ya Shirika la Maadili na Masuala ya Kimataifa , hutolewa kwa watu ambao msimamo na utendaji kazi wao katika Umoja wa Mataifa umekuwa ni kielelezo cha misingi na mwelekeo wa Umoja wa Mataifa.

Kamati ya Uteuzi ilieleza kuwa Balozi Mahiga amedhihirisha na kujitokeza kama mfano wa mtu anayeamini na kutekeleza misingi hiyo.
Tangu kuanza kutolewa kwa tuzo hiyo mwaka 2007, tayari imesha tolewa kwa mabalozi wawili wote wa Umoja wa Mataifa , wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa na Taasisi zisizo za Kiserikali. Balozi Mahiga anakuwa Balozi wa kwanza kutoka Afrika kupata Tuzo hiyo.

Katika shukrani zake hizo, Balozi Mahiga akasisitiza kwamba Katiba ya Umoja wa Mataifa na Tamko la Haki za Binadamu, ni mihimili mikuu katika kukidhi nia ya mwanadamu katika kutafuta amani, maendeleo, haki, usawa na utu wa mwanadamu.

“ Hata wanao mkana Mungu hawawezi kuyapinga maadili haya ya msingi ambayo ni amani, haki za jamii, maendeleo ya mwanadamu na utu wa mtu, misingi ambayo Umoja wa Mataifa ndipo inaposimamia” akabainisha Balozi Mahiga.

Akawaeleza wageni waliohudhuria hafla hiyo kwamba katika miaka hiyo 17 akiwa mawana diplomasia ameshuhudia mambo mengi na ya kutisha yaliyomkumba mwanadamu.

Anayataja mambo hayo kuwa ni umaskini, vita na machafuko, watoto kulazimishwa kubeba silaha na kupigana , wanawake kudhalilishwa na mauaji ya halaiki na ya kimbari ya Rwanda.

“ Matukio haya ya kutisha niliyoyashuhudia katika utendaji wangu wa kazi, kwa njia moja yameniimarisha na kunifanya nielekeze nguvu zangu katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili mwanadamu kwa njia ya amani na kwa kutumia nguvu za pamoja za Kikanda, Umoja wa mataifa na watu wenye mapenzi mema.

Awali akitoa wasifu wa Balozi Augustine Mahiga , Mwenyekiti wa Taasisi iliyotoa Tuzo hiyo Bi Audrey Kitagawa, alimwelezea Balozi Mahiga kama mwanadiplomasia ambaye katika kipindi chake cha miaka 17 si tu amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kupigania haki za makundi mbalimbali ya jamii wakiwamo wakimbizi , wanawake na watoto lakini pia ameandika machapisho mbalimbali na kutoa mihadhara yenye mwongozo, ushauri na mapendekezo ya kukabiliana na madhira mbalimbali yanayomkabilia mwanadamu na dunia.

Miongoni mwa machapisho hayo ni Ushirikiano wa Kikanda na Utatuzi wa Migogoro ya Kivita, Upokonyaji wa Silaha na Maendeleo katika Afrika, Utatuzi wa migogoro na Usalama katika Afrika, Masuala ya wakimbizi , Haki za wanawake na watoto na ulinzi wa wananchi katika maeneo yenye vita na machafuko.


libeneke la norbro's collections

for more information


matokeo ya kombe la mbuzi usiku huu...


raia wa msumbiji wapiga kura dar leo

Raia wa Msumbiji wanaoishi hapa nchini wakiwa katika foleni ya kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa kumchagua rais na wabunge katika ofisi za ubalozi huo uliopo jijini Dar leo.


azam fc yaifunga african lyon 2-0 leo dar

Beki wa timu ya African Lyon, Hamisi Shengo (kushoto) akichuana na beki wqa timu ya Azam FC, Nsa Job Mahenya katika mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jiini Dar leo. Azam ilishinda 2-0


kanyaboya

Wadau,
Nimjibu nini huyu jamaa? hawa wapopo hata haya hawana wanadhani hii gia hadi leo mtu ataingia kichwa kichwa? Wadau nisaidieni nimjibu nini maana mie mwenyewe kanitia hasira sana kwani ni email ya tatu hii. Pia wadau mjihadhari na watu hawa. ukipata email kama hii piga chini. Ni kanyaboya!
-Michuzi
-----------------------------------------
Michuzi,
I am sasa stranded in Scotland na haja ya wewe ili kusaidia yangu kwa kiasi yoyote via magharibi ya muungano. Mimi refund pesa yako wakati mimi nipo nyuma nyumbani.

Thanks for your concern, I'm very sorry if this letter came to you as a surprise, I told the police immediately after in the incident and all necessary steps has been taking and they also gave me a police report to the embassy and the embassy are only get me a temporary document in replacement of my stolen passport.i feel so helpless and rejected.
Any amount which you are able to raise will go along way in helping me. and i promise to pay back as soon as am back home since i know you also need money for your personal need, Also keep me in prayer because that matters a lot.
Please i need you to help me monetarily.
Because i have no means of surviving here, I need you to wire me some money through western union. will be checking out of the hotel today due to the fact that i was unable to pay my bill, I still have a close contact with the embassy and will be getting a temporary paper in replacement of my passport, I lost my cell phone during the incident and i have no penny to call from a pay phone if not i would have love to talk to you on the phone.
I hope to hear from you soon and keep you updated about all improvement and will explain the entire story to you when am back home.
Thanks
Isaac Mwamgogwa


JK azindua wilaya mpya ya kilolo leo

JK akizindua wilaya ya Kilolo leo mchana. Aliyenyanyua mikono juu ni mkuu wa wilaya hiyo Dr Athuman Mfutakambapata
JK akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa chuo cha maendeleo ya jamii Ruaha Iringa pamoja na wanafunzi wa chuo hicho ambao walimwimbia nyimbo nzuri ya kilimo Kwanza
Picha na Habari na mdau wa Iringa
RAIS Jakaya Kikwete leo amezindua makao makuu ya wilaya ya Kilolo mkoani Iringa na kuipongeza halmashauri ya wilaya hiyo kwa ujenzi wa jengo la ghorofa la kisasa kwa ajili ya halmashauri ya wilaya hiyo jengo ambalo limejengwa kwa gharama nafuu ukilinganisha na halmashauri nyingine nchini ambazo zimejenga majengo madogo kuliko hilo kwa gharama kubwa.

Akiwahutubia mamia ya wananchi wa wilaya ya Kilolo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo mara baada ya kuzindua miradi mitatu ukiwemo wa umeme,jengo la halmashauri na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kilolo,Rais Kikwete alisema kuwa kwa upande wake amefurahishwa na uaminifu mkubwa wa halmashauri hiyo katika kusimamia fedha za serikali kwenye ujenzi wa majengo hayo.

Rais Kikwete alisema zipo halmashauri ambazo zimejenga majengo madogo kuliko hayo ila ukitazama gharama zilizotumika ni kubwa kuliko gharama zilizotumika kujenga jengo hilo la halmashauri ya wilaya ya Kilolo ambalo ni jengo la kisasa ukilinganisha na majengo yaliyojengwa katika halmashauri nyingine kwa gharama kubwa.

"Kweli halmashauri ya Kilolo pamoja na makandarasi na wataalam wengine wote mlio shiriki kujsimamia ujenzi wa jengo hilo napenda kuwapongeza sana kwa uaminifu mkubwa mlioonyesha katika ujenzi wa jengo hilo....nasema nawapongezeni sana"

Rais Kikwete alisema kuwa ujenzi wa makao makuu ya wilaya ni moja ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ambao iliahidi kuwa miundo mbinu yote ya makao makuu ya wilaya kujengwa kisasa kabla ya mwaka 2010 kazi ambayo utekelezaji wake umekuwa ukifanywa kwa nguvu zote.

Hata hivyo alisema kuwa huduma kubwa katika halmashauri hiyo ni hospitali ya wilaya ambapo mbali ya kuwa katika wilaya hiyo ipo hospitali teule inayofanya kazi kwa ushirikiano na kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ila bado serikali ina mpango wa kujenga hospitali ya serikali.
Rais Kikwete alisema kuwa kuanzisha wilaya bila kuwa na huduma za kijamii kama ofisi na ubora wa miundo mbinu ni sawa na kuwabebesha wananchi mbuzi katika gunia.

Awali mkurugenzi mtendaji wa halamshauri ya wilaya ya Kilolo Bosco Ndunguru alisema kuwa jengo hilo lina ofisi 56 ,stoo 4 ukumbi mkubwa mmoja ,kumbi ndogo 2 pamoja na vyumba vingine vingi limewajali watu wenye ulemavu pia kwa kuwatengea maeneo yao.

Alisema kuwa makisio ya ujenzi huo yalifanywa mwaka 2006 /2007 ambayo yalikuwa ni shilingi 2,321,004,000 huku ujenzi halisi utagharimu shilingi 2,005,199,468Bofya hapa
Habari zaidi na picha


mengi azindua kitabu cha mzee edwin mtei

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Mh. Reginald Mengi akizindua kitabu cha historia ya maisha ya aliyekuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu Tanzania Mzee Edwin Mtei anayeonekana na mai waifu wake Johara Mtei. Kitabu hicho kinaitwa "Kutoka Uchungaji wa Mbuzi kwenda Gavana". Hafla hiyo ilifanyika Dar usiku kuamkia leo.
----------------------------------------
The new book from GOATHERD to GOVERNOR:
The Autobiography of EDWIN MTEI is now available
in Google Book, you can read and get some gist on it.
Wishing you all nice reading.

Adam Jackson Foya
P.O.Box 42329 Dar Es Salaam,
As much as you are critical, be constructive"


Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker